sijamshambulia ni memjibu kulingana napost yake ilivyo kuwa,kwani ni yeye tu mwenye haki kuwa abuse wale anaowaona hawako sawa??Lkn umemshambulia binafsi (angalia post yako) kanakwamba sheria katunga yeye.
Kwani nani Kakwambia kunywa Bia ni Kulewa????safi sana,hivi hata watoto wenu mnawafundisha nini baba jua Kali kalewa? hiyo sheria ipite faster.
nasikitika sana ccm inatuumiz watu hawana ajira hakuna, pesa hakuna kazi halafu mtu kaleta kadege kale anajisifu........ alifukuza wawekezaji sasa anaenda kuomba kwa zuma ,huyu jamaa akili zake za ajabu sana........ hata dangote alimfukuza halafu baadae akaenda kumuomba halafu akasimama kutuambia kuna wapiga dili aliwaadhibi ama ilikuwajehaijawahi kutokea alafu anakwambia atamshinda mkenya kwamaneno tu bila kucreate opportunities,wewe unajua nchi yako uchumi unaendeshwa na watu wa low cadre bado unarudi kumsongasonga tena huyu huyu kwa vitu minor kabisa,ukiuliza wanakwambia eti watu hawafanyi kazi wanalewa yaani unakimbilia kudeal na effect hatuumzi vichwa kujadiliana kuhusu maswala mbalimbali yanayo ikabili nchi sisi tunakimbilia kuweka makatazo,matamko na upuuzi mwingine tu
Achilia mbali ukiwa likizo, walinzi wanaolinda Usiku watakua wanakunywa saa ngapi ilhali wanatoka lindo saa 1 asubuhi?pole mkuu, sasa mtu ukiwa likizo inakuwaje, napo unywe pombe saa 10
kama mtu uraisi alienda kujaribu unategemea kutakuwa na jambo jipya lenye maslahi kwa taifa,sitaki kuamini kama visionaries wa ccm walikosa mtu wakumuweka pale kuendana na hali halisi yawakati uliopo hasa katika nyanja ya uchumi zaidi ya huyu ambae aliletwa kama picha ya kumtisha mtoto alikataa kuoga na kula,wananchi tulipo dai raisi mkali hatukumaanisha awe mtu wakufokafoka kama hayawani mpaka mahala panahitaji faraja unaenda kufoka,maamuzi hatukumaanisha maamuzi ya kishenzi tu bila kuangli impact ya jambo mfano kama issue ulioongelea ya Dangote ambayo tushaondoa trust-worth kwa mwekezaji hata kama bado yupo,pesa za MCC leo tusinge kimbilia kukopa holela na kumkandamiza mwananchi wachini kujenga reli ya katinasikitika sana ccm inatuumiz watu hawana ajira hakuna pesa hakuna kazi halafu mtu kaleta kadege kale anajisifu alifukuza wawekezaji sasa anaenda kuomba kwa zuma huyu jamaa akili zake za ajambu sana hata dangote alimfukuza halafu baadae akaenda kumuomba halafu akasimama kutuambia kuna wapiga dili seriously tupo matatizoni kabisaaa
mimi naweza kufungwa kwa ninachoweza kusema juu ya huyu mtu ngoja ninyamaze
Siyo hivyo tu, wengine nature ya kazi yao hawezi kunywa pombe kuanzia saa kumi, kwa mfano mlinzi anaingia kazini saa moja usiku anarudi nyumbani saa kumi na mbili asubuhi anaoga anakula anaenda sehemu ya starehe anakunywa pombe zake mpaka saa tano asubuhi then analala ili aamke jioni aende kazini, hiyo ratiba ni very convenient kwake, ila kuna watu wanatoa makatazo as if kila mtu ni Banker.pole mkuu, sasa mtu ukiwa likizo inakuwaje, napo unywe pombe saa 10
Hahahahahahaha katika ubora wao
we acha tu mkuu, 2020 inshallah itafikaSiyo hivyo tu, wengine nature ya kazi yao hawezi kunywa pombe kuanzia saa kumi, kwa mfano mlinzi anaingia kazini saa moja usiku anarudi nyumbani saa kumi na mbili asubuhi anaoga anakula anaenda sehemu ya starehe anakunywa pombe zake mpaka saa tano asubuhi then analala ili aamke jioni aende kazini, hiyo ratiba ni very convenient kwake, ila kuna watu wanatoa makatazo as if kila mtu ni Banker.
Kuingia bure kutoka?alitoa hongo ili atolewe
Mtani unajua kero ya kunyea pombe nyumbani??.nunua stock yako home tulia kunywa
Kwahiyo ina maana hadi yule jamaa wa monduli anatembea na cheti chake cha ustaafuwewe unakuwa mfanyakazi mstaafu, unakubaliwa kwa kutembea nayo
Mkuu hapo labda wanataka wawe na barua za likizo zilizopitishwa na waajiripole mkuu, sasa mtu ukiwa likizo inakuwaje, napo unywe pombe saa 10
wewe ndio mpumbavu tena usifananishe pombe na upumbavu wako ndugu zako wanasoma bure kwaajili ya pombe uliza pato la taifa tbl wanachangia kiasi ganiWatanzania katika ubora wao wa kudai vitu vya kipumbavu.
Heti anadai kunywa pombe mchana.
Hatari hii