Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

Kwa hiyo Bwana Shigongo nilitulize nani zangu kama ---- Fulani ,nikusubirie urudi na part 2 au sio??

we tomaso naomba na wewe kama hiyo ni stroy za shigongo na we utunge kama hii ukiweza kuna laki tano cash.uje pm
 
kuna application unadownload tu, kama unatumia android au ios, zinaweza kukuletea sms zote, call logs, zingine zinarecord mpaka calls unaweza kuskiliza baadaye, inakupa geolocation ya simu kwa wakati husika, unaweza kuwasha microphone ya simu yake hata kama ameiweka mezani ukaskiliza maongezi yanayoongewa offline bila yeye kujua, unaweza kuwasha camera ukaona kila kitu, unaweza kuangalia picha alizopiga, unaweza kukamata login details za kwenye mitandao ya kijamii na sehem zingine, kiufupi simu yake unakuwa na access nayo wakati wowote inapokuwa on bila yeye kujua, na hiyo application wala haionekani ukishaiweka inapotea kabsa!

Imekaa safi sana hii, sema tu nayo inahitaji demu wa hivihivi ndio umfaidi...kama ni hawa wajanja wajanja a.k.a macho kumchuzi, akishtuka yeye ndio atakuchezea...wewe utalala home umerelax kumbe she is somewhere getting eaten.

Ila hapo kwenye camera ni kwamba atakuwa anajilengeshea muda wote ama ? coz akiiweka kwenye pochi utaona giza/lipstik, akiiweka mezani utaona meza, akiielekeza juu utaona celing board.
 
Toka nijiunge Jf sijawahi kusoma page zote kwenye thread yenye page zaidi ya mbili ila leo msikivuTz umenikomesha yaani neno kwa neno,kifungu kwa kifungu, page kwa page yaani nikionaga mapage mengi km haya nasomaga ya kwanza na ya mwisho tu,Ila leo koma nukta na viulizo vyote nimepitia.Kuna kazi ya watu niliisitisha kwa muda sasa ngoja niendelee.Ila tukubali tukatae hakuna mke wala mume wa peke yako kugonga show nje imekuwa kama fashion tuvumiliane tu kikubwa ni kuheshimiana tu jamani!I'm out

Mkuu nilikuwa sina tabia ya kupiga show za ugenini kutokana na kumuamini ntu wangu. Dah ilinibidi ni BADILI TABIA baada ya kugundua kuna watu wanajiandaa kupiga show Kwa ntu wangu. Sasa hivi nikupiga show za nguvu nyingine hazina hata kiingilio..... Teh teh teh teh teh teh....ukijifanya kauzu utakufa huku ukiwa umegandishwa... Just kiding.....maisha ni yako......fanya maamuzi sahihi ktk muda muafaka....
 
Last edited by a moderator:
kuna sehemu mleta mada kaniacha kidogo,aliweza kumbandua huyo mzee tigo au iliishia wapi?
 
Imekaa safi sana hii, sema tu nayo inahitaji demu wa hivihivi ndio umfaidi...kama ni hawa wajanja wajanja a.k.a macho kumchuzi, akishtuka yeye ndio atakuchezea...wewe utalala home umerelax kumbe she is somewhere getting eaten.

Ila hapo kwenye camera ni kwamba atakuwa anajilengeshea muda wote ama ? coz akiiweka kwenye pochi utaona giza/lipstik, akiiweka mezani utaona meza, akiielekeza juu utaona celing board.

siyo rahisi kujua kama umemwekea, hata wewe ukiwekewa ni ngumu kujua kwa sababu applicatiom haionekani hata ukisearch!!! mambo ya kwamba kaweka kwenye pochi au nini ni juu yako sasa, muhimu application inaweza kuwasha camera, kama simu ameiweka kitandani guest house na amekwambia yuko shamba si utaona hata neti ndugu?!! ukiwasha na microphone si utafaidi mkeo anavyomlilia jamaa mwingine?!!
 
we tomaso naomba na wewe kama hiyo ni stroy za shigongo na we utunge kama hii ukiweza kuna laki tano cash.uje pm

**********
Achana nae mkuu ninapewa furaha sana kule pm yani kumbe ni wengi mno waliopitia pitio kama langu....
ila wametunza kifuani
..vile tunapoongea hapa tunapeana nguvu..
asante sana mlo nami PM.
mnafanya niuone mlango ulio wazi tofauti na ule ulofungwa
 
AH sina hiko kipaji, kwann usimtunze bwana Msikivutz hiyo laki ?

nataka nikutunze wewe tomaso.
_huna uwezo wa kutunga hata page moja kwanini usikae kimya?
_ina maana umekerwa sana huyu jamaa kuandika alivyoandika?
_au mambo kama hayo hayapo kwenye jamii yetu?
_au wewe huishi kwenye hii sayari?
_maana hata kisa cha Clinton na yule demu unaweza ukawa huamini____
 
Pole msikivuTz.Mungu akutie nguvu.Make yeye ndiye ajuaye magumu unayopitia.akujalie amani ya moyo ili u-move on with ur life.pole san mkuu
 
nataka nikutunze wewe tomaso.
_huna uwezo wa kutunga hata page moja kwanini usikae kimya?
_ina maana umekerwa sana huyu jamaa kuandika alivyoandika?
_au mambo kama hayo hayapo kwenye jamii yetu?
_au wewe huishi kwenye hii sayari?
_maana hata kisa cha Clinton na yule demu unaweza ukawa huamini____

ignore tu mkuu, kwenye jamii wa hivyo hawakosi!
 
mkuu sina imani na mtu sasa hivib yani nimeathilika kisaikolojia kwan nami nimekuwa sasa wa kutongoza na kudate wake za watu kama kulipiza kisasi....kama kuna mwanasaikolojia humu anisaidie maana nilikuwa namheshim mke wa mtu kama ukoma ila sasa ndo hivi tena.....usione mtu kutembea na wake za watu kumbe nyuma yake kuna mengi yanasababisha

Kama hii story ina chembe za ukweli, basi you real need msaada wa kisaikolojia!
 
nataka nikutunze wewe tomaso.
_huna uwezo wa kutunga hata page moja kwanini usikae kimya?
_ina maana umekerwa sana huyu jamaa kuandika alivyoandika?
_au mambo kama hayo hayapo kwenye jamii yetu?
_au wewe huishi kwenye hii sayari?
_maana hata kisa cha Clinton na yule demu unaweza ukawa huamini____

Kutunga siyo issue, naweza kufanya hivyo dakika chache tu. Issue ni content. Ukisoma post ya mshkaji ipo kama riwaya japo yeye anataka tuamini ni kweli. Sisemi kama haiwezi kutokea kwa mtu lakini nachojua hayo majanga haijamtokea mtunzi. Sijui nimeeleweka?
 
**********
Achana nae mkuu ninapewa furaha sana kule pm yani kumbe ni wengi mno waliopitia pitio kama langu....
ila wametunza kifuani
..vile tunapoongea hapa tunapeana nguvu..
asante sana mlo nami PM.
mnafanya niuone mlango ulio wazi tofauti na ule ulofungwa

Endelea na story, tunachoka kusubiri.
 
Kutunga siyo issue, naweza kufanya hivyo dakika chache tu. Issue ni content. Ukisoma post ya mshkaji ipo kama riwaya japo yeye anataka tuamini ni kweli. Sisemi kama haiwezi kutokea kwa mtu lakini nachojua hayo majanga haijamtokea mtunzi. Sijui nimeeleweka?

nani atakaye kuelewa we kibushuti,pimbi kasoro mkia?
_tena we utakuwa unafugwa tu home na wazozi wako ndio maana unaachia uharo wako hapa
 
Back
Top Bottom