Wadau,
Baada ya ya utafiti wa zaidi ya mwako mmoja, nimeamua kuweka makazi wilaya ya Chemba (Dodoma) na nataka kujikita kwenye ufugaji wa kisasa wa ngombe na mbuzi.
Naomba kupata connection na wadau waliopo hapa kwa nia ya kubadilishana mawazo jinsi ya kuishi hapa makazi mapya.
Asanteni familia.