Nimeamini sisi Watanzania tunahitaji ukombozi wa fikra

Juzi nilikuwa nasafari kutoka Tukuyu Mbeya kwenda Mbeya mjini, kukazuka mjadala wa ripoti ya CAG katika michango ya baadhi ya abiria wakawa wanasema kwani hiyo ripoti inakupa Nini na inatuhusu Nini? Nikagundua tunahitaji MSAADA hasa wa ukombozi wa Fikra.
Kundi kubwa la Wajinga ni mtaji kwa wanasiasa..

Mjinga hawezi kuhoji hata haki zake za msingi na wala hazijui..

Watanzania ni kama ma Ng'ombe yana swagwa msobe msobe wala hayajui yaendako.....

Wajinga ni wengi sana nchi hii....
 
Nakubaliana na mtoa mada bado watu wanaamini akishapata hela ya kula hayo mengine hayamuhusu ila akiona hakuna maendeleo ugumu wa maisha unapanda analalamika kumbe alivyosema havimuhusu ndivyo vinavyomla asijijue
 
Juzi nilikuwa nasafari kutoka Tukuyu Mbeya kwenda Mbeya mjini, kukazuka mjadala wa ripoti ya CAG katika michango ya baadhi ya abiria wakawa wanasema kwani hiyo ripoti inakupa Nini na inatuhusu Nini? Nikagundua tunahitaji MSAADA hasa wa ukombozi wa Fikra.
Unajua n kwann baadh walijib hivyo n kwasababu ata CAG mwenyew analeta ripot ya uongo na ata ripot zenyew znapo kuja na makosa uwa azinaga suruhu pia kuna ripot zngine unaona kabsa suruhu yake ilikuwepo why litokee tatzo ndo lije lisemwe na kat taasis usika za kuzuia maov kam pccb n.k zpo........ukitaka kujua ayo uwege makin kufatilia ripot za CAG na baadh ya miradi na ndo utajua kuna namna vitu avipo sawa.
 
Bongo wengi wana uelewa mdogo sana. Watu wanaamini maswala ya serikali hayawahusu, hii ni zaidi ya ajabu
 
Kundi kubwa la Wajinga ni mtaji kwa wanasiasa..

Mjinga hawezi kuhoji hata haki zake za msingi na wala hazijui..

Watanzania ni kama ma Ng'ombe yana swagwa msobe msobe wala hayajui yaendako.....

Wajinga ni wengi sana nchi hii....

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ndomana ikijengwa barabara wanamshukuru kiongozi na kuamini kwa 100% kua ye ndo kawajengea
 
Juzi nilikuwa nasafari kutoka Tukuyu Mbeya kwenda Mbeya mjini, kukazuka mjadala wa ripoti ya CAG katika michango ya baadhi ya abiria wakawa wanasema kwani hiyo ripoti inakupa Nini na inatuhusu Nini? Nikagundua tunahitaji MSAADA hasa wa ukombozi wa Fikra.
Inasikitisha...
 
Aha ha aa 70% ndo wanavyofikiria wacha wahuni wazitandike
 
Umenikumbusha issue inahusiana na mjadala uliofanana na huu. Siku moja mwenyekiti wa chama fulani cha upinzani alikuwa anajadili deni la taifa na akaelezea kuwa kila mwananchi anatakiwa alipe shilingi fulani (kama ilikuwa laki moja au mbili vile).

Wakati nasafiri kuelekea Mbeya (enzi za Scandinavia) ulizuka huo mjadala wa deni la taifa basi mwananchi fulani akasema 'hawa wanasiasa waongo tu, kwani hiyo serikali itanipata wapi mimi hata nilipe hiyo laki mbili'. Na wengine pale wakasapoti ule mjadala.

Masikini wananchi walidhania labda serikali itapita kukusanya fedha nyumba kwa nyumba ili kulipia deni la taifa.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Daaaah bongo siondoki aseeeee
 
Tunawaambia kila siku: katiba mpya ni mradi wa wanasiasa kugawana madaraka. Mwananchi wa kawaida anasumbuka zaidi na kuboresha maisha. Ila hamtaki kuelewa.
 
Tanzania wengi bado hawana ufahamu wa jinsi nchi inavyoendeshwa na namna inavyoweza kuadhiri maisha yako..

Utakuta mtu anasema hata katiba mpya hamna chochote.. Haileti chakula...
Kesho anapata shida anaenda kuripoti polisi... Polisi huyo huyo anaamua asikusaidie kwakuwa wewe huna chochote cha kutoa mfukoni..

Ukiangalia kumbe mambo yetu mengi katika jamii ni mazoea na hatuchukulii kwa umakini.. Sheria zetu za zamani hata CAG akisema nini... Namna ya sheria zetu zilivyo ukimstaki mtu anaweza akaishinda Serikali na kuishia kumlipa ...
 
Kundi kubwa la Wajinga ni mtaji kwa wanasiasa..

Mjinga hawezi kuhoji hata haki zake za msingi na wala hazijui..

Watanzania ni kama ma Ng'ombe yana swagwa msobe msobe wala hayajui yaendako.....

Wajinga ni wengi sana nchi hii....

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Laana za mwenge,na wakati wa uchaguzi watu wenye akili wanawachia wajumbe Kazi nzima waamue hatma ya nchi Wengine wanasema nipoteze muda badala ya kutafuta,as a result tunapata akina kibajaji na wale wa Iringa mjini.
 
ripoti zilezile, wezi walewale, wala hakuna wa wakuwawajibisha...unategemea wananchi wachangie nini?...Rais mwenyewe anawaambia wezi kwamba "naomba mjitafakari/naomba mtupishe kama mmeshindwa"..sasa unamwambia mwizi kwamba aamue mwenyewe kujitoa au kubaki...alafu utarajie wananchi wachangie mada za hivyo...si kupoteza nguvu na kujichosha tu. Mm nimewaelewa wananchi
 
Ila wanaweza wakabishana kuanzia asubuh mpaka jioni kuhusu chama na aziz ki nani zaidi au diamond na Ali kiba nani mwenye hela nchi yangu ina vituko sana.
 
Back
Top Bottom