NImefunguliwa toka mapepo; sasa nina mchumba

Nikiwa na miaka 14c nilianza kamchezo ka kujichezea nyeti. Hapo ndio kwanza nlikuwa nimeingia form one. Nlienda na tabia hiyo hadi nlipokuwa chuo. Hakika nilikutana na magumu mengi, kuna wakati nlikuwa nashindwa kujizuia na kukuta nime ji "do" mara nne kwa siku.
Nakumbuka siku moja nikiwa chumbani kwangu mama yangu mzazi alinifumania nikijipa raha za mwilini, alinisema sana lakini sikuacha.
Bwenini nlishawahi kufumwa, niliabika sana lakini kamwe sikuacha.
Nikiwa mwaka wa pili pale udsm, nikipiga puchu mbele ya dressing table yangu, nilinogewa na utamu na kujihisi raha ya ajabu iliyonifanya nishishwe kuhimili uzani wa mwili wangu na kujikuta nikiangukia kioo ambacho kwa ile kasi nliyoanguka nayo kilinipasua vibaya sana sehemu zangu za usoni.
Sikukoma, nkaja kuvunjika mguu kwa hilo pepo la punyeto lilivyonipelekesha.
Siku moja nikiwa na rafiki yangu nlihudhuria mkutano wa lnjili wa Christopher mwakasege, akasema ameshuhudiwa na Roho wa Bwana kuwa kuna mtu ana pepo la punyeto, akanyoosha mkono wake upande ule nliokuwa nimekaa, nikajikuta naangushwa na nguvu nsiyoijua na kupoteza fahamu, nlipozinduka ilikuwa ni saaa 3 usiku nikiwa nimezungukwa na wana maombi kwenye mabanda ya waliopawa na mapepo yaliyokuwa yametengenezwa pale kwenye Uwanja wa Biafra.
Nikaambiwa kuanzia saa 11 jioni nlikuwa naombewa nan pepo la punyeto lilikuwa limegoma kabisa kutoka, hadi saa tatu ndio likatoka.
Punyeto ni mapepo na hakika yanatesa. Kwa Yesu kuna raha, sasa niko huru kwelikweli. Namshukuru sana mungu

Pole sana dogo. Baada ya kutokwa na hilo pepo kilichobaki ni wewe kutangaza nia ya kutafuta mke hapa jf. Mie naona preta au cheusimangala watakufaa sana, jaribu kuongea nao uone kama nafasi bado iko wazi.
 
mmmhhhh HashC we huoni raha za Punyeto zilivyomsumbua...
anahitaji kupewe pole...

Sex is an enjoyable act when shared between two responsible adults who hopefully are well acquainted with one another, and share mutual feelings for each other.

Sex is everywhere; it's in magazines, movies and in songs. It's a favorite activity of many, and rightfully so, but when you find that it's on your mind too often and being acted out through masturbation or casual sex on a constant basis, you could be suffering from sex addiction.

WHO ARE YOU IN LOVE WITH TODAY
 
so many people are sex addict these days.. unbelievable

Im still waiting for him to PM me ( the person im in love wit)
i dont wana say is who....haahah lol
he knows himself......
 
Nikiwa na miaka 14c nilianza kamchezo ka kujichezea nyeti. Hapo ndio kwanza nlikuwa nimeingia form one. Nlienda na tabia hiyo hadi nlipokuwa chuo. Hakika nilikutana na magumu mengi, kuna wakati nlikuwa nashindwa kujizuia na kukuta nime ji "do" mara nne kwa siku.
Nakumbuka siku moja nikiwa chumbani kwangu mama yangu mzazi alinifumania nikijipa raha za mwilini, alinisema sana lakini sikuacha.
Bwenini nlishawahi kufumwa, niliabika sana lakini kamwe sikuacha.
Nikiwa mwaka wa pili pale udsm, nikipiga puchu mbele ya dressing table yangu, nilinogewa na utamu na kujihisi raha ya ajabu iliyonifanya nishishwe kuhimili uzani wa mwili wangu na kujikuta nikiangukia kioo ambacho kwa ile kasi nliyoanguka nayo kilinipasua vibaya sana sehemu zangu za usoni.
Sikukoma, nkaja kuvunjika mguu kwa hilo pepo la punyeto lilivyonipelekesha.
Siku moja nikiwa na rafiki yangu nlihudhuria mkutano wa lnjili wa Christopher mwakasege, akasema ameshuhudiwa na Roho wa Bwana kuwa kuna mtu ana pepo la punyeto, akanyoosha mkono wake upande ule nliokuwa nimekaa, nikajikuta naangushwa na nguvu nsiyoijua na kupoteza fahamu, nlipozinduka ilikuwa ni saaa 3 usiku nikiwa nimezungukwa na wana maombi kwenye mabanda ya waliopawa na mapepo yaliyokuwa yametengenezwa pale kwenye Uwanja wa Biafra.
Nikaambiwa kuanzia saa 11 jioni nlikuwa naombewa nan pepo la punyeto lilikuwa limegoma kabisa kutoka, hadi saa tatu ndio likatoka.
Punyeto ni mapepo na hakika yanatesa. Kwa Yesu kuna raha, sasa niko huru kwelikweli. Namshukuru sana mungu

That's psychological problem does not relate with evil spiritual matters. Usanii mtupu!
 
Mkuu wewe una bahati sana mm nilimepleka rafki yangu alikuwa na tatizo kama lako kwenye maombezi moshi kwenye uwanja wa mashujaa mchg R.Bonke akasema kila mtu ashike mahala panakomuuma au kumtatiza jamaa akitaka kushika akiangalia jirani wanamwangalia anatoa mkono anaogopa labda watu watahisi nguvu hamna au ni kadogo kama kidole kidogo/cha mwisho cha mguu wa kulia.
 
Siku moja nikiwa na rafiki yangu nlihudhuria mkutano wa lnjili wa Christopher mwakasege, akasema ameshuhudiwa na Roho wa Bwana kuwa kuna mtu ana pepo la punyeto, akanyoosha mkono wake upande ule nliokuwa nimekaa, nikajikuta naangushwa na nguvu nsiyoijua na kupoteza fahamu, nlipozinduka ilikuwa ni saaa 3 usiku nikiwa nimezungukwa na wana maombi kwenye mabanda ya waliopawa na mapepo yaliyokuwa yametengenezwa pale kwenye Uwanja wa Biafra.

kama mambo ndiyo hayo basi hawa wanamaombi hawatakaa wanione najisogeza pande zao....:embarrassed:
 
Mficha uchi hazai, pia mwenye aibu alikufa na kupe kwapani, siku ya kuja kuosha maiti ndio wakagundua kuwa jamaa alikuwa akifyonzwa damu n a kupe...
Huyo jamaa wako kamwe hawezi pona
mkuu wewe una bahati sana mm nilimepleka rafki yangu alikuwa na tatizo kama lako kwenye maombezi moshi kwenye uwanja wa mashujaa mchg r.bonke akasema kila mtu ashike mahala panakomuuma au kumtatiza jamaa akitaka kushika akiangalia jirani wanamwangalia anatoa mkono anaogopa labda watu watahisi nguvu hamna au ni kadogo kama kidole kidogo/cha mwisho cha mguu wa kulia.
 
siachi puli, nikiona demu mkali tu anakatiza mbele yangu namtengenezea picha fasta, kisha natafuta privacy
 
HUYU VIJANA SIYO KAKA NI DADA lakini nashangaa watu mnasema pole sana kaka.

wewe dada yaani ulikosa kajibaba ka kukutuliza?
 
Kweli yesu anaweza. Namfahamu sana kwa karibu Christopher Mwakasege. Ni mtumishi wa Mungu wa Ukweli.
 
Back
Top Bottom