Nimebahatika kupata mtoto muda mfupi baada ya Mechi ya Qatar dhidi ya Ecuador kumalizika. Je, nimpe jina gani?

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Nov 8, 2022
7,382
8,437
Habari wadau,

Kama kichwa kinavyosomeka, punde tuu baada ya mechi ya Qatar dhidi ya Ecuador kukamilika nimepata bahati ya mtoto wa like mke kajifungua .Sasa natafakari nimpe jina gani?

Je, aitwe Qatarina au Ecuadia? Au nimpe jina la yule jamaa aliyefunga magoli 2?

Ushauri tafadhari, ila 'comments' ziwe fupi fupi.
 
Back
Top Bottom