Kyalow
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,548
- 2,571
Hao aliotumia majina yao Mahakama ikiwataka waje mahakamani je?Wewe ni mtu mwema sana.....kwa kua wewe na mdogo wako ndio warithi wa wazazi wenu ,fanya hivi...tengeneza minutes za kikao cha familia(hakikisha huwashirikishi hao ndugu bali tumia majina yao na wasainie kama kikao kimefanyika)tafuta cheti cha kifo cha mzee kafungue mirathi...na fanya unavyoweza mahakamani wa expadite hili zoezi...ukishapewa mamlaka ya msimamizi wa mirathi...nenda kafanye transfer ya hizo nyumba kuja majina yako/wajukuu uliowakusudia....kikubwa fanya kwa usiri hao mafia wasijue.
Mshauri atafute Wakili.