Nimeborekaaaaaa sanaaaaaa!!!

Hahahahaa hiyo paragraph ya mwisho umeiogopa bure. Hapo ungepata tiba ya kudumu na kamwe usingeweza kujua kusikia huzuni tena maishani mwako. Ila si mbaya tumia malezo ya mwanzo kupata ahueni ya muda mfupi!!!!

Picha kama hizi hapa zinaweza kukusadia kupunguza stress, loh!
funny.photo.1231.jpg

Au hii hapa ...
funny_0022.jpg

Huzuni isipoondoka, angalia hapa chini ...
funny.monkey.eating.popsicle.jpg

Mhhhhh ....
animated_1122.gif

funny_pee_in_pants.jpg

Thanx much am 3/4 healed thanx much,
kweli mi muoga ikijirudia tena will use the last sentence lol
 
sakapal pole sana kwa kuboreka. Miili yetu hii kila siku mtu unaamka na hali tofauti. Hebu ondoa stress kwa kuikumbuka ile joke iliyokuchekesha sana. Waikumbuka? Ni hii: Nyani aliboreka akataka afe. Akaona njia nzuri ya kufa ni kwenda kummweka dole mzee simba. Akamnyemelea simba akiwa amelala na kumweka kidole matakoni. Badala ya simba kuchukia na kumrarua nyani, simba.............................
Bila shaka utakuwa unatabasamu sasa dadangu sakapal. Wish u you g'day!
 
Last edited by a moderator:

Thanx Hygeia nimekumbuka na nimecheka sana tena kwanguvu hadi watu wameshangaa lol thanx much, guday too
 
Back
Top Bottom