Nimechaguliwa kujiunga na AZANIA SECONDARY SCHOOL A-LEVEL 2023 wanaoijua mnisaidie hapa

Mjukuu wangu,hongera sana ila mshukuru Mungu umekaribishwa katika ulimwengu wa ajabu mapema

Shule ulipopangiwa ni wewe kujitafuta hasa ili utoboe , hapo Nelkon na akina Roger Muncaster wafanye kuwa ndugu zako wa karibu kwa mchepuo uliokuwepo

Shule ipo mjini kabisa ,wadada hapo hatuwapati kwa kutongoza ila pocket money yako inaweza kukupa ahueni , chunga sana

Ogopa sana kujikuta MUHAS hasa kijichanganya kuliko pitiliza na watoto wa hiko chuo hao walishapita huko ukijiconnect nao utajikuta ni mwanachuo na sio mwanafunzi wa shule ya upili

Kikubwa kasome , library nzuri zote ziko karibu na wewe usiende kusoma magazeti ya udaku ila vitabu vya akina Shayo et al

Mengi utayakuta mjini hasa umalaya na starehe kikubwa najua una shauku ya kufika Dar es salaam

Kikubwa nachokukumbusha ni kupunguza ushamba huko huko mkoani ili ukija mjini usiendeshwe na tamaa ya kutaka kuondoa ushamba

Zaidi karibu mno , ukifika pambana upate kwa kuishi ukikosa karibu PM nitakusaidia
 
Mjukuu wangu,hongera sana ila mshukuru Mungu umekaribishwa katika ulimwengu wa ajabu mapema

Shule ulipopangiwa ni wewe kujitafuta hasa ili utoboe , hapo Nelkon na akina Roger Muncaster wafanye kuwa ndugu zako wa karibu kwa mchepuo uliokuwepo

Shule ipo mjini kabisa ,wadada hapo hatuwapati kwa kutongoza ila pocket money yako inaweza kukupa ahueni , chunga sana

Ogopa sana kujikuta MUHAS hasa kijichanganya kuliko pitiliza na watoto wa hiko chuo hao walishapita huko ukijiconnect nao utajikuta ni mwanachuo na sio mwanafunzi wa shule ya upili

Kikubwa kasome , library nzuri zote ziko karibu na wewe usiende kusoma magazeti ya udaku ila vitabu vya akina Shayo et al

Mengi utayakuta mjini hasa umalaya na starehe kikubwa najua una shauku ya kufika Dar es salaam

Kikubwa nachokukumbusha ni kupunguza ushamba huko huko mkoani ili ukija mjini usiendeshwe
Shukurani sana.
 
Kama kichwa cha uzi kinavyosema, mimi nimemaliza form four mwaka jana hivyo form five selections zimetoka na nimechaguliwa kwenda Azania sec

Hivyo najua humu kuna watu wanaishi hapo karibu au wamesomea pale naomba mnipe hali ya maisha ya pale,ufaulu wake, n.k

Natokea mikoani na itakuwa mara yangu ya kwanza kuishi dar

Combination nimechaguliwa kusoma PCM

Natanguliza shukurani
Karibuni wajibu

Funny boe
Ni wazo lilikujia tu Azania nawe ukaandika tupe ufafanuzi.
 
Atakuta Pisi kali za jangwani, zinazo jiona ni slay queen wa town,
atajua Dar ni mkoa au jiji.

Tulikuwaga tunakutana na pisi nyingi sana Mchikichini kipindi cha Likizo(Tuition), ila kutokana na stress za masomo hata kuwa na muda nazo hamna.

Akili ilikuwa ni namna gani utamaliza topic huku huna hela ya kulipia. Na tuliweza kumaliza topic kweli.

Sasa yeye akawe busy na vyote kimoja kimponyoke
 
Kheeeeh 1 ya 7?? Si ungepelekwa Special school.
Ndio kuna namna hivi nilikuwa nabadilisha comb from PCB to PCM online sa kwenye kujaza PCM ikawa imeambatana na azania nikachukulia utani ila nimepelekwa hapo hapo.

sikutaka pia
 
Tulikuwaga tunakutana na pisi nyingi sana Mchikichini kipindi cha Likizo(Tuition), ila kutokana na stress za masomo hata kuwa na muda nazo hamna.

Akili ilikuwa ni namna gani utamaliza topic huku huna hela ya kulipia. Na tuliweza kumaliza topic kweli.

Sasa yeye akawe busy na vyote kimoja kimponyoke
wanafunzi bhanaa badala ya kusoma, wanawaza mapenzii, khaaaah
 
Tulikuwaga tunakutana na pisi nyingi sana Mchikichini kipindi cha Likizo(Tuition), ila kutokana na stress za masomo hata kuwa na muda nazo hamna.

Akili ilikuwa ni namna gani utamaliza topic huku huna hela ya kulipia. Na tuliweza kumaliza topic kweli.

Sasa yeye akawe busy na vyote kimoja kimponyoke
Nilikuwa natania tu kunogesha ila siko huko mkuu
 
Kama kichwa cha uzi kinavyosema, mimi nimemaliza form four mwaka jana hivyo form five selections zimetoka na nimechaguliwa kwenda Azania sec

Hivyo najua humu kuna watu wanaishi hapo karibu au wamesomea pale naomba mnipe hali ya maisha ya pale,ufaulu wake, n.k

Natokea mikoani na itakuwa mara yangu ya kwanza kuishi dar

Combination nimechaguliwa kusoma PCM

Natanguliza shukurani
Karibuni wajibu

Funny boe
Moja kati ya shule kongwe, ipo upanga magharibi, jirani kabisa na mhimbili na fire
 
Nilikuwa natania tu kunogesha ila siko huko mkuu
Wakongwe tuliopambana Advanced Physics, Chemistry, Biology, Pure Math tunakuzoom tu hata utanie au usitanie..

Tafuta nyuzi zinazohusu Advanced Physics humu uone shuhuda za watu jinsi walivyohenyeshwa na Phyz
 
Kama kichwa cha uzi kinavyosema, mimi nimemaliza form four mwaka jana hivyo form five selections zimetoka na nimechaguliwa kwenda Azania sec

Hivyo najua humu kuna watu wanaishi hapo karibu au wamesomea pale naomba mnipe hali ya maisha ya pale,ufaulu wake, n.k

Natokea mikoani na itakuwa mara yangu ya kwanza kuishi dar

Combination nimechaguliwa kusoma PCM

Natanguliza shukurani
Karibuni wajibu

Funny boe
Pale mimi nilipita hapo miaka 1990(PCM) ,ilikuwa safi sana.Kulikuwa na commbination moja tu,ila nasikia sasa hivi zipo kibao.Nakuomba usome dogo maana hapo umezungukwa na Jangwani girls na ndani ya fenci ya Azania kuna hostel za Zanaki..Nafikiri umeeelewa
 
Back
Top Bottom