nimebakwa juzi

Ulipiga goli ngapi?ubakaji huo ulikuwa mtamu sana nimeutamani.kwa hiyo mzed ulipigwa gwala sio?
Yaani braza huwa nashangaa watu kama hawa,chances zinakuja laivu bila chenga halafu jamaa anasema eti amebakwa.
 
Wanaobakwa hupiga kelele za Kuomba msaada. Wewe ukanyoosha mtalimbo uvikwe Rambo halafu unataka kufungua kesi? Uliifuata mwenyewe tu. Au pengine unataka blackmail Dada wa watu. Umeshanusa noti zake nyie wapenda mitaremko.
 
Mkuu haujaweza kufunguka vizuri kuna maswali mengi ya mtu kujiuliza kwenye hii story yako. Je wakati mnacheza huo mchezo wa kikubwa mtoto wake alikuwa wapi? Je mlienda chumbani kwake au hapo sitting room? Hata hivyo hongera mkuu kwa kumega kusikotarajiwa!
 
Heri yako wewe umelazimishiwa tamuu,mimi nazisaka tamuu kila mahali hadi JF ila sijapata kitu mkuu!
 
Angekubakia kwako ungeweza shinda, ila kwa kuwa wewe ndio ulienda kwake inathibitisha kuwa wewe ndio mchokozi...
 
Sospa haiwezi kukulinda wewe mwanaume Mara nyingi inawalinda wanawake hii ni kwa sababu kifanyio anacho mwanaume na mwanaume akikataa kifanyio hakitofanya kazi.

Kwa kesi yako hapo utapoteza tu maana umeenda kwa mama Wa watu mmekunywa vinywaji vilevi (intoxication) na ndio mkaendelea na game na kifanyio chako kikavikwa protector ukatulia kuonyesha umeridhia.
 
hivi kweli kwenye tukio la kubakwa mzee anaweza kusimama? halafu muache umbea wa kuwazungumzia wafanyakazi wenzenu
 
Back
Top Bottom