Nim-motivate vipi boss wangu? Mahusiano yetu yanazidi kuwa mabaya!

Huyu MKORA wangu kila siku namuwekea sura ya kazi!!! Ila saivi KASHIKA MPINI MIE MAKALI!!!!!!! Inabidi KUMZIDI AKILI!!!! Hiyo nafasi kaacha mtu, nikizubaaa tu mpaka mtu mwengine aache lini ndugu yangu???????? Alafu expenses zinanizidia, Debt Ratio inakaribia kupasukaaa! Hapa Inabidi nimchote KINGI huyu Mkora anipitishe tu Kibingwaaa! There gotta be a way!!!
Tulia vyeo vinaenda na akili utulivu na mfano nikupe mother wangu na ukatibu mkuu wake wote hajawahi kumpandisha cheo ndugu wala rafiki.waliimchukia sana nilivyomaliza George Washington nilijua mother atani hook up alinipa jibu hilo sitisahau alinimbia"tafuta kazi ukishindwa tutaangalia usawa " ah nilirudi bongo nilikaa nyumbani 2 months nikaanza nikarudi Huku kwa mpenzi wangu nikaolewa .bosi wako Kama amesoma na anaakili na degree ya 1970,s usisubutu utapoteza kazi .
 
Tulia vyeo vinaenda na akili utulivu na mfano nikupe mother wangu na ukatibu mkuu wake wote hajawahi kumpandisha cheo ndugu wala rafiki.waliimchukia sana nilivyomaliza George Washington nilijua mother atani hook up alinipa jibu hilo sitisahau alinimbia"tafuta kazi ukishindwa tutaangalia usawa " ah nilirudi bongo nilikaa nyumbani 2 months nikaanza nikarudi Huku kwa mpenzi wangu nikaolewa .bosi wako Kama amesoma na anaakili na degree ya 1970,s usisubutu utapoteza kazi .corruption is not a good thing , work hard show up on time.Ingekuwa haraka hiyo uliyokuwa nayo Enzi Za Nyerere ungefungwa.huyo bosi wako ni mswahili kwelikweli anapenda vitu na tamaa.mama Angu alikujaga Huku USA alinikuta na pair 300 .aliita eamexicano wacha

Natalia unachafua hali ya hewa sasa... Hapa ni ushauri tu, mambo ya mama katibu mkuu, mara world class university kama washington, pea 300 za viatu unaturusha roho wenzako as tumesoma kayumba degree tumepata kwa migomo as kila kitu magumashi, mama zetu wakulima.. Tunaomba ushauri lala 1 ajikomboe maisha yake ni magumu as anatokea familia zetu za kayumba
 
Thank you so much!!!!!!!!!!!!! THANK YOU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mpe kipele tu, kwani kina kazi gani?

Kingekuwa na faida nyingine ungekiambia kikusaidie kazi ili upafomu.
 
Wakubwa shikamooni!!!!!!!!

How do you do my Broders n Sisters from Another Mother!!!!!!!!!

Mie mzima ila ndo mwaka wafikia mwisho hivooo, sasa pale kwa ofisi tumepewa PERFORMANCE EVALUATION FORMS ili kutupima utendaji wetu, na inshaalah! Mola akijaalia mwakani tupate hivo vyeo na bonas za kufungia mwaka! Hizi PEF yabidi kwanza nijijazie mwenyewe, alaf nimpeleke MKUU DIASPORA, alfu na MKUU WA IDARA nae anijazie!!!! Najambajeee sasa!

Utendaji wangu nahisi mwaujua ni wa KUCHAKACHUA mwanzo mwisho, Kwanza Naibia nasoma full time(msiniulize nawezaje, siri ya biashara) Pila nashinda humu JF, Tatu mingo za grave yard hazinikauki kuchonga ngenga na kupoteza muda. I know im not the best employee n im sorry bt life is too fast, cut me some slack people okay!!!!! Sina bahati kama nyinyi ya kulipwa 7figures na sina bima wala trust fund. Sina majumba ya kukusanya kodi, mama lara 1 anakaba kila angle. I survive on my own!!! Asister gotta eat n survive Okay!!!!!!!!!

Sasa mkuu wa idara ni maza flani, tunaelewana sana coz namuoneshaga mingo za pamba na mipochi pale Mwenge na Kino, nimemuunga na suppliers wa designer perfumes na make ups. In short maza shosti wangu sanaaaa, namuonesha jiji na mataa yake. Hadi zawadi ya mumewe ya anivesary nimechagua na kuinunua mimi! Ile fomu atanijazia poa sanaaa! Mjini Mipango.!!!! (Lazima kujikombe once in a while)

Tatizo lipo kwa Boss Diaspora!!!!!!!! Hali ya baba wa taifa ni tete! Toka nimpe cha mbavu basi kanitoa moyoni jumla jumla. Najmbajeeeenikifikiria atachonijazia!!!!!! Kama mjuavyo mimi 1. NI MNYWAJI,n thus damn expensive 2. Shopaholic nasanya taka madukani balaa another expense! 3. Mtu wa company sana so matumizi balaaa. That promotion is very important to me!!!! Hata hizo bonas coz im in huge Debts!!!! Diaspora ananifanyia Bettle za wazi wazi, najua lazima aniharibie. Safari zangu anazikalia, OT anaziover rule, Commissions kanipunguzia % yaani Kama i had a choice ninge resign ila kitaa hali tete. Ningekuwa na uwezo NINGEENDA KUMLOGELEA MBALI atulieee ila ndo siamini hizo makitu.

Sasa wakuu wangu wazee wa kujipendekeza embu nishaurini NIFANYAJE INODER TO TRICK/MOTIVATE DIASPORA TO NOMINATE ME FOR THE PROMOTION!!!!!!!!! Nitumie silaa gani? (Ushauri wa kumpa UC*I SIUTAKI KABISAAA) There gotta be another way for me to motivate him!!!!!!!!!! High class peoples wajameni help me ooooooooh!!!! Nimefikiria nimpe zawadi ya membership ya 1 year golf club jimkhana but i can barely afford that, alaf akiikataa ni non refandable!!!! Nitajikojoleajeeee! (Takrima ni gharama kubwaaa!)

People clock is ticking!!!!!! I gotta put all my cards on the table n i got shit!!!!!!!!! Please dont start judging me (jst thank God you aint like me), i know i aint the best example bt the sister is tryin hard!!!!!!! Cut me slack today! I promisw ill change! Okay!!!! For now mnisaidie nipate hilo PROMO KIBINGWAAAA!

Mh, kama yamekushinda wewe kungwi mzoefu sijui nani ataweza hapa! Haya kwenu King'asti, Ciello, Mchambuzi labda na mzee wa kijiji mwenzenu ngoja niteleze hapa hapanifai kwani na mimi nasubiri ya kwangu kesho kutwa tu ya PG 22.
 
usimpe pussy yako ase, mi ndo kwanza nmeua chuo sijui hayo mambo sana bt i've an idea , fanya hivi jaribu kumwomba umtoe out umwombe ukiwa na nyuso ya furaha uwe charming sio upitilize lkn ile kisela tu ongea nae fresh kama wamtongoza vile, bila kusahau mapozi yenu yale ya kike, sauti , jicho, pozi etc ukivitumia vzuri hivo mwanaume rijali yoyote hachomoki, we mjanja nmekuwa nkikusoma huku hiyo kazi ndogo kwako, alafu nawe uhakikishe hiyo siku unomrequest hiyo out awe yupo kwa good mood, awe na mood nzuri, msome tu siku akizama ofisini na furaha unamfaham vizuri weye, hiyo siku usiache ipite mwite pembeni akiwa loose ongea nae about huo mtoko, akikubali which is more likely mkiwa huko kwa mlo sasa ndo umwambie how dat is important to you what u ought to accomplish ongea nae kila kitu yani me am sure atakuelewa bana, better try it.
usianze waza utaanzaje put aside hiyo bifu yenu ww una shida hapo u gt to do anything kufanikisha hiyo kitu yako, infact from monday badilisha huo mtazamo unomwekeaga usiwe kauzu tena kwake, mi ndo ushauri wangu huo bibie, all the best
 
I see what you mean lil momma.... lot-ta times ain't about being good....its how you control the situation....my quick 2

  • Tricky him out...show some sign of interest to him...phone him off working hours, ask him for a w'end drink date while buying time for him to do the good thing...(You can go out and still not give out your goodies... )....the old men might buy the idea and extends the favor...
  • Do it the Sicilian way...mind your own bizz...when give him the form just pre-empty him and make it clear that you don't expect him to take it personal in grading you b'se U denied him a chance of deepening his 100% all-beef thermometer . You expect him to be fair...This reverse psychology might scare him to give you odd rate....ya diggy
 
mpe kipele tu, kwani kina kazi gani?

Kingekuwa na faida nyingine ungekiambia kikusaidie kazi ili upafomu.

Hahahaha afuate nyayo za HOD wake siyo? Kakitumia vizuri kwa MD kishaula. Umepewa bure kuna ubaya gani ukikitoa kwa faida? Cha msingi ni kukitoa responsibly.

Karibu kaunta ya juu hapa Kibira.
 
lara 1 katika kitu ambacho nilishawah kusema sitatoa uchi wangu simply kwasababu ya cheo ama hela. its better nikautoa bure kwa kupenda and just for fun na sio kwa kupata returns.

my take:
try to be woman enough, by sticking into your principles, kimsingi epuka sana kumwonyesha adui yako udhaifu wako, yaani hatakiwi ajue your weak point. alipo anategmea sana kwamba wewe utaenda in one way or the another just for favour ya cheo na bonus. what is cheo ama bonus???

cant you look for another means of increasing your income??? hebu jikomboe kwanza kwa kuona ni hali ya kawaida kabisa wala usijali atakachoandika juu yako. ukiwa hivyo basi nae he will be fair manake atajua wewe ni mawe ya mbali. ukilongwa ukamotivate tu atajua your weak point aiseee atakushkia chini sana tu.
 
Last edited by a moderator:
Haswaaaaaaaaaaaaaa! Ndiye yeye mwenyewe!

Sasa ngoja nikupe ujanja, we pichu umekaa japo ndo weakness yao kubwa. Dawa hapo mpige blowjob then ata ku-upgrade tu make sure ni ofisini lol!!!!! Ishomile kakushika kubaya mudada wa mujini
 
Kumbe ulimpa chambavu!
Angalia asije tumia hiyo nafasi kuku kamata!

Mmmmmh! Huyu alinitokea, nikampa cha mbavu sasa kumuanza urafiki naona nomaaa, asije taka tena zigo!!!!!!! Na nikimuendea kichwa kichwa atanishushuaajeeee!!!!!!!! Kaka ana SHAZIII huyo balaaaa! Hapa inabidi kumconer angle X ambayo hachomoi! Ndo ipi sasa?
 
Wakubwa shikamooni!!!!!!!!

How do you do my Broders n Sisters from Another Mother!!!!!!!!!

Mie mzima ila ndo mwaka wafikia mwisho hivooo, sasa pale kwa ofisi tumepewa PERFORMANCE EVALUATION FORMS ili kutupima utendaji wetu, na inshaalah! Mola akijaalia mwakani tupate hivo vyeo na bonas za kufungia mwaka! Hizi PEF yabidi kwanza nijijazie mwenyewe, alaf nimpeleke MKUU DIASPORA, alfu na MKUU WA IDARA nae anijazie!!!! Najambajeee sasa!

Utendaji wangu nahisi mwaujua ni wa KUCHAKACHUA mwanzo mwisho, Kwanza Naibia nasoma full time(msiniulize nawezaje, siri ya biashara) Pila nashinda humu JF, Tatu mingo za grave yard hazinikauki kuchonga ngenga na kupoteza muda. I know im not the best employee n im sorry bt life is too fast, cut me some slack people okay!!!!! Sina bahati kama nyinyi ya kulipwa 7figures na sina bima wala trust fund. Sina majumba ya kukusanya kodi, mama lara 1 anakaba kila angle. I survive on my own!!! Asister gotta eat n survive Okay!!!!!!!!!

Sasa mkuu wa idara ni maza flani, tunaelewana sana coz namuoneshaga mingo za pamba na mipochi pale Mwenge na Kino, nimemuunga na suppliers wa designer perfumes na make ups. In short maza shosti wangu sanaaaa, namuonesha jiji na mataa yake. Hadi zawadi ya mumewe ya anivesary nimechagua na kuinunua mimi! Ile fomu atanijazia poa sanaaa! Mjini Mipango.!!!! (Lazima kujikombe once in a while)

Tatizo lipo kwa Boss Diaspora!!!!!!!! Hali ya baba wa taifa ni tete! Toka nimpe cha mbavu basi kanitoa moyoni jumla jumla. Najmbajeeeenikifikiria atachonijazia!!!!!! Kama mjuavyo mimi 1. NI MNYWAJI,n thus damn expensive 2. Shopaholic nasanya taka madukani balaa another expense! 3. Mtu wa company sana so matumizi balaaa. That promotion is very important to me!!!! Hata hizo bonas coz im in huge Debts!!!! Diaspora ananifanyia Bettle za wazi wazi, najua lazima aniharibie. Safari zangu anazikalia, OT anaziover rule, Commissions kanipunguzia % yaani Kama i had a choice ninge resign ila kitaa hali tete. Ningekuwa na uwezo NINGEENDA KUMLOGELEA MBALI atulieee ila ndo siamini hizo makitu.

Sasa wakuu wangu wazee wa kujipendekeza embu nishaurini NIFANYAJE INODER TO TRICK/MOTIVATE DIASPORA TO NOMINATE ME FOR THE PROMOTION!!!!!!!!! Nitumie silaa gani? (Ushauri wa kumpa UC*I SIUTAKI KABISAAA) There gotta be another way for me to motivate him!!!!!!!!!! High class peoples wajameni help me ooooooooh!!!! Nimefikiria nimpe zawadi ya membership ya 1 year golf club jimkhana but i can barely afford that, alaf akiikataa ni non refandable!!!! Nitajikojoleajeeee! (Takrima ni gharama kubwaaa!)

People clock is ticking!!!!!! I gotta put all my cards on the table n i got shit!!!!!!!!! Please dont start judging me (jst thank God you aint like me), i know i aint the best example bt the sister is tryin hard!!!!!!! Cut me slack today! I promisw ill change! Okay!!!! For now mnisaidie nipate hilo PROMO KIBINGWAAAA!
Lara 1, si utani namna unavyojua kuandika hizi habari I picture you as a lady whom I can spend two/three/four hours without getting bored, kula mia..Yaani bado nafikiri mbona uko mtata na very interesting namna hiyo!!?? I really admire that sense of humour dadaaa!!
 
Back
Top Bottom