Nilizidisha kilevi juzi,nikamtusi sana bila kujitambua..

Donpela

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
2,040
591
Kaumia sana moyoni,kwa kashfa nilizotoa,binafsi hata moja sikumaanisha! .
Jana kaniambia tuachane,imeniuma,nakumbembeleza ! Nimemwambia nastop pombe kwa 2years. . .
Ni mchumba wangu,tuna malengo mengi,,tupo pamoja mwaka wa 4 sasa!
Anadai kachoka kuvumilia,kwasababu ni mara ya 3 narudia kitendo hiki,. .Mara ya pili nilitia hadi tumakofi. . .
Anaheshima,katulia,mimi ndo nakuwaga kidogo nje ya mstari nikipasha sana!. .
Bado namtaka,nifanyeje kwa sasa!
 
Ukitenda kosa si kosa bali kurudia kosa(hapo ndipo una makosa,umerudia kosa na ndo maana imeonekana umemaanisha)
Kwanini umpige mwanamke kisa pombe zako bana...hata mimi nampa heko kwa uamuzi huo.
 
thats true, nina mashaka pia kama anavyotaka kuacha pombe anamaanisha! Kumbe kwa miaka 2 tu?after that mwendo ni ule ule au? Jipange kaka utamkosa mrembo huyo
 
kwani bado hujajua kiwango gani cha pombe ukinywa haupotezi utu wako?(namaanisha ukinywa hufanyi hayo madudu? kunywa pombe,usilewe pombe
 
ndugu, sijarudia kumpiga . .Nilivyomtia makofi,niliapa kuto mgusa tena! Juzi nilimbwabwajukia tu. . .Bila kumaanisha! Ila dah. .<<. .Ngoja nilie kidogo! Majirani hawajaamka bado. .>>
moyo unanituma niskate tamaa!Nimpiganie uyu uyu!
 
....Hustahili kuwa na binti kama huyo, inabidi upate chakaram mwenzio labda ndio utatia akili kichwani. Ukipata bahati ya kusamehewa kwa mara nyingi tena basi achana na kilevi kabisa na wala si kwa miaka miwili bali usiguse tena kilevi maishani mwako, kilevi kinakuharibia maisha yako...utabaki unajuta na kulia kilio cha mbwa.
 
Kaumia sana moyoni,kwa kashfa nilizotoa,binafsi hata moja sikumaanisha! .
Jana kaniambia tuachane,imeniuma,nakumbembeleza ! Nimemwambia nastop pombe kwa 2years. . .
Ni mchumba wangu,tuna malengo mengi,,tupo pamoja mwaka wa 4 sasa!
Anadai kachoka kuvumilia,kwasababu ni mara ya 3 narudia kitendo hiki,. .Mara ya pili nilitia hadi tumakofi. . .
Anaheshima,katulia,mimi ndo nakuwaga kidogo nje ya mstari nikipasha sana!. .
Bado namtaka,nifanyeje kwa sasa!
Nipe contact zake ili nikusaidie kumbembeleza!
 
thats true, nina mashaka pia kama anavyotaka kuacha pombe anamaanisha! Kumbe kwa miaka 2 tu?after that mwendo ni ule ule au? Jipange kaka utamkosa mrembo huyo

nipo makini sana na mipango na utekelezaji,kwa sasa,miaka 2 hiyo ndipo napoanzia,ikiisha ntakua ndani ya ndoa yetu,majukumu mengine mazito zaidi,ili nikianza kunywa tena,nitakua kujipunguzia uchovu tu. .Lakini si kihivi kama sasa!
 
kwani bado hujajua kiwango gani cha pombe ukinywa haupotezi utu wako?(namaanisha ukinywa hufanyi hayo madudu? kunywa pombe,usilewe pombe

najua fikra kiwango changu. . Mda mwingine kama bahati mbaya,naweza piga vinu ili nirudi nikalale endapo sina plan nyingi kesho yake. . Mara bin vuu naingia home mziito,namkuta pale katulia ananisubiri,wala sipendagi anionage katika hali hile mda mwingine. .Ila mi ni mywaji wa malengo. .Ila si wa ugomvi
 
Kumbe usharudia mara kadhaa, na sasa unamuahidi eti unaacha pombe for two years only heheheh!! bora akupige chini coz hujielewi kabisa.
 
....Hustahili kuwa na binti kama huyo, inabidi upate chakaram mwenzio labda ndio utatia akili kichwani. Ukipata bahati ya kusamehewa kwa mara nyingi tena basi achana na kilevi kabisa na wala si kwa miaka miwili bali usiguse tena kilevi maishani mwako, kilevi kinakuharibia maisha yako...utabaki unajuta na kulia kilio cha mbwa.

hahahahahahah,dah ndugu hapo kwenye chakaramu umenichekesha kidogo. .Kati ya marafiki zangu 20,wawili ndo wenye gf/wachumba waliotulia kama huyu wangu!. .
Sidhani kama ntakosa nafasi nyingine kwake!. .Tunapendana sana!
Hapo pakuacha kabisa nadhani patafanyiwa kazi zaidi! Naogopa sana kula hiko kiapo! Ata tu taska tuwili nisitupige. !
 
U shouldn't worry about loosing her, unatakiwa ujihofie mwenyewe. Hiyo ndio tabia yako! Kama unataka kubadilika, badilika kwa ajili yako mwenyewe manake next utatukana mamako mzazi ama umpige mama mkwe afu shemeji zako waje kukutoa manundu kwa kukuchangia. Natamani nimuone huyo binti nimuambie akuache za maukwelikwelii! Siku mkiudhiana kwenye ndoa itakuwa kipigo na maneno.
Nenda rehab ama kwa maombi. Achana na pombe. Some of us ar living to the fullest, enjoying every free breath without alcohol!
 
Nipe contact zake ili nikusaidie kumbembeleza!

hahahahahah upo serious nikupe. . ? Ntashukuru kweli ukinisaidia kwa moyo mweupe. . .Ata ukitaka vocha za kumpigia ntatuma. . Ila ukifanya kinyume na hapo,ntasikitika sana!
 
Kuna msemo wanasema wahenga kuwa maneno ya mlevi huwa ndiyo aliyonayo moyoni!Mimi naamini hizo kashfa ulizompa ulikuwa nazo siku nyingi tu moyoni mwako!Huyo mwanamke akikukubalia muendeleze mahusiano atakuwa hana akili!Wewe level zako tafuta ma-barmaid tu!Samahani sikutusi Mkuu lakini nakupa ushauri mwafaka!!
 
Back
Top Bottom