Nim-motivate vipi boss wangu? Mahusiano yetu yanazidi kuwa mabaya!

Ila Lala 1 una vituko kweli, pole mwaya mwenzio apprisal nimeshamaliza na mambo yameenda vizuri but kama unajiamini nafanya kazi vizuri huna aja ya kuwa na wacwac
 
Ndugu yanguuuu! I wish ningekuwa nyumba ndogo ya rizmoja mbona ningeacha fastaaaa! Ila ndo hivoooooo MASKINI ATAKULA KWA JASHO LAKE!!!!!!!

hahahhaa jaribi kwangu mi naitwa Riztwo.... rz1 walishamtemka kule umoja wa vijana....
 
Tatizo lipo kwa Boss Diaspora!!!!!!!! Hali ya baba wa taifa ni tete! Toka nimpe cha mbavu basi kanitoa moyoni jumla jumla. Najmbajeeeenikifikiria atachonijazia!!!!!!

Sasa wakuu wangu wazee wa kujipendekeza embu nishaurini NIFANYAJE INODER TO TRICK/MOTIVATE DIASPORA TO NOMINATE ME FOR THE PROMOTION!!!!!!!!! Nitumie silaa gani? (Ushauri wa kumpa UC*I SIUTAKI KABISAAA)


Mpe amana uliyopewa Bure na mwenyezi Mungu kwani ataondoka nayo lara 1.
Acha uchoyo huo. Wakati ukimnyima ulifikiria nini. Malipo ni hapa hapa,
Wewe ukitumia haki y ako ya msingi kuniumiza roho
Nami nakutegea tu ukiingia anga zangu ni mageli ya Mbavu hadi kuvunja Bandama.

Mwisho mwimba sio mshale, hutokea ulipoingilia.

Bazazi
 
Last edited by a moderator:
kama mie, nampigia simu lunch hour niko hotel na chumba nimelipia.

Ananikuta nishajisonteshea kibla tayari kwa kuchinjwa.

Hata aitunze vipi, haimsaidii lolote.

Uchumi ukipewa utumie khah!
Khaa! You must be crazy!!
 
Hapo wewe mpe tu hiyo kitu ila kabla hujampa ilete niikague then nitoe ushauri wa kitaajamu namna nzuri ya kumchanganya nayo!!!!! ts a free advice lara 1 take it!!!
 
Last edited by a moderator:
Hapo wewe mpe tu hiyo kitu ila kabla hujampa ilete niikague then nitoe ushauri wa kitaajamu namna nzuri ya kumchanganya nayo!!!!! ts a free advice lara 1 take it!!!

Ayayayayayaaaaaaa kuanzia lini Baba V unakagua k? Au wewe ndo bosi wa Lala1? Mfanyie fanyie basi akabe nafasi hiyo Lala1

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
serengeti boy ndio bia gani??

Natumia whisky tu.

Akyanani mimba inanitesa, nakula mabungo tu na pilipili.

Eti muuza ubuyu, umeniita?

Huo ubuyu wako una ugwadu wa kutosha? Kongosho ana mimba ya kaserengeti boy inapenda ugwadu sijapata ona.

Katoto lazima kazaliwe na kengeza wallah:majani7:
 
Last edited by a moderator:
Death of the lazy and under-peformers !!

Hahahaaaaaa! Sooooo Sad!!!!!!!!!!!! Mimi ndo kubwa la Maadui!!!!!! NAISHI ILE NILE, SILI ILI NIISHI!!!!!!!!! Promo lazima nilichukue!!!!!!!!! Callin me Lazy is too polite!!!! TRY IRRESPONSIBLE!!!!!!! Hahahaaaa! Life is a choice, n i choose to relax n watch others work. IRONIC ha!!!!!!!!!!
 
lara 1 ulishapata jibu la kujitosheleza?

Kama bado nijulishe nitakupa maujanja ya ukweli!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom