Nimechanganyikiwa mpaka nakitamani kifo nisaidieni nifanyeje mimi

Kwa hiyo tangu uanze na hizi fast-track (za wiki 2 mbili) umeshafanikiwa. Ukikutana na mwanaume anayenunua bidhaa bila kutest naye lazima atakuwa na matatizo yake. Ndio baadae mnaanza kutujazia mada za malalamiko hapa,...ooh anamimina tripu moja analala...mara ooh, kumwamsha mpk ukaazime vitu vya siri kwenye video library

Huu ushauri na wadogo zenu/watoto wenu huwa mnawaambia au mko kupotosha wengine tu?? Dah....
 
Latifaa usijali mammy embu jiulize hivi kati ya huyo mwanaume alie kupa huo ujauzito na na huyo mtoto wako tumboni yupi wa maana au yupi wa muhimu?
Kwa upande wangu mie naona mtoto ni wamuhimu aijalishi ana baba au hana tena kuna watu wanakaa mahospitali miezi 9 bedrest kisa ni mtoto kuna ndoa kibao zinavunjika kisa ni mtoto, tena miaka kadhaa mbele utakua unaulizwa na watu una watoto wangapi? kama huna utakua unajisikia uchungu na watu watakusikitikia watakao kuuliza una mume ni wachache hata ukisema huna hawata sikitika.
Pia sikushauri umfatefate huyo mwanaume kisa mtoto au ujipendekeze kwake ili akusaidie kulea mtoto sanasana atakuumiza utakua unateseka kufikiria vimsaada vyake uchwara lea mwanao kwa maringo ukimshirikisha mungu.

Binafsi yameshanitokea kama yako, kwenye maisha yangu sioni umuhimu wa baba hata nisingemjua ingekuwa vizuri zaidi nina mifano ya watu wengi wanawajua baba zao baada ya kuzaliwa nje ya ndoa hawapati chochoote hakuna lolote wanasaidiwa zaidi ya kujua yule ni baba yangu, sanasana uatajikuta unamtia huyo mtoto uchungu kwa hilo libaba, huyo mtoto ukimzaa mwambie tokea akiwa mdogo baba yake alimkataa na kumkana uwe ni wimbo wa kila siku tena chafua mbaya kila siku atakua akizoea hivyo hata akiwa mkubwa siku huyo baba akijipendekeza kwa mtoto hawezi ambulia kitu zaidi ya aibu, baba baba? baba kitu gani bana? baba labda mungu tuu ndie anayefaa kuitwa baba! hata waliozaliwa kwenye ndoa wenye baba kweli wachache
 
Kwa kweli kama huyo mtu anajua, basi unatakiwa kuchagua moja kati ya mawili. Kuabort ili ukae salama mbali na huyo mtu na uendelee kubaki katika nafasi ya kuweza kuanzisha ndoa ya uhakika au zaa ili usumbuliwe na huyo jamaa mpaka kaburini na kama iman yako na huyo jamaa inaruhusu mke zaidi ya mmoja basi akufanye mke wa pili. Kwa ufahamu wangu wanawake wanapojikuta ktk hali kama hiyo, zaidi ya 90% wanaamua kuabort. Na kuna wengine huabort hata kama hawajasalitiwa inaweza kuwa ni kwasababu muda huo hawakujiandaa kulea. Huo ndio ukweli hata kama unaenda kinyume na maadili. Na kwa mazingira yanayokuzunguka wewe, kwa nia njema kabisa mie ningekushauri uabort.
 
Wee mshamba ngoja nikutolee uvivu aliekudanganya wanaofanya ngono ndani ya ndoa hawapati ukimwi ni nani au niushamba wako unakusumbua na unajuaje Latifaa kama kashapima ukimwi au hajapima kama wewe umeathirika unazani kila mtu ni muathirika mwenzio, shuwain!

Wanaopata Ukimwi ndani ya ndoa ni kama huyo mwanamme aliyomtia mimba Latifa, ambao ni wazinifu, na kila anaeshabikia hili na yeye ndio haohao.
 
Dada yangu kwanza POLE sana.
Pili, huu mlima unaonekana mkubwa sana lakini sio ki hivyo...naomba usi commit suicide, na pia naomba...kweli nakuomba usiiitoe hiyo mimba. Najua ukiachana na huyu jamaa mambo yatakuwa magumu lakini jua ni kwa muda tu. This baby will make you so proud...he/she atakupa reason ya kuamka asubuhi na nguvu zote na kwenda kupambana na changamoto za hii dunia. Baba mtu will come around...sio leo may be sio kesho lakini eventually atakuja tu....usipoteze muda naye...anza kivyako...shikamana na marafiki zako wa kweli...see some support kutoka nyumbani kwenu..halafu erase this dude from your hard drive....ninakuhakikishia maisha yako mwaka mmoja kutoka sasa yatakuwa mazuri kuliko uiyo nayo sasa.
 
Dada umeshapata ushaur wa kutosha..sasa huna,haja ya kujiua wala nn.hawa ndo wanaume ambao wamekuwa jaribu kubwa ktk maisha yetu japo tulitoka ubavuni mwao. Mpotezee muombe mungu akupe ujasiri endelea namaisha yako zaa na lea mtoto wako kuzaa bila kuolewa siyo mwisho wa maisha yako
 
Nafikiri tatizo si mimba ila kutokuwa wawazi. Miaka miwili bado mtu hajamfahamu vya kutosha mpenziwe.! Huyo mme inawezekana si mbaya kihivyo lazima kuna jambo lililomfanya atoke nje. Tatizo nilionalo ni binti kutopenda kuolewa mitala. Miaka miwili mlikuwa mmejificha tu hamkuwahi kutembelea ndg na marafiki? Ongeeni na ikiwezekana olewa tu naye. Suala la ndg eti amekuletea aibu linatoka wapi si mlikuwa mnafurahi wote? ungemwambia akachumbie mfunge ndoa kwanza. Mimi sioni tatizo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom