Nimeandika vitabu vya Jipime (Darasa la 5 - 7) utaratibu wa kuviuza upoje?

BUYANWEL

New Member
Feb 9, 2023
3
1
Habari ya leo,

Nimeandika vitabu vya English na Math Mitihani 20 na majibu yake kila kimoja kwa shule za msingi (Darasa la Tano hadi la Saba wanaweza kuvitumia).

Ninauliza nitapata changamoto yoyote kuviuza nikishaprint? Kuna katazo lolote? Kuna utaratibu wowote wa kufuata zaidi?
 
Watafute kuna watu wanaitwa ngingama stationary mfanye biasahara 0653070160 au0620682996
 
Back
Top Bottom