Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

Naomba niende kwenye mada, mm na mke wangu tulioana mwaka 2015 japo tulianza mahusiano muda mrefu kidogo na mtoto wetu wa kwanza tulimpata mwaka 2013, na wapili mwaka 2018.

Nilihamishwa kikazi kutoka dar kwenda moja wapo ya mikoa ya kanda ya ziwa, hiyo ilikua mwaka 2019 ikabidi wife na watoto wabaki huko mkoa jirani na dasalamu yaliko makazi yetu ya kudumu.

Sababu ya kuibakiza familia huko ni kwamba first born wetu alikua anasoma na ukizingatia huku nilikohamia bado sijajiimarisha vyema.
Nilikua naenda kuwatembelea mara kwa mara na wao pia niliwapa fursa ya kua wanakuja ninakofanyia kazi mara tu shule zilipokua zikifungwa. Nilipanga kuihamisha familia yangu kuja kuishi na mm mara baada ya kukamilisha taratibu za kumhamisha binti yangu kipenzi na pia kumpata mtu sahihi atakaeishi kwenye nyumba yangu.

Mwaka Jana mwanzoni mwa mwezi wa sita mke wangu alinipigia cmu akanieleza kwamba anataka kuhamia huku niliko hivyo nianze taratibu za uhamisho, nami bila kufanya hiana nikaanza hatakati za kupata nafasi ktk shule nzuri za private ktk mkoa huu baada ya shule kufungwa wife na watoto wetu wawili wakatia nanga dogo akaenda akapiga paper akafaulu akapata nafasi hiyo ni mwezi wa saba 2021.

Maisha yakaendelea, mwezi wa nane wife akanambia ana mimba, tukaenda kuhakiki kweli nikadhibitisha ni mjamzito sikutaka kuhangaika na mambo ya mimba ina muda gani
Harakati za CLINIC zikaanza tukaenda tukacheki afya wote tupo sawa japo wife alinihofia Sana kua yawezekana nimeshakanyaga waya
Ilipofika mwezi wa 12 wife akaanza kunambia UNAJUA SIKU HIZI MAMBO YAMEBADILIKA SANA MJAMZITO ANAWEZA KUJIFUNGUA HATA MIEZI TISA HAIJATIMIA, mm nikawanamuuliza hayo mabadiliko yameanzia kwako au ni kwa wajawazito wote na je hiyo ni sayansi ya wapi huku nikimtania kua mbona hiyo mimba yako nikipiga hesabu ulivyofika hapa na jinsi inavyoonekana ni tofauti, (mimba ilionekana kubwa)

Ukweli ni kwamba wife alifika huku ninakoishi mwezi wa saba Kati ya tarehe 15 hadi 23 mwezi wa saba
Kwa haraka haraka kama ni mimba niliipigia hesabu za mwezi wa nane na kama nikujifungua basi itakua mwezi wa nne katikati au mwishoni kabisa
Kilichonishtua ni mke wangu KUJIFUNGUA tarehe za mwisho wa mwezi wa pili huku mimba ikiwa imemchosa Sana (mtoto wa kiume,ambae Sasa ni mtoto wetu wa 3)

Kilichoanza kunishtua wife anakomalia mtoto apewe jina W na mm nasema kama mm ndie baba wa huyo mtoto basi ataitwa jina Q, tukaendelea kutana Sana na ikumbukwe mm nashinda Sana kazini hivyo hata wakubwa zake wakawa wanamuita jina hilo analolitaka mama yao ikabidi niwapige marufuku kumuita mdogo wao jina hilo na hadi fimbo zilitimika ndio kwa mbaali wakapunguza.

Jina hili limeendelea kuitwa na kitajwa na waumini wenzake na wife hata wakija kumtembelea utasikia wanamuita jina hilo mm nakausha naamua kusepa zangu naenda kumwagilia moyo

Ikabidi nikae na wife nimuulize kinagaubaga juu ya kweli wa mimba kujifungua jina pamoja na mtoto kutokuonyesha dalili za kuwafanana wakubwa zake Wala mm Wala yy mwenyewe, wife hakusema kitu japo alionekana kuna jambo anaficha
Niliendelea kumuuliza pasipo kumpiga Wala kuhombana ndipo wife alipoamua kunichana ukweli huku akimsingizia shetani na kunilaumu mm kua nilikua mbali nae akateleza mara moja akafanya ndo ikawaimetokea hivyo, nikatulia sikumshirikisha mtu mwingine hata kidogo maisha yakaendelea lkn moyoni naumia Sana,
Na kadri siku zinavyozidi kwenda nakosa uvumilivu ukizingatia natumia kilevi hua na kua na mawazo mengi Sana nikifikiria kuilea damu isiyokua yangu.

Hakika kwa umri wangu huu wa chini ya miaka 35, jamani mm hili jambo limenishinda kabisa naona sitaweza kulibeba.

Jana nimemweleza kaka yake mkubwa pamoja na mama yake kua mm uzalendo umenishinda nisijefanya maamuzi mengine yakagharimu pande zote mbili nimeomba mke arudi kwao au aende kwa huyo aliezaa nae mm aniache nilee watoto wangu wawili
Naombeni USHAURI WENU wadu mwenzenu Niko dilemma

NB; matusi nisingependelea kuyaona
Pole sana mkuu kwa jambo zito lililo mbele yako, unahitaji utulivu sana wa maamuzi juu ya hatima yako,Mungu akusimamie na kukupa hekma katika kipindi hichi

Ushauri wangu kabla hujaamua kuchukua maamizi ya jumla kawapime D. N. A hata haya watoto wawili unaodhani ni wako ili uweze kujua ukweli ni upi, coz najiuliza maswali machache.

Kama mwanamke anajua kabisa amecheat juu ya ujauzito kwanini asingekuwa mtulivu na mwenye busara hata kutokulazimisha jina ambalo wewe hulipendi kwa mtoto aliezaa nje ya ndoa.

Huenda ana uzoefu na alichofanya, kwa mwanamke mwingine asingepata hata nguvu ya kuanza kubishana juu ya jina la mtoto, baada ya majibu ya D.N.A utajua nini cha kufanya.
 
Kaka mtu kasema hata yy ni mwanaume hawezi kukubaliana na mke wake kuzaa nje ya ndoa ni bora angefanya mapenzi tu kama kweli alikua amezidiwa ikaisha lkn sio kuzaa nje hiyo ni dharau akanambia nimpeleke kwao

Mama mkwe yy anamtetea mtoto wake ananiuliza wakati anazaa nje wewe ulikua wapi nikakata cmu sikutaka kuendelea kumsikiliza
Tatizo jingine huyu wife analazimisha kua ataondoka ila lazima aondoke na watoto wake wote,
Hapo anatumia kigezo Cha kuondoka na watoto wote ili aendele kubaki ndani mwako aibu yake isijulikane.
 
Naomba niende kwenye mada, mm na mke wangu tulioana mwaka 2015 japo tulianza mahusiano muda mrefu kidogo na mtoto wetu wa kwanza tulimpata mwaka 2013, na wapili mwaka 2018.

Nilihamishwa kikazi kutoka dar kwenda moja wapo ya mikoa ya kanda ya ziwa, hiyo ilikua mwaka 2019 ikabidi wife na watoto wabaki huko mkoa jirani na dasalamu yaliko makazi yetu ya kudumu.

Sababu ya kuibakiza familia huko ni kwamba first born wetu alikua anasoma na ukizingatia huku nilikohamia bado sijajiimarisha vyema.
Nilikua naenda kuwatembelea mara kwa mara na wao pia niliwapa fursa ya kua wanakuja ninakofanyia kazi mara tu shule zilipokua zikifungwa. Nilipanga kuihamisha familia yangu kuja kuishi na mm mara baada ya kukamilisha taratibu za kumhamisha binti yangu kipenzi na pia kumpata mtu sahihi atakaeishi kwenye nyumba yangu.

Mwaka Jana mwanzoni mwa mwezi wa sita mke wangu alinipigia cmu akanieleza kwamba anataka kuhamia huku niliko hivyo nianze taratibu za uhamisho, nami bila kufanya hiana nikaanza hatakati za kupata nafasi ktk shule nzuri za private ktk mkoa huu baada ya shule kufungwa wife na watoto wetu wawili wakatia nanga dogo akaenda akapiga paper akafaulu akapata nafasi hiyo ni mwezi wa saba 2021.

Maisha yakaendelea, mwezi wa nane wife akanambia ana mimba, tukaenda kuhakiki kweli nikadhibitisha ni mjamzito sikutaka kuhangaika na mambo ya mimba ina muda gani
Harakati za CLINIC zikaanza tukaenda tukacheki afya wote tupo sawa japo wife alinihofia Sana kua yawezekana nimeshakanyaga waya
Ilipofika mwezi wa 12 wife akaanza kunambia UNAJUA SIKU HIZI MAMBO YAMEBADILIKA SANA MJAMZITO ANAWEZA KUJIFUNGUA HATA MIEZI TISA HAIJATIMIA, mm nikawanamuuliza hayo mabadiliko yameanzia kwako au ni kwa wajawazito wote na je hiyo ni sayansi ya wapi huku nikimtania kua mbona hiyo mimba yako nikipiga hesabu ulivyofika hapa na jinsi inavyoonekana ni tofauti, (mimba ilionekana kubwa)

Ukweli ni kwamba wife alifika huku ninakoishi mwezi wa saba Kati ya tarehe 15 hadi 23 mwezi wa saba
Kwa haraka haraka kama ni mimba niliipigia hesabu za mwezi wa nane na kama nikujifungua basi itakua mwezi wa nne katikati au mwishoni kabisa
Kilichonishtua ni mke wangu KUJIFUNGUA tarehe za mwisho wa mwezi wa pili huku mimba ikiwa imemchosa Sana (mtoto wa kiume,ambae Sasa ni mtoto wetu wa 3)

Kilichoanza kunishtua wife anakomalia mtoto apewe jina W na mm nasema kama mm ndie baba wa huyo mtoto basi ataitwa jina Q, tukaendelea kutana Sana na ikumbukwe mm nashinda Sana kazini hivyo hata wakubwa zake wakawa wanamuita jina hilo analolitaka mama yao ikabidi niwapige marufuku kumuita mdogo wao jina hilo na hadi fimbo zilitimika ndio kwa mbaali wakapunguza.

Jina hili limeendelea kuitwa na kitajwa na waumini wenzake na wife hata wakija kumtembelea utasikia wanamuita jina hilo mm nakausha naamua kusepa zangu naenda kumwagilia moyo

Ikabidi nikae na wife nimuulize kinagaubaga juu ya kweli wa mimba kujifungua jina pamoja na mtoto kutokuonyesha dalili za kuwafanana wakubwa zake Wala mm Wala yy mwenyewe, wife hakusema kitu japo alionekana kuna jambo anaficha
Niliendelea kumuuliza pasipo kumpiga Wala kuhombana ndipo wife alipoamua kunichana ukweli huku akimsingizia shetani na kunilaumu mm kua nilikua mbali nae akateleza mara moja akafanya ndo ikawaimetokea hivyo, nikatulia sikumshirikisha mtu mwingine hata kidogo maisha yakaendelea lkn moyoni naumia Sana,
Na kadri siku zinavyozidi kwenda nakosa uvumilivu ukizingatia natumia kilevi hua na kua na mawazo mengi Sana nikifikiria kuilea damu isiyokua yangu.

Hakika kwa umri wangu huu wa chini ya miaka 35, jamani mm hili jambo limenishinda kabisa naona sitaweza kulibeba.

Jana nimemweleza kaka yake mkubwa pamoja na mama yake kua mm uzalendo umenishinda nisijefanya maamuzi mengine yakagharimu pande zote mbili nimeomba mke arudi kwao au aende kwa huyo aliezaa nae mm aniache nilee watoto wangu wawili
Naombeni USHAURI WENU wadu mwenzenu Niko dilemma

NB; matusi nisingependelea kuyaona
Huyo mke amekudharau sana. Yani jina anang'ang'ania pia? Anampenda sana huyo mtu. Wewe ni toy tu kwake
 
Pole sana ndugu kwa hili, lakini mtu hupewa jaribu analolimudu. Mm nna amini utalimudu.

Japo kwa umri uliokiri kua chini ya miaka 35 jaribu laweza kua zito, giveni mazingira tunayoishi sasaivi. Ndugu mm nnakwenda kinyume na wengi waliokushauri hapa, kuna mchangiaji mmoja alisema "Iko namna wazee wa zamani walikua wanahandle matatizo kama haya". Nnaunga mkono hoja ya huyu mchangiaji kwa 100%.
Kuna siku nlipata wasaa wa kupiga story na mzazi wangu basi katika maongezi nlikuja kugundua kua ndugu zake kadhaa kwa mama yake mdogo (Baba yake alikua na wake wawili) hawakua watoto wa Baba yake. Babu yetu alilipokea na hao watoto wamekua wa kwake na kurithi vya kwake.

Basi tena siku moja nikiwa safarini, nikapata kuskia story nyingine iliwahi kutokea Bukoba. Hii ilikua mbaya zaidi maana kwenye ndoa hii mama wa familia alichepuka na padre, tena padre wa kizungu. Akamzaa mzungu kwenye familia ya wahaya weusi tiii. Kila mtu akajua, jamiii ikajua. Bahati nzuri au mbaya yule padre wa kizungu muda wake ukawa umeisha akarudi kwao Ulaya.

Basi katika familia hio yenye Mzungu chotara, maisha yaliendelea as if nothing happened. Basi kwasababu jambo lilikua dhahiri sana, wazee wenzake na Baba wa familia hio wakawa wanamtania sana kilabuni, "Unakaa kaa kibwege mpaka mkeo anakuzalia mzungu na unaendea kuishi nae. Yule mzee aliyapokea yote akayabeba akalea familia yake kwa upendo mkubwa.
Amini usi amini, unaambiwa katika familia ile watoto wote walisoma ila yule wa kizungu ndo alikuja kutoboa kimaisha. Amewajengea wazazi wake nyumba kijijini na anawasaidia ndugu zake. Yaani yy ndo amekuja kua mkombozi wa hio familia.
Sasa naskia sikuhizi Mzee akienda kilabuni anatamba kweli kweli kwa fedha ya mwanae huyo mzungu, na hakuna anaeinua mdomo. Si unajua wahaya tena na tambo zao.

Kaka, ww sio wa kwanza na wala hautakua wa mwisho kutokewa na jaribu la namna hii. Kuna mchangiaji mmoja hapo juu amesema, "Jaribu kuangalia na mazuri ambayo Mungu amekujalia, wale watoto wawili wa mwanzo". Angalia pia na mazuri mengine ambayo mkeo amekufanyia amekubali kua mkeo na kukuzalia watoto, amekubali kuishi na wewe.

Usiangalie sana majibu anayokupa mkeo au mama mkwe sasaivi, na yeye yupo katika hali ya taharuki na kujihami hawezi kua perfect. U perfect wake mm nnaupima kwa matendo aliyofanya mwanzo baada ya kuteleza. kwanza hakutoa mimba, pili alifanya jitihada muishi pamoja tena. Mkeo ni mtu mwema sana ni kuteleza kibinadamu tu. Ww ndie mwenye hatma ya maisha yake ya ndoa usijiweke kwenye thinking level moja na yeye (Lead/Ongoza).

Kaka unadhani ni akina mama wangapi kwenye ndoa wanazini na hawapati mimba, au wanapata mimba na kuzitoa, au wanapata mimba na kuzizaa bila waume zao kujua. Au wanapata mimba na kuzaa na waume zao wakajua ila wakakaa kimya. Au wakapata mimba wakazaa, mume akajua na jamii ikajua ila wakaendelea na maisha.

Ndio maana kukawa na msemo kitanda hakizai haramu, lkn pia ndoa maanake ni kua mtoto yyte anayezaliwa na mkeo ni wa kwako ni mali yako na atarithi jina la ukoo wako.

Ww ndie mwenye hatma ya huyo mtoto pia. Unaweza kusema apelekwe kwa baba aliyemzaa. Je kama nae ni mume wa mtu..! Huyo mtoto ni wako na unapaswa kumlea vizuri. Tena uji control asijue na wale wengine wasijue, mtunzie heshima mkeo na usilete taharuki kwa watoto wako wale wawili. Mpende mkeo muishi kwa amani, huo ndio uanaume.

Ili sasa uweze kujiepusha na stress na kuwaza sana hilo tafuta vitu vya kukuliwaza kama mchepuko, pombe na marafiki ila utumie akili pia wakati unaingia huko. Kumbuka mwenye hatma ya ndoa yako ni ww na ww ndie unaepaswa ku lead hio hatma.

Kaka trust me ukifanya hivyo mkeo atakupenda sana, atakupambania na kukuheshimisha siku moja. Atakua tayari kuipambania familia yenu kwa jasho na damu.

Asante
 
Naomba niende kwenye mada, mm na mke wangu tulioana mwaka 2015 japo tulianza mahusiano muda mrefu kidogo na mtoto wetu wa kwanza tulimpata mwaka 2013, na wapili mwaka 2018.

Nilihamishwa kikazi kutoka dar kwenda moja wapo ya mikoa ya kanda ya ziwa, hiyo ilikua mwaka 2019 ikabidi wife na watoto wabaki huko mkoa jirani na dasalamu yaliko makazi yetu ya kudumu.

Sababu ya kuibakiza familia huko ni kwamba first born wetu alikua anasoma na ukizingatia huku nilikohamia bado sijajiimarisha vyema.
Nilikua naenda kuwatembelea mara kwa mara na wao pia niliwapa fursa ya kua wanakuja ninakofanyia kazi mara tu shule zilipokua zikifungwa. Nilipanga kuihamisha familia yangu kuja kuishi na mm mara baada ya kukamilisha taratibu za kumhamisha binti yangu kipenzi na pia kumpata mtu sahihi atakaeishi kwenye nyumba yangu.

Mwaka Jana mwanzoni mwa mwezi wa sita mke wangu alinipigia cmu akanieleza kwamba anataka kuhamia huku niliko hivyo nianze taratibu za uhamisho, nami bila kufanya hiana nikaanza hatakati za kupata nafasi ktk shule nzuri za private ktk mkoa huu baada ya shule kufungwa wife na watoto wetu wawili wakatia nanga dogo akaenda akapiga paper akafaulu akapata nafasi hiyo ni mwezi wa saba 2021.

Maisha yakaendelea, mwezi wa nane wife akanambia ana mimba, tukaenda kuhakiki kweli nikadhibitisha ni mjamzito sikutaka kuhangaika na mambo ya mimba ina muda gani
Harakati za CLINIC zikaanza tukaenda tukacheki afya wote tupo sawa japo wife alinihofia Sana kua yawezekana nimeshakanyaga waya
Ilipofika mwezi wa 12 wife akaanza kunambia UNAJUA SIKU HIZI MAMBO YAMEBADILIKA SANA MJAMZITO ANAWEZA KUJIFUNGUA HATA MIEZI TISA HAIJATIMIA, mm nikawanamuuliza hayo mabadiliko yameanzia kwako au ni kwa wajawazito wote na je hiyo ni sayansi ya wapi huku nikimtania kua mbona hiyo mimba yako nikipiga hesabu ulivyofika hapa na jinsi inavyoonekana ni tofauti, (mimba ilionekana kubwa)

Ukweli ni kwamba wife alifika huku ninakoishi mwezi wa saba Kati ya tarehe 15 hadi 23 mwezi wa saba
Kwa haraka haraka kama ni mimba niliipigia hesabu za mwezi wa nane na kama nikujifungua basi itakua mwezi wa nne katikati au mwishoni kabisa
Kilichonishtua ni mke wangu KUJIFUNGUA tarehe za mwisho wa mwezi wa pili huku mimba ikiwa imemchosa Sana (mtoto wa kiume,ambae Sasa ni mtoto wetu wa 3)

Kilichoanza kunishtua wife anakomalia mtoto apewe jina W na mm nasema kama mm ndie baba wa huyo mtoto basi ataitwa jina Q, tukaendelea kutana Sana na ikumbukwe mm nashinda Sana kazini hivyo hata wakubwa zake wakawa wanamuita jina hilo analolitaka mama yao ikabidi niwapige marufuku kumuita mdogo wao jina hilo na hadi fimbo zilitimika ndio kwa mbaali wakapunguza.

Jina hili limeendelea kuitwa na kitajwa na waumini wenzake na wife hata wakija kumtembelea utasikia wanamuita jina hilo mm nakausha naamua kusepa zangu naenda kumwagilia moyo

Ikabidi nikae na wife nimuulize kinagaubaga juu ya kweli wa mimba kujifungua jina pamoja na mtoto kutokuonyesha dalili za kuwafanana wakubwa zake Wala mm Wala yy mwenyewe, wife hakusema kitu japo alionekana kuna jambo anaficha
Niliendelea kumuuliza pasipo kumpiga Wala kuhombana ndipo wife alipoamua kunichana ukweli huku akimsingizia shetani na kunilaumu mm kua nilikua mbali nae akateleza mara moja akafanya ndo ikawaimetokea hivyo, nikatulia sikumshirikisha mtu mwingine hata kidogo maisha yakaendelea lkn moyoni naumia Sana,
Na kadri siku zinavyozidi kwenda nakosa uvumilivu ukizingatia natumia kilevi hua na kua na mawazo mengi Sana nikifikiria kuilea damu isiyokua yangu.

Hakika kwa umri wangu huu wa chini ya miaka 35, jamani mm hili jambo limenishinda kabisa naona sitaweza kulibeba.

Jana nimemweleza kaka yake mkubwa pamoja na mama yake kua mm uzalendo umenishinda nisijefanya maamuzi mengine yakagharimu pande zote mbili nimeomba mke arudi kwao au aende kwa huyo aliezaa nae mm aniache nilee watoto wangu wawili
Naombeni USHAURI WENU wadu mwenzenu Niko dilemma

NB; matusi nisingependelea kuyaona
Pole Braza wangu. Haya mambo yako sehemu mbali mbali. Ni jambo zito sana kulipokea na kukaa nalo.

Wake zetu hawa wamefika mbali sana. Heshima hawana. Yaani umalaya wanafanya hadi mimba na hawana wasiwasi kabisa.

Mwache kwanza aende kwao akajisikilizie lakini ameshakuletea doa moyoni na kuharibu mtiririko wa malezi kwa watoto wako wa mwanzo.

Ameleta Family tears.
 
Uamuz mzur,
Bora achepuke, sio kuzaa nje
Hilo inaumiza Sana, Ni Zaid ya usaliti
Na bado anang'ang'ania na jina liwe la Hawala yake aliyechagua.

Inauma sana hii dharau.

Ndio maana watu wanatekeleza watoto nilikuwa sijui sababu inaanziaga hapa.

Sasa hapa mshikaji akiamua woote atimue na pesa anazopata amwagilie pombe tu na kuhonga malaya nani atamlaumu?
 
Basi tena siku moja nikiwa safarini, nikapata kuskia story nyingine iliwahi kutokea Bukoba. Hii ilikua mbaya zaidi maana kwenye ndoa hii mama wa familia alichepuka na padre, tena padre wa kizungu. Akamzaa mzungu kwenye familia ya wahaya weusi tiii. Kila mtu akajua, jamiii ikajua. Bahati nzuri au mbaya yule padre wa kizungu muda wake ukawa umeisha akarudi kwao Ulaya.
😀😀😀mambo mengine inabidi tu nicheke. Hata kama sio mazuri daah.

Kwenye familia ya watu weusi tii wewe uzae mzungu.

Na huyo mwanamke yuko confortable kabisa😀
 
Basi katika familia hio yenye Mzungu chotara, maisha yaliendelea as if nothing happened. Basi kwasababu jambo lilikua dhahiri sana, wazee wenzake na Baba wa familia hio wakawa wanamtania sana kilabuni, "Unakaa kaa kibwege mpaka mkeo anakuzalia mzungu na unaendea kuishi nae. Yule mzee aliyapokea yote akayabeba akalea familia yake kwa upendo mkubwa.
Mimi hapa nitakwambia kwa uhakika 90% wazee wengi hawakuwa responsible na familia zao ndio maana hata uchungu walikuwa hawana.

Sio kama leo mtu anatembeza machungwa kutoka Temeke hadi Ubungo alishe watoto wake na mke wake na watoto wasome.

Huyu hawezi kuchukulia mambo poa sawa na Babu yangu aliyeoa wake wanne na hakuwahi kumnunulia mtoto hata mmoja hata kaptura ya shule na chakula walikuwa wanalishwa na mama zao lwa kujilimia mashamba.

Huyu hawezi kuchukulia mambo poa kama Baba yangu ambaye yeye alikuwa na wake wawili ambao hata nyumba ya kuishi ya vyumba viwili hakuwahi kujenga wala.

Sasa ukitaka achukulie kama hao wazee wa zamani utakuta humtendei haki kabisa.
 
Kaka, ww sio wa kwanza na wala hautakua wa mwisho kutokewa na jaribu la namna hii. Kuna mchangiaji mmoja hapo juu amesema, "Jaribu kuangalia na mazuri ambayo Mungu amekujalia, wale watoto wawili wa mwanzo". Angalia pia na mazuri mengine ambayo mkeo amekufanyia amekubali kua mkeo na kukuzalia watoto, amekubali kuishi na wewe
Huyu unayemsema ni tofauti. Yeye katenda kosa kubwa kabisa na bado analazimisha na Jina la Mtoto liwe la Mchepuko wake.

Huyu mama wala hajajutia kabisa kosa lake na inaonekana bado ana mpango na Bwana kando.

Yaani mwanamke anaona amfurahishe yule mpango kando kuliko huyu Mume wake. Hii sio poa.
 
Usiangalie sana majibu anayokupa mkeo au mama mkwe sasaivi, na yeye yupo katika hali ya taharuki na kujihami hawezi kua perfect. U perfect wake mm nnaupima kwa matendo aliyofanya mwanzo baada ya kuteleza. kwanza hakutoa mimba, pili alifanya jitihada muishi pamoja tena. Mkeo ni mtu mwema sana ni kuteleza kibinadamu tu. Ww ndie mwenye hatma ya maisha yake ya ndoa usijiweke kwenye thinking level moja na
Na maisha yalivyo sasa huyo bwana anayemdanganya akiachika hawezi kumuoa atapata tabu sana
 
Wanawake ni washenzi sana....kwa kweli kitendo cha kugegedwa mpaka unapata mimba ni dharau kubwa sana kwa mume. Yaani huyo mwanawane wala usiangalie nyuma...achana nae kabisa. Dah watu wanagegeda na kunyumyuzia mbona kabisaaa.
Hapa ndio unapo amini bora ugegegde malaya hutapata ngoma kuliko kugegeda mke au gelofrend
😀😀😀
 
Yani Mtu kazaa nje na bado analazimisha jina la Mtoto liwe la Hawara aliyezaa nae, Daah Mama£ walahi Pole sana Mkuu na nakupongeza mpaka sasa hujachukua Sheria Mkononi ingekuwa mimi Muda huu ningekuwa mahabusu! Ushauri wangu Rudisha huyo Mtu kwao bada ya Muda kidogo chukua watoto wako wawili iwe kwa Nguvu au kwa makubaliano Uishi nao, yeye muache aende zake hajateleza wala asikwambie eti shetani sijui alipita, na mpaka Dakika hii nakuhakikishia ana mawasiliano mazuri na huyo Pimbi aliyemzalisha kiasi cha Kupeana jina la mtoto na kulazimisha lipitishwe! Huyo Mwanamke Hakupendi Piga chini Mazima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom