NImefunguliwa toka mapepo; sasa nina mchumba

Pole sana mzee, fanya maamuzi ya kuoa fasta, pia jitaidi kuwa na discipline ya mwili wako, Roho inaokoka lakini mwili unaitaji kushurutishwa vinginevyo unaeza kurudia hako kamchezo.

Ushauri maridadi kabisa!
 
MI HAYA MAMBO MENGINE YA WACHUNGAJI NAONA KA MAUZA UZA TU...SASA YE ALIJUAJE KA KUNA MTU ANAPEPO LA PUNYETO....HALAFU AKANYOOSHA MKONO WE UKAANGUSHWA NA NGUVU USIYOIJUA MMH!:confused2:
 
asante mkuu umeponywa kiroho; kwa upande wa kimwili jiweke busy usipende kuwa peke yako hasa chumbani muda ambao si wa kulala!
 
ili kuweka hansards zetu vyema....
Humphnicky

user-online.png
Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join DateWed Dec 2010PostsThanked 13 Times in 1 Post Rep Power0
 
ili kuweka hansards zetu vyema....
Humphnicky

user-online.png
Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join DateWed Dec 2010PostsThanked 13 Times in 1 Post Rep Power0

Mh Mbunge wa JF muwakilishi wa Infidels

Ina maana hujamjua ni nani huyu? Kila siku huweka habari za masturbation na punyetos? Nadhani Mh Teamo huyu aka Humphnick got a masturbated mind.
 
aaaah si kweli punyeto si mapepo hiyo ni saikolojiko impact tu mtu anakuwa nayo, mbona watu wengine wanaacha hata bila ya kuombewa , wanapata tu ushauri mambo yanakuwa poa. lakini pia ndugu yangu hongera kama umeamua kumgeukia yesu!
 
This is my very first post. Kwa hiyo ukisema i got amusturbated mind unakuwa hunitendei haki kwani sijawahi kupost chochote kabla, pili kwa sasa mi si mtumwa tena wa punyeto.
mh mbunge wa jf muwakilishi wa infidels

ina maana hujamjua ni nani huyu? Kila siku huweka habari za masturbation na punyetos? Nadhani mh teamo huyu aka humphnick got a masturbated mind.
 
This is my very first post. Kwa hiyo ukisema i got amusturbated mind unakuwa hunitendei haki kwani sijawahi kupost chochote kabla, pili kwa sasa mi si mtumwa tena wa punyeto.

Endelea na Masturbation hadi ukatike uume! Utaombewa tena
 
MI HAYA MAMBO MENGINE YA WACHUNGAJI NAONA KA MAUZA UZA TU...SASA YE ALIJUAJE KA KUNA MTU ANAPEPO LA PUNYETO....HALAFU AKANYOOSHA MKONO WE UKAANGUSHWA NA NGUVU USIYOIJUA MMH!:confused2:

God is God of the impossibilities; yale ambayo mwanadamu hayawezi kwake yawezekana, na wao wanaoweza kushuhudia hayo, wako katika ulimwengu wa roho. Of course huwezi kuona sense of something of which you are not part of it....miracles do happen, they are real because God is powerful and real. Yeye anasema niiteni nami nitaitika, nitawaonyesha mambo magumu na makuu usiyoyajua.
 
god is god of the impossibilities; yale ambayo mwanadamu hayawezi kwake yawezekana, na wao wanaoweza kushuhudia hayo, wako katika ulimwengu wa roho. Of course huwezi kuona sense of something of which you are not part of it....miracles do happen, they are real because god is powerful and real. Yeye anasema niiteni nami nitaitika, nitawaonyesha mambo magumu na makuu usiyoyajua.

tatizo i doubt hao watu wanao perform hizo miracles wengi mungu hayumo kwao just mere money mongers
 
Back
Top Bottom