Nilizaa na kuishi naye.....

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,052
Swali hili kaliuliza Bi flora Wingia katika safu ya 'maisha' kwenye gazeti la 'Nipashe' la jana,hebu tutafakari hili mada.Kauliza hivi:
'Inakuwaje mwanaume aishi na mwanamke,azae naye watoto kisha ghafla ambadilikie na kumfurumusha toka nyumbani kwake kisa eti sasa ameamua kuoa na ku settle,na kweli akishamfukuza mzazi mwenzie anafunga ndoa na kufanya harusi na kimwana mpya' Anauliza hii inaingia akilini kweli?
 
Ndoa hailazimishwi,
Wala mapenzi hayalazimishwi.
Inategemea makubaliano yao yalikuwaje
Kubwa ni swala la watoto ambao ni victim wa circumstance !
 
"imeandikwa nitakufanyia msaidizi wa kufanana nawe" ss wengine kabla hawajafanyiwa wasaidizi wanaendekeza usinzi haya ndio matokeo yake ss, badae unakuja kugundua kuwa huyu si ubavu katika ubavu wangu na nyama katika nyama zangu unaamua kumuacha na kutafuta unayeona kwako ni sahihi.
 
Haswa! wengi wanadhani wakizaa na wanaume bac watawalazimisha wawaoe.
Si kweli nivyema ukasubiri badala ya kukurupuka!
 
Kweli haiingii akilini kabisa kama ulikuwa humtaki si ungemwambia mapema wanawake nao saa nyingine mie nawalaumu huwezi kusoma alama za nyakati kuwa huyu jamaa hanitaki upooo tu unaitegesha K yako unazaaa mpaka unachakaa haifai
 
Vipi tena kina mama kwenye hii thread mbona naona kama hamuwaonei huruma wanawake wenzenu wahanga wa hii hali na badala yake mnatetea wanaume?
 
Du,taratibu shemeji!
 
ni rahisi kulaumu wanawake kuwa ni kosa lao,ila wa kulaumiwa hapa ni wanaume -mwanamke kama humtaki huna future naye kwa nini usimwache akaenda zake mpk unamzalisha watoto na kumzeesha?:smash:
 
Saaly,mwanamke kama unaishi naye anakupikia anakupakulia unadhani ni rahisi kumtoa ndani? kwanza unaanzaje?
 
mbona eventually unamtoa kwa kuoa mwanamke mwengine?? kwa nini isiwe mapema kabla hajazaa?
 
Vipi tena kina mama kwenye hii thread mbona naona kama hamuwaonei huruma wanawake wenzenu wahanga wa hii hali na badala yake mnatetea wanaume?

Bishanga hapa hakuna swala la kuoneana huruma, ni msimamo wa mtu na ndio maana Eva alipomdanganywa na nyoka ale tunda Mungu aligawa adhabu kwa wote kuanzia , shetani -uzao wa mwanamke utakuponda kichwa, Adam-atakula kwa jasho na Eva-atazaa kwa uchungu.

kama huyo dada angejua kusoma majira na nyakati hayo yasingemkuta!!!
 
Inategemea wanawake wengine huwa anaamua hata kumroga mwanaume na akishaolewa anafyatua matoto akitegemea hatoachwa sasa dawa zikiisha na huyo mbaba kurudia akili yake matokeo yake ndio hayo.
 
Matyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ndoa hailazimishwi,
Wala mapenzi hayalazimishwi.
Inategemea makubaliano yao yalikuwaje
Kubwa ni swala la watoto ambao ni victim wa circumstance !
Aksante NATA kwa kutukumbusha hili. Ni muhimu pia kwetu kina dada kuacha kulazimisha mambo. Hajahalalisha ameomba tu muwe bedmates (tafsiri yake ni kuwa I want to have fun and good times with you......haimaanishi I want to share the rest of my life with YOU, Marry you or have kids with you). So tujifunze maadioli au kama tunashindwa basi nasi tujifunze kuishi kwa kuhave fun and spend good time.

Tusijibebeshe mimba kama njia ya kuwa'hook' hawa wenzetu.
 
Back
Top Bottom