Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

Ukiona huwezi kusamehe achana naye, maana hata kumwacha ni sehemu ya msamaha. Unaweza kujilazimisha, mwisho wa yote isiwe imekusaidia wewe wala yeye. Both you end up horribly.
 
Kk pole ni mtihani mkubwa sana ulipitia. Hapa kikubwa roho bado inauma sio rahisi kusahau bora usingejua kabisa maisha na huyu mke wako yamepoteza ladha hutofurahia tena na hata ikijatokea nyingine style hiyo utaua bora ubwagwe manyanga.
 
*****TUMALIZIE****
Kwa wale tomaso wanaodhani hii ni story hapana ni habari ya kweli kwani niliwah kutoa ujanja humu wa kumnasa kipenzi chako kupitia kwenye simu...
na niliahidi kuleta mrejesho na huu ndo ukweli wa kile kilichojiri....
ukiamini sawa usipoamini sawa pia hulazimishwi cha msingi ona matukio makubwa tuliopitia binadamu wenzako hasa mm kijana mwenye umri mdogo wa miaka 27 kupitia pitio kama hili..
je nitaenjoy maisha yangu kweli
je iweje mtu mzima achukue mke wangu ambae ni sawa na binti yake
je aliniona mm ndo wa kuonea na kudhauliwa hadi kunisexia mke wangu..
je je je je hizi ndo zinanimaliza mm


******************************
basi baada ya wale jamaa kutoka nje nikafunga mlango wakarudi..
wakahoji kama ni mambo ya kuelewana iweje ufunge mlango? kama ndo hivi wakata kurudi..
ok nikiwaambia watoke sitafunga wakatoka..
nikamwambia jamaa nakupa dk moja uniue otherwise nikue
solution ya kuokoa maisha yangu na ww kuebdelea kuishi naomba nikifir* moyo wangu utakuwa umekusameha kabisa na nitalidhika..
akawa kama anataka kubisha nikamwambia nitakuua kaka...
basi lijamaa likajubali kwa shingo upande nikaamka nikamsogelea nikamwambia shusha nguo
ile naanza kufungua mkanda akatoka baruti akakimbia tena
****************************
ilikuwa kama saa 2 usiku sijanywa wala kula chochote
nikaamua kurudi nyunbani.na kuendelea kumuwinda jamaa alikata wiki 3 tusijue alipo..
Du mlokole kuliwa Tigo si atakufwa huyo?
Kwanza ondosha hilo kumbusho(your wife wako) hapo nyumbani arudi kwao kabsa wakaonane na mlokole wake pero huko!
 
****END******
Nilitumia wiki tatu kumtafuta jamaa bila mafanikio yan hata kazini haendi ..
tulipofika nyumbani mke wangu akala viapo vyoooote hadi vya biblia kwamba hatakaa arudie na kwamba ndo ilikuwa first time na ni pepo tu....

nikiamua kumkubalia yapite kwan alidai bila msamaha yeye atajiua.
ok tunaishi ila moyo wangu umepoa sana,
akifanya kosa dogo tu natamani kumpiga tu
kweli nilimpenda sana ila kwa sasa sihisi ule upendo wa awali.....
kwa watu wazima wa humu mliowah kupitia hali kama hii mlifanyaje?
mnisaidie kijana wenu
je huyu jamaa bado nahisi kumtafuta aniue au nimue
je nitafanyaje japo ni jirani yangu na nasikia wanahama hapa..
je ipo wakat utafika nitasahau kweli?
msaada wenu great thinkers
nipo mbele yenu...

*********************
tuepukane kuona kila kitu ni story asanteni sana.
wana saikolojia pl plz nawaombeni hasa pm
kwan simwamin mtu tena mke au mme
ninatongoza wake za watu japo sipendi
nakonda siku hadi siku
utendaji wa kazi umeshuka sana..

****************
ASANTENI
MKE AU MME WAKO SIMU YAKE INA SIRI NZITO

Ondowa huyo aliyejaribiwa na shetani kwani kujaribu huwa sio mara moja. Halafu ni kuwa kuwepo kwake kunakukumbusha na kukutowa raha ZA DUNIANI.
 
Mi hata sihitaji software wala,nini.....i just trust my switihatito mahondaw
 
Last edited by a moderator:
aisee pole sana kaka
i do believe its true story
kwani wadada wasiku hz tuna tamaa na kila mtu ana namna ya kurespond matukio km hayo
asikwambie mtu kuchapiwa kunauma sana hao wanaokukebehi ngoja yawakute
mi ushauri wangu ni huu:
muache tu kwa kweli maana hofu yangu usijemfanyia jambo baya km unavyosema akikosea watamani kumpiga
jipe likizo ya kutafakari mema yake na mabaya yake
km hujamuoa usimuoe tena
ushauri kwa wadada:
km unahisi huwezi kumiliki m/me mmoja usijiingize kwenye serious relationship utajiumiza bure!
we endelea kumiliki makoloni hata kumi unapga madanga yako bas!!

******************************
uko very ginius mkuu
lakini ni ngumu kujua lini kitatokea coz hi relationship ni ya muda
ss tulibadilishana simu zetu yan akitoka na yangu sawa nami hivo hivo
tulibadilisha password zetu za fb
yan ni full amani
lakin nilitaka kuprove kwamba ni kwel no cheating asilimia mia
ona yaliyonikuta..
hivyo ni ngumu kujua yupi mwema
 
Ok pole. Hayo ni maisha usiogope.
Ila ujue una vita hapo mtaani.
Wewe na familia ya mgoni wako hamtatazamana vizuri.
Kumbuka ana watoto na majirani pia wapo. Na wote watalaani umalaya wa mkeo.

Ushauri kama utataka. Nyumba kama umejenga au umepanga hama. Hama na huyo mkeo.

Acha nduguzo au weka wapangaji. Yaani hapo hapakufai tena. Watakuja kukuuwa.

**********-**************&
u have a point mkuu ila kuhusu hili nakiona kifo kama part of my life currently yani sijisikii woga sijui kwa nn...
aniue sawa
 
Unajua nilikuwa natizama post tuu nikaona hii post unanifanya nisilale daah ila pole sana mitihan tumeumbiwa binaadamu kaka kama mm huyo mke ningemuacha hafai maana hao watu wasaliti ukija ktk dini ya kiislam watu kama hao hukumu yao kifoo kwasababu walidhamiria na sibahat mbaya ila uamuzi unao ww kama umeamua kumsamehe msamehe kwa moyo wote ningekushauri uhame hiyo sehemu ulipo kama unakaa temeke amia kinondoni itakusaidia kusahau maana hiyo itakuwa kashfa mtaan upitapo
 
Msikivu Tz nakushauri ufuate ushauri huo hapo juu ila:

  1. Nakupa pongezi kwa kujieleza kwa ni hata kama identity haijulikanai yataka moyo. Nakupongezakwa hatua ulizochukua na naamini kwa ajili hasa ya mtoto.

  2. Usidhani nipeke yako wengi yamewakumba nadhani unasoma na unasikia, inauma sana pole. Jipe moyo.

  3. Je kuna mtu mzima unayemuamini ambaye unawezakulia kwenye shoulder yake na kumueleza yaliyokusibu. Watu wazima wanaexperiencenyiingi sana na wanajua kuzihandle wanaweza kukushauri ili uweze kusahau.Inauma lakini sahau na uendelee na maisha. Tena mi nadhani ni vema kwa sasa mkombalimbali hata hivyo fanya hima umtafutie mkeo ili baadae ahamie DSM. You areso young to live apart ( japo muhusika alikuwa jirani) lakini bora mke awe karibukuondoa mjaribu mengine.

  4. Maisha yana majaribu mengi , wengi yamewakutamengi, Sali na umuombe Mungu akuondolee machungu kwani matatizo ya kifamiliayasije haribu upande wa kazi na mahusiano na wengine.

  5. Nyumba mnayoishi ni yenu au mmepanga, kamammepanga na ukaona ulazima unaweza kuhama. Nina mifano mingi, ninamfahamu babammoja alikuwa ulaya mkew wake akazaa na mzungu( si kwa kuwa ni mzungu ni dhambizaidi la hasha lakini mtoto wa kihalf caste inakuwa si siri ya ndani tena). Mmewake alimsamehe na wakapata watoto wengine, achilia mbali wengine naowafahamu.( si kwamba nasupport) lakini walisameheana na maisha yakaendelea na babaalimlea Yule mtoto wa kizungu kwa kutumia ubin wake ( baba). Cha muhimu naaminimke wako amepata fundisho kubwa.

  6. Mwisho: Uamuzi wa mwisho ni wako pokea ushauri ila usikilize moyo unakuambiaje. Kuna wengine wanaweza wakasema ningekuwamimi ningemwacha, yakiwakumba wanaamua vinginevyo. Maamuzi yote unayo wewe.Pole sana, Mungu atakusimamia na utasahau.

**†****************†*****************
Mwana respect kwako.
physically sioni mtu wa kumuelezea huu mkasa may b in future..
kwa kifupi nafrah kuwa msiri i have that bhaviour
 
Last edited by a moderator:
mkuu sina imani na mtu sasa hivib yani nimeathilika kisaikolojia kwan nami nimekuwa sasa wa kutongoza na kudate wake za watu kama kulipiza kisasi....kama kuna mwanasaikolojia humu anisaidie maana nilikuwa namheshim mke wa mtu kama ukoma ila sasa ndo hivi tena.....usione mtu kutembea na wake za watu kumbe nyuma yake kuna mengi yanasababisha

Hata huyo mlokole anatembea na mkeo kwa sababu kama uliyosema?
 
****END******
Nilitumia wiki tatu kumtafuta jamaa bila mafanikio yan hata kazini haendi ..
tulipofika nyumbani mke wangu akala viapo vyoooote hadi vya biblia kwamba hatakaa arudie na kwamba ndo ilikuwa first time na ni pepo tu....

nikiamua kumkubalia yapite kwan alidai bila msamaha yeye atajiua.
ok tunaishi ila moyo wangu umepoa sana,
akifanya kosa dogo tu natamani kumpiga tu
kweli nilimpenda sana ila kwa sasa sihisi ule upendo wa awali.....
kwa watu wazima wa humu mliowah kupitia hali kama hii mlifanyaje?
mnisaidie kijana wenu
je huyu jamaa bado nahisi kumtafuta aniue au nimue
je nitafanyaje japo ni jirani yangu na nasikia wanahama hapa..
je ipo wakat utafika nitasahau kweli?
msaada wenu great thinkers
nipo mbele yenu...

*********************
tuepukane kuona kila kitu ni story asanteni sana.
wana saikolojia pl plz nawaombeni hasa pm
kwan simwamin mtu tena mke au mme
ninatongoza wake za watu japo sipendi
nakonda siku hadi siku
utendaji wa kazi umeshuka sana..

****************
ASANTENI
MKE AU MME WAKO SIMU YAKE INA SIRI NZITO

Aiseee,pole sana ndugu,kumbe sikumaliza hii story,nw nimefuatilia mkasa huu kuanzia mwanzo kabsa hadi mwisho,kwanza wewe ni jasili sana,nakusifu kwa hilo,Muombe Mungu sana ili uweze kusahau hiyo ishu,pia jifunze kusamehe plzzz,ni imani ukisamehe kwa moyo wako wotee na kukusahau ni rahisi,usimuache mkeo kwa vile kawa muwazi kwa yoote na kakiri hatorudia tena,msamehe tu,na huyo mbabu acha kumfuatilia tenaa na kama ataama itakua vizuri zaidi,weka nguvu zaidi ktk kujenga na kuimalisha Ndoa yako iliyojaribiwa na shetani,nawatakia maisha mema wewe na mkeo.
NB.Usifuatilie wala kushika tena simu ya Mkeo,Mtaishi kwa Amani na Upendo milele.
 
Duh, kwa stail hii nitaoa kwel?
Any way msikivuTz pole sana kwa yaliyokukuta ningekua mm sijui ningefanyaje asee ila kuna sehem umenichanganya kwenye uzi wa kwanza ulisema hamjapata mtoto ila kwenye coments umesema mna mtoto m1, iko vp hapo??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom