Nilizidisha kilevi juzi,nikamtusi sana bila kujitambua..

Kaumia sana moyoni,kwa kashfa nilizotoa,binafsi hata moja sikumaanisha! .
Jana kaniambia tuachane,imeniuma,nakumbembeleza ! Nimemwambia nastop pombe kwa 2years. . .
Ni mchumba wangu,tuna malengo mengi,,tupo pamoja mwaka wa 4 sasa!
Anadai kachoka kuvumilia,kwasababu ni mara ya 3 narudia kitendo hiki,. .Mara ya pili nilitia hadi tumakofi. . .
Anaheshima,katulia,mimi ndo nakuwaga kidogo nje ya mstari nikipasha sana!. .
Bado namtaka,nifanyeje kwa sasa!

Inategemea na matusi yenyewe... Kama ulimwita "malaya" au ulimwambia,.." usinizingue,we si malaya tuu..!" ujue imekula kwako...
 
dah. . .Nahis kama ilihusika hii. . Ila what caused all this won't be given a chance again
 
Kuna msemo wanasema wahenga kuwa maneno ya mlevi huwa ndiyo aliyonayo moyoni!Mimi naamini hizo kashfa ulizompa ulikuwa nazo siku nyingi tu moyoni mwako!Huyo mwanamke akikukubalia muendeleze mahusiano atakuwa hana akili!Wewe level zako tafuta ma-barmaid tu!Samahani sikutusi Mkuu lakini nakupa ushauri mwafaka!!

Pokea like mkuu ingawa natumia simu.
 
dah. . .Nahis kama ilihusika hii. . Ila what caused all this won't be given a chance again

Ndiyo.. Au midume mingine inatukana wanawake ... Mfano... Wanawake hawaaminikiii..! Mwanamke bora mamangu tu! wakati hapo yuko na mpenzi wake.. Unategemea nini hapo!
 
Kaumia sana moyoni,kwa kashfa nilizotoa,binafsi hata moja sikumaanisha! .
Jana kaniambia tuachane,imeniuma,nakumbembeleza ! Nimemwambia nastop pombe kwa 2years. . .
Ni mchumba wangu,tuna malengo mengi,,tupo pamoja mwaka wa 4 sasa!
Anadai kachoka kuvumilia,kwasababu ni mara ya 3 narudia kitendo hiki,. .Mara ya pili nilitia hadi tumakofi. . .
Anaheshima,katulia,mimi ndo nakuwaga kidogo nje ya mstari nikipasha sana!. .
Bado namtaka,nifanyeje kwa sasa!
Wapo watu wameshakupa ushauri mwingi tu, wasi wasi wangu isiwe kuwa bado umelewa halafu ushauri ukashindwa kuuelewa
 
hahahahahahah,dah ndugu hapo kwenye chakaramu umenichekesha kidogo. .Kati ya marafiki zangu 20,wawili ndo wenye gf/wachumba waliotulia kama huyu wangu!. .
Sidhani kama ntakosa nafasi nyingine kwake!. .Tunapendana sana!
Hapo pakuacha kabisa nadhani patafanyiwa kazi zaidi! Naogopa sana kula hiko kiapo! Ata tu taska tuwili nisitupige. ![/QUOTE]

Sasa kama mnapendana sana kwanini unampiga!? Huko unakozinywa pombe zako umeshawapiga mabarmaid wangapi au wanywaji wenzako wangapi uliowahi kuwapiga kutokana na kilevi? au husubiri mpaka urudi nyumbani ndio ukalionee punching bag lako...ukinywa tutaska tuwili utadai hatunitoshi hutu ngoja niongeze tungine tuwili ukija kustuka umekunywa tutaska tutanane!!! Kama kweli unampenda sana huyo binti achana na hiyo kitu!!!!
 
Jana ililetwa hapa mmoja karudi home amevaa ndomu iliyojaa mchuzi, huyo kasingizia pombe! Huyu wa leo naye mitusi hadi kidogo mtoto wa watu apate mtikisiko wa ubongo! Na yeye ukiuliza sababu....pombe!! Hivi mtu usipokunywa pombe unapungukiwa nini hasa???
 
Kuna msemo wanasema wahenga kuwa maneno ya mlevi huwa ndiyo aliyonayo moyoni!Mimi naamini hizo kashfa ulizompa ulikuwa nazo siku nyingi tu moyoni mwako!Huyo mwanamke akikukubalia muendeleze mahusiano atakuwa hana akili!Wewe level zako tafuta ma-barmaid tu!Samahani sikutusi Mkuu lakini nakupa ushauri mwafaka!!

Badala ya kumshauri aache kilevi,unamshauri awe ananunua ngono... Unahitaji kunoa sana uwezo wako wa kumshauri mtu!
 
hahahahahahah,dah ndugu hapo kwenye chakaramu umenichekesha kidogo. .Kati ya marafiki zangu 20,wawili ndo wenye gf/wachumba waliotulia kama huyu wangu!. .
Sidhani kama ntakosa nafasi nyingine kwake!. .Tunapendana sana!
Hapo pakuacha kabisa nadhani patafanyiwa kazi zaidi! Naogopa sana kula hiko kiapo! Ata tu taska tuwili nisitupige. ![/QUOTE]

Sasa kama mnapendana sana kwanini unampiga!? Huko unazozinywa pombe zako umeshawapiga mabarmaid wangapi au wanywaji wenzako wangapi uliowahi kuwapiga kutokana na kilevi? au husubiri mpaka urudi nyumbani ndio ukalionee punching bag lako...ukinywa tutaska tuwili utadai hatunitoshi hutu ngoja niongeze tungine tuwili ukija kustuka umekunywa tutaska tutanane!!! Kama kweli unampenda sana huyo binti achana na hiyo kitu!!!!
asante kwa mchango wako mkuu. . .Awali nilikua sijajitambua kwa kina. .<ndo mana kosa limejirudia>. .Ila now nipo very determined. . .Nimeamua kuachana nayo kimoja. . . Stak gundu mie. .Akinirudia ase. .Ntagonga like members wote,kwasababu najua ngependa nirudiane na shemeji yenu eNDAPO NTAACHA KABSaaa! Kitu ambacho nakipanga sasa
 
Badala ya kumshauri aache kilevi,unamshauri awe ananunua ngono... Unahitaji kunoa sana uwezo wako wa kumshauri mtu!

wahena nao wanasema. . . .Kwenye mengi,chukua yakufaayo. .Wacha yasikufaayo. . .
 
Jana ililetwa hapa mmoja karudi home amevaa ndomu iliyojaa mchuzi, huyo kasingizia pombe! Huyu wa leo naye mitusi hadi kidogo mtoto wa watu apate mtikisiko wa ubongo! Na yeye ukiuliza sababu....pombe!! Hivi mtu usipokunywa pombe unapungukiwa nini hasa???

hahahahahaha. .Imeanza kwa kunchekesha. .Ila imeishia serious. . .Mkuu. . .Ntakujibu nikisha anza experience mpya. .Siitaki tena pombe ase
 
asante kwa mchango wako mkuu. . .Awali nilikua sijajitambua kwa kina. .<ndo mana kosa limejirudia>. .Ila now nipo very determined. . .Nimeamua kuachana nayo kimoja. . . Stak gundu mie. .Akinirudia ase. .Ntagonga like members wote,kwasababu najua ngependa nirudiane na shemeji yenu eNDAPO NTAACHA KABSaaa! Kitu ambacho nakipanga sasa

Katika juhudi zako za kuomba samahani mwambie asome hii thread na huku ukiendelea kuomba usamehewe. Kila la heri.

Last edited by a moderator:
dah umeona eeh......
ila now nimekoma ase....big tyme:A S cry::A S cry::A S cry:
 
i know mydr.....and up to real ChaNGes for real.....(help me God)
 
duh, wewe unatakiwa kuishi na kichwa panzi kama mie, nikilewa huwa nasambaza miguu.
 
Back
Top Bottom