Nimeambiwa Wajukuu hawaruhusiwi kurithi nifanyeje?

Wewe ni mtu mwema sana.....kwa kua wewe na mdogo wako ndio warithi wa wazazi wenu ,fanya hivi...tengeneza minutes za kikao cha familia(hakikisha huwashirikishi hao ndugu bali tumia majina yao na wasainie kama kikao kimefanyika)tafuta cheti cha kifo cha mzee kafungue mirathi...na fanya unavyoweza mahakamani wa expadite hili zoezi...ukishapewa mamlaka ya msimamizi wa mirathi...nenda kafanye transfer ya hizo nyumba kuja majina yako/wajukuu uliowakusudia....kikubwa fanya kwa usiri hao mafia wasijue.
Hao aliotumia majina yao Mahakama ikiwataka waje mahakamani je?
Mshauri atafute Wakili.
 
Kama ni Baba yako na Umebaki mwenyewee hao ndugu wa baba yako wanaonekana wana tamaa sanaaa... piga nyumba bei kajengee nyinginee utakazoandika majina yako au hao unaosema unawasaidiaa..
Hivi inamaana watu hawajui kua Mirathi ni Ibada,hivi Mtu unajichomeka vp kwenye Mirathi ambayo haikuhusu hadi unafika Mahakamani kulazimisha urithi na wwe!!?? Tumshukuru sana aliyetunga Sheria za Mirathi aliona mbali sana kumlinda Marehemu japo hana kauli tena!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Au kopea mkopo mrefu kama inakubalika, ungoje iipigwe mnada shaaaa, huo mkopo ukatende jema lingine.

Sijui sasa watu wa mikopo wanasemaje hapa.
 
Wanakushauri kuuza nyumba wapuuze yasikukute yaliyonikuta mimi. Baada ya kuuza nyumba nkajenge nyingine sehemu nyingine niepukane na hawa ndugu wengine akaja kijana mwingine akanifundisha kubet na mambo mengine.

Nnayopitia sasa hivi, najiandaa kuandika kitabu. Soon ntakuwa tajiri kupitia kitabu changu.

Uza nyumba kama unaweza geuza matatizo kuwa fursa
Unafikiri Kila mtu ni mwendawazimu na mfuata mkumbo kama wewe?
 
Asiuuze hiyo Nyumba,bali aandike Wosia inatoshha, maana hadi sasa yeye ndiyo mwenye Mali!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Huwezi andika urithi kwa wanao Kwa nyumba uliyorithishwa na babako.

Mimi NI mrithi by default.
Mzee hakurithisha wajukuu zake.


yani mi narithi kwa babangu bila hata wosia unless wosia wake umenikana( Napo labda niwe nimefanya BAADHI YA makosa yaliyoainishwa kisheria mojawapo kulala na MKE WA Baba au kutomuuguza Baba mpk mauti)
Vinginevyo NI mrithi WA asili.

Kimbembe kwenda Kwa wajukuu!!

Watoto wangu wanarithi kwangu, kwa.mali nilizochuma Mimi!!

za babangu/ mamangu kama Hawakutamka kabla hawajafariki Mimi siwezi wajumuisha kwenye urithi WA kile nilichorithi kutoka kwao wether Kwa tamko au Kwa asili.

Sasa basi!!

Iwapo Mimi niliye mnufaika pekee wa Mali ya Wazazi wangu.
nikifariki!!
Mali Ile unarudi kwenye familia ya wahusika.
(Hapo sasa ndo Baba zangu wadogo wanapoingia kwenye hii issue)
 
Baba anapofariki warithi ni mke na watoto. Na mama anapofariki sehemu yake inarudi kwa watoto.
Wamiliki hapo ni hao ndugu wawili. Haki ya ndugu aliyefariki inakwenda kwa watoto wake.
Hao baba wadogo hawana haki humo.
Na vipi ikitokea wakaja watoto wa nje wakadai mali?
 
Na vipi ikitokea wakaja watoto wa nje wakadai mali?
Mzee inaelekea alikua mtu mnyoofu bana.
Kwa miaka 30 mpk sasa hajajitokeza mtu mahali anasema yeye ni mwanae /mama wa mwanae.
Ila nikwambie kitu?
NAWISH ANGEKUWA ANA MTOTO/WATOTO KWINGINE kwa mama tofauti
Kubaki mwenyewe ujue inaumiza!
 
Mzee inaelekea alikua mtu mnyoofu bana.
Kwa miaka 30 mpk sasa hajajitokeza mtu mahali anasema yeye ni mwanae /mama wa mwanae.
Ila nikwambie kitu?
NAWISH ANGEKUWA ANA MTOTO/WATOTO KWINGINE kwa mama tofauti
Kubaki mwenyewe ujue inaumiza!
Pole sana, kaka yako alifariki kwa sababu gani?
 
Nitafanya hivyo na maskini nilianza kufanya hata bila kujua sheria zinasemaje.

Hawa a the late ndo nawawaza.

Wangu baba yao na mimi angalau kuna vitu wanaweza sema hapa ni ka baba hapa ka mama.

Natamani nifanye kitu mdogo wangu angefanya, kuwaachia watoto wake mahali wanasema hapa ni kwangu
Kwa aina ya babu zao , zile nyumba watazisikia kenye bomba.
Huyo mdogo wako ni jinsia gani?
 
Kuhusu utaratibu kisheria.
Si itabidi niteuliwe kama msimamizi wa mirathi ndipo niweze kuhamisha umiliki na kisha kuziuza?
Kwa mtoto, mfano nyumba ni za baba yako, huna haja ya kuteuliwa, unarithi automatically. Na kama umebaki mwenyewe, utateuliwa na nani? Ni kuinesha uhusiano wako na baba yako mahakamani.
 
Kwa mtoto, mfano nyumba ni za baba yako, huna haja ya kuteuliwa, unarithi automatically. Na kama umebaki mwenyewe, utateuliwa na nani? Ni kuinesha uhusiano wako na baba yako mahakamani.
ok, Ambapo naanza kwa shauri jipya au natakiwa kurefer kwenye shauri la mwanzo la mirathi?
 
Back
Top Bottom