Nimeamua kumnyamazia baada ya mpenzi wake kunitusi

Choosen85

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
563
1,364
Wakuu mulibwanji, huku mambo ni mwagalayoo.

Kuna thread nliandika humu kuhusu mdogo wa mwanamke wangu, binti aliomba aje ajiendeleze ufundi kwamab kwao hana wa kumsaidia.

Nikatuma nauli akaja, amekaa miez miwili akaanza vituko eti apewe nauli arudi nyumbani na huo ufundi kwa mwez nalipa elf 90.

Nikamwambia basa subiri nikutafutie, binti kaenda kabeba vifaa vyake vya ufundi kimyakimya kaamua kukaa home huku akishinikiza apewe nauli.

Kwao kapiga simu kaambiwa hawana hela apewe huku, mara napigiwa simu na bwana wake huko anamulizia, nikamjbu haijui namba ya mwanamke wake? Jamaa akanitukana matusi mazito.

Sasa nilichoamua ni kwamba sitoi nauli, maana nilimwambia asubiri nimtafutie akajibu ataomba kwao ikibidi hata ndugu zake watamchangia na alipopiga vocha nilimpa mwenyewe.

Mpaka sasa ni wiki ya 3 kimya, mimi nimemwambia kuhusu nauli asahau, asubiri wamtumie au mabwana zake wamtumie, now namlia buyu tu.

Alisusa mpaka kula mimi sjali, watajuana na dada yake huko, sina habari. Binti kama kaishiwa pozi kabisa hajui aanzie wapi, nikifika sikai sebuleni, ni moja kwa moja room na nalia chakula uko.

Je, nakosea Wakuu?
 
Wala hukosei Mkuu wangu.

Tena ikiwezekana usiwe unatoka room kabisa ili ajifunze adabu vizuri.
kimsingi natoka asbh kwenda job narud usku mida ambayo ni ya kula alizoea nkrud nakaa sebulen tunapga story 2 tatu kama family now kwa ujinga alioufanya hiyo nafas nayo nimeifunga story anaskia naongea na dada ake tu room.
 
Wakuu mulibwanji, huku mambo ni mwagalayoo.

Kuna thread nliandika humu kuhusu mdogo wa mwanamke wangu, binti aliomba aje ajiendeleze ufundi kwamab kwao hana wa kumsaidia.

Nikatuma nauli akaja, amekaa miez miwili akaanza vituko eti apewe nauli arudi nyumbani na huo ufundi kwa mwez nalipa elf 90.

Nikamwambia basa subiri nikutafutie, binti kaenda kabeba vifaa vyake vya ufundi kimyakimya kaamua kukaa home huku akishinikiza apewe nauli.

Kwao kapiga simu kaambiwa hawana hela apewe huku, mara napigiwa simu na bwana wake huko anamulizia, nikamjbu haijui namba ya mwanamke wake? Jamaa akanitukana matusi mazito.

Sasa nilichoamua ni kwamba sitoi nauli, maana nilimwambia asubiri nimtafutie akajibu ataomba kwao ikibidi hata ndugu zake watamchangia na alipopiga vocha nilimpa mwenyewe.

Mpaka sasa ni wiki ya 3 kimya, mimi nimemwambia kuhusu nauli asahau, asubiri wamtumie au mabwana zake wamtumie, now namlia buyu tu.

Alisusa mpaka kula mimi sjali, watajuana na dada yake huko, sina habari. Binti kama kaishiwa pozi kabisa hajui aanzie wapi, nikifika sikai sebuleni, ni moja kwa moja room na nalia chakula uko.

Je, nakosea Wakuu?
Chakula kula sebuleni kwako ila shika uliposhikilia usiachie

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Yan ana bwana alafu huyo bwana anataka mwanamke wake arud alafu nauli utoe wewe ? Bwana ake kama anakuwa mkali kwanini asitume nauli yeye ? Lifukuze hata hapo home hilo shetani, linadhani maisha ni maigizo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom