kamtesh
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,395
- 512
Wakuu,
Katika pitapita yangu jana baada ya kupiga safari lager za kutosha si nikakutana na mrembo, maskini ya Mungu bila kujua kitu mwanaume nikakokota hadi geto nikajilia vyangu.
Maajabu leo katika kukagua kibegi chake nimekutana na ARV yaani hapa nimechanganyikiwa nimeamua tu nishinde bar kupoteza mawazo.
Embu nishaurini wakuu nimfanyaje huyu bidada manake japo nilitumia kinga sina furaha kabisa.
Baada ya wiki moja, kapime