Niliwahi kufanya interview nikiwa nimelewa nikapata ile kazi

kyanyangwe

JF-Expert Member
Oct 31, 2018
1,147
2,746
Ilikua mwaka flan bana, nikiwa niko tu jobless nikapokea call kutoka kwa recruitment agent kuwa kavutiwa na cv yangu hivyo anataka kusikia mawili matatu kutoka kwangu kabla ya kutuma cv yangu kwa client wao.well tulifanya nae fresh akanielewa then akaituma kwa client wake.

Yule client wake alikua ni multinational company bwana,siku ya siku akanicheck ilikua ijumaa nakumbuka nilikua na jamaa zangu walevi walikua wamepokea mishahara yao wakawa wamenitembelea kimara pale tukawa tunapiga makonyagi. Actually me sikua nimejiandaa na chochote siku hiyo nikawaambia let's proceed nakumbuka alikua mhindi mmoja na mwafrika mmoja, nikawajibu fresh wakaniambia you have good experience on this job and our hr manager will come back to you.

Baada ya siku tatu nikapigiwa na hr manager wao akaniambia umepata kazi.ndio ukawa mwanzo wa kuanza kusahau shida zangu za dunia wakati ule. Moral of the story is jiamini katika mazingira yoyote yale, you can make it.
 
Back
Top Bottom