Nimeamini mgomo wa walimu upo!!!!!!!

mabwepand

Member
Jul 16, 2012
86
22
Juzi Jumamosi nilikuwa naskiliza kipindi cha watoto nimekaa nyumbani nilisikitika sana wanafunzi hao wa darasa la tatu na la nne hawajui kabisa kutenganisha maana ya Nahau,Methali na Vitendawili nikafikiria hawa ndio tunategemea darasa la saba wafaulu waje kujenga taifa letu nikaamini kweli hizi shule zetu za serikali ni mbora liende mwisho wa mwezi ufike achukue mshahara basi,kilichonisikitisha zaidi mtoto anaulizwa Tanganyika ilipata Uhuru Mwaka Gani hajui na swali halikujibika na mwanafunzi yoyote,Raisi wako wa nchi ni nani hajui kimya nikaamini kuna mgomo Baridi shuleni Chonde Chone watoto wa Maskini tutakuwa Maskini ambao silabasi zetu si za kingereza its shame!!!
 
Back
Top Bottom