nimefurahi kukuta jamboforums na sasa jamiiforums ikiwa haijafa

bado CUF ndio chama kikuu cha upinzani Tanzania? dont laugh at me guys

Mkuu pole sana kwa yaliyokusibu.....ujue CUF sasa hivi inaitwa CCM B, sio tena chama cha upinzani asilani, washaunganika na CCM huko zenji, Prof Lipumba sasa hivi kawa kama chizi hivi, Chama kikuu cha upinzani sasa hivi ni CHADEMA,wanaharakati wengi wapo huku, unakaribishwa huku kwa kutenda mema zaidi kaatika inji hii.........nimefurahi tulijiunga mwezi mmoja na wewe. Welcome back brooooo!!
 
tutafutane mzee ukidondoka bongo meen. nitakupa toto la kutoka hapa hapa JF watoto wa kufa mtu au tembelea jukwaa linaitwa MMU tchao
avatar23521_1.gif
 
watanzania bado wabishi tu kama zamani kumbe

ahh sas apa kdg unaharibu

IT SOUND LIKE TUSI VILE..
mtu kuwa mbishi si lazma awe mtanzania
watanzania wote si wabishi
ubishi ni hulka ya mtu na si nationality yake

au kwa kuwa umekaa US basi ndo zile ahh watanzania bwana..afrika bwana...pls dont say t again..
si watanzania wooote wabish and si wamarekani wote SI WABISHI

ukirudi unishtue nije nikusalimie......
poa bwana
 
bado CUF ndio chama kikuu cha upinzani Tanzania? dont laugh at me guys

Hapana kwa sasa hivi chama kinachotawala ni CHADEMA ila CUF imefulia, CUF imeungana nabaadhi ya vyama vilivyokuwa vya briefcase a.k.a NGO kama kama NCCR, TLP, UDP, pamoja na CCM NDIO VYAMA VYA UPINZANI.
Kwa ujumla CCM inaelekea kufa kwani wale wazee wote uliokuwa unawafahamu wa CCM, wamekuwa kama vichaa, na wengine ni kama wana Alzheimer hivi.
Pia kuna jamaa ameibuka anaitwa DOVUTWA huyo alipigia kampeni kitandani akapata kura, ujue jinsi bongo ilivyo ya tamu hata kichaa anaweza kutawala.
 
nilikuwa nafanya kazi huko huko coz mimi ni mtaalamu wa mambo ya oil and gas, jela ilikuwa sio tabu kama watu wanavyofikiria sema uhuru tu wa kuwa as a human being ndio haukuwepo.

Kwahiyo huko mlikuwa mnaishi kama wanyama au??hembuu tupe maujuzi mkuu tuone kama inalingana na huko kwetu keko...hahaaaa!!
 
E bwn pole sana ! karibu TZ najua utastajabu sana ndg mabadiliko utakayokuta! kuanzia Aiport,gongo la mboto,Loliondo kuna dawa hadi ya ukimwi,bunge lina vijana machachari,baraza la mawaziri lilibadilishwa februari 2008,UDOM ndo chuo kikubwa africa,.....................nisimalize .................

Kuna usemi wa wahenga una usemi JELA NI PETE YA MWANAUME(maana yake huwezi kuikwepa maisha yote)
 
tutafutane mzee ukidondoka bongo meen. nitakupa toto la kutoka hapa hapa JF watoto wa kufa mtu au tembelea jukwaa linaitwa MMU tchao
avatar23521_1.gif

ivugaaaa...pls
naona unabpu enhh?

i have GROAN do u nid t?
kulakona kuleee
 
bado CUF ndio chama kikuu cha upinzani Tanzania? dont laugh at me guys

CUF ni chama kinachotawala kule Pemba na ninashirikiana na CCM pale Unguja but kule bara wakangangania kuwemo kwenye kambi ya upinzani Bungeni,

Mkuu pole sana hayo ni sehemu ya maisha katribu Tz
 
wakuu mimi sio mgeni hapa nilikuwa natembelea sana jambo forum toka 2006.ila yaliyonisibu ni makubwa na ni bora nisiyaelezee hap but kifupi ni kuwa nilikua jela na nilikuwa nimefungwa toka mwaka 2007,nchi za watu na sasa nimeshatoka kutokana na msaada mkubwa wa kampuni ya BP coz i was working in this company in us, and within 3 days i wanna land in ma homeland Tz baada ya kukamilisha malipo yngu na fidia
nawakumbuka sana watu kama mwanakijiji, nyani ngabu,field marshal, game theory, maxmelo,interested obsever,mkira,spiderman,jizalendo timbwilitimbwili,radio butiama etc...
Pole sana mkuu kwa maswahibu yaliyo kukuta...!

Welikomu homu switi homu, si nimeongea kiingrish?
 
Pole sana mkuu kwa yalokupata na zaidi nakupongeza kwa kuwa mstahimilivu na mkakamavu ndo utu uzima huo. Ulowaacha wapo isipokuwa wachache tu ndo hatuwaoni. Lakini wapo wengine wageni na wana michango safi sana tu. Karibu!
 
ahh sas apa kdg unaharibu

IT SOUND LIKE TUSI VILE..
mtu kuwa mbishi si lazma awe mtanzania
watanzania wote si wabishi
ubishi ni hulka ya mtu na si nationality yake

au kwa kuwa umekaa US basi ndo zile ahh watanzania bwana..afrika bwana...pls dont say t again..
si watanzania wooote wabish and si wamarekani wote SI WABISHI

ukirudi unishtue nije nikusalimie......
poa bwana

ivugaaaa...pls
naona unabpu enhh?

i have GROAN do u nid t?
kulakona kuleee
naona unakimbia kivuli chako sio? hahahhahahah!! usimind dear
 
wakuu mimi sio mgeni hapa nilikuwa natembelea sana jambo forum toka 2006.ila yaliyonisibu ni makubwa na ni bora nisiyaelezee hap but kifupi ni kuwa nilikua jela na nilikuwa nimefungwa toka mwaka 2007,nchi za watu na sasa nimeshatoka kutokana na msaada mkubwa wa kampuni ya BP coz i was working in this company in us, and within 3 days i wanna land in ma homeland Tz baada ya kukamilisha malipo yngu na fidia
nawakumbuka sana watu kama mwanakijiji, nyani ngabu,field marshal, game theory, maxmelo,interested obsever,mkira,spiderman,jizalendo timbwilitimbwili,radio butiama etc...
k
KARIBU MWANAKWETU LAKINI SI ULISHESEMA UNAHAMIA KENYA SASA JE USHABADILI MAWAZO MWANA WENU,SWEET HOME KARIBU NA POLE KWA MASAIBU YALIYOKUPATA
 
k
KARIBU MWANAKWETU LAKINI SI ULISHESEMA UNAHAMIA KENYA SASA JE USHABADILI MAWAZO MWANA WENU,SWEET HOME KARIBU NA POLE KWA MASAIBU YALIYOKUPATA
YO YO ndio kapata mchumba kenya huko an keshahama ila so huyu jamaa
 
jela niaje?
dah lakin uko majuu asi fresh tu si km segerea..
pole
hw is ya family?
mkeo/galfrend umemkuta salama?( M SOR KM NTAKUBOA NA SWALI ILI)

pole na yote
yote maisha ili mrad uhai....

Rose1980 huchelewi wewe eh? LOL
 
wakuu mimi sio mgeni hapa nilikuwa natembelea sana jambo forum toka 2006.ila yaliyonisibu ni makubwa na ni bora nisiyaelezee hap but kifupi ni kuwa nilikua jela na nilikuwa nimefungwa toka mwaka 2007,nchi za watu na sasa nimeshatoka kutokana na msaada mkubwa wa kampuni ya BP coz i was working in this company in us, and within 3 days i wanna land in ma homeland Tz baada ya kukamilisha malipo yngu na fidia
nawakumbuka sana watu kama mwanakijiji, nyani ngabu,field marshal, game theory, maxmelo,interested obsever,mkira,spiderman,jizalendo timbwilitimbwili,radio butiama etc...

Pole sana mkuu and welcome back
 
Back
Top Bottom