Nimechoka kuumia, wadau nisaidieni.

uwe unaakili za kujiongeza,some tymes wapenzi huchokana ,inavyoonyesha ww umechokwa! sepa fasta!!
 
ujumbe wenyewe mbona wa salamu tu, ilikuwa hv: "vp mpenzi wangu siku hz umenisusa" na aliyeu2ma ni classment mwenzangu 2liyemaliza naye O'level.

Classment anakuita mpnz wangu!! ila mkuu umebugi usingemwachia aondoke baada y kuiona hiyo sms.hapo hapo ndio ungekua wakati mzuri wa kumprove her wrong kw kumpigia muhusika .........au mkubwa ulikua unatindua kote?!!
 
kuna watu wengine hawajui kutafuta sababu za kuachana na wapenzi wao na kwa nini kama amekuchoka asikwambie moja kw amoja kwamba nimechoka kuliko kutafuta sababu zisizo na kicwa wala miguu?
 
Fidel80 njoo umshauri mwenzio hapa ,kachoka kuumia ..
pole kwani msg ilikuwa inasemaje mpaka ikamfanya akuache??
 
afadhali alifanya maamuzi yaliyo sahiihi ule wakati wa kunyenyekea wanaume kama tunapokea sakramenti umeisha ukiona havieleweki unachapa mwendo utajua mbele kwa mbele . mama zetu ndo walikuwa wanayaweza hayo kwa sababu walikuwa ni mama wa nyumbani tu wasiokuwa na sy yoyote,wanawake wengu wa siku hizi hawaha hayo maujinga ya kumfuma mwanaume then unambembeleza cha muhimu ukishakuwa na maisha yako yaliyosimama mwanaume hakupeleki peleki hovyo kama mlevi wanawake tujitahidi sana kujikwamua kimaisha kazi au bihashara yako ndio mume wa kwanza then ndo wanakuja hao wame number mbili. kwa kweli nampongeza sana huyo dada kwa kukutosa coz hujielewi unahitaji nini kwenye maisha yako
 
pole....Maybe she need a break lol,give her if she trily loves she'll come back 2 you someday!
 
huyo alikuwa anatafuta sababu ya kutoka kwenye mahusiano.kubali hali hiyo.ipo siku utapata atakayekupenda na kukuvumilia zinapotokea shida ndogo ndogo kama hizi.pole!
 
Nilikuwa na girlfriend niliyempenda sana, lakini ikajatokea tukaachana kisa ujumbe mfupi wa kwenye simu yangu. Nimemuomba msamaha miezi miwili sasa lakini hataki kunielewa, na nafsi yangu bado inamhitaji. Nitafanyaje sasa ili turudiane.?

Kumbe ni hawara (Girlfriend), hao ni kama daladala akishuka pakia mwingine mwendo mdundo
 
Kakweli nampa pole saana huyu bro, ila itabidi tu anisamehe kwa nitakayomwambia, kwa upande wangu huwa nafarijika sana nikiona au kusikia mwanaume ameachwa au kuumizwa na mpnz wake yani huwa napata kiraha flan hivi, coz hawa wanaume wao huwa hawana huruma kwetu kbs, mtu anajipanga kumchezea au kumchanganya na vimeo vyake vingine makusudi then anatafuta kasababu hakana hata kichwa wala miguu anamtosa na kumwacha na maumivu,kwa kweli kaka jua tu hapo umetoswa cha kufanya cheki line ya pili km inapatikana hamia na songesha maisha,au ukiona vp kuwa tu ya nn kuumizana nafsi kila wakati!
 
haya mambo ya kuhamia sehemu ya pili si mazuri ... ni vyema kakaa akatulia na kujipanga tena maana unaweza kuhamia mzimamzima
 
Mapenzi yalikufaga zamaaaan,kijana ucpende xaaana kuwa lover boy,itakucost unachotakiwa uwe play boy iyo itakusaidia.

na hili ndo linafanya mapenzi yenu yasidumu na siku utakapoamua kuwa na mapenzi ya kweli moyo wako utavunjwa vipande vipande mpaka ushangae labda uplay mpaka kifo
 
na hili ndo linafanya mapenzi yenu yasidumu na siku utakapoamua kuwa na mapenzi ya kweli moyo wako utavunjwa vipande vipande mpaka ushangae labda uplay mpaka kifo

tatizo wengi wanapenda chovya chovya hawajui madhara yake ni kushindwa kudumu na mtu kwa vile hujazoea kumaliza matatizo ya mahusiano
 
Back
Top Bottom