Nilivyoteswa na niliyempenda na hatimaye akapigwa mtungo

we jamaa umejaa dharau sana kwa wanawake, yaani kweli uliwaonesha huo mkanda wazazi wake?..sa heshima ya elimu ulonayo iko wapi akati mwenyewe ulitambua fika kuwa alilewa then akabebwa, kifupi tangu mwanzo wa mahusiano yako kuna vitu ulikosea na ndo maana yamekukuta haya KOSA moja tu uliingia kwa gia ya PESA..ndio pesa ni muhimu kwenye mahusiano endapo tu italeta au kupelekea utoshelevu wa kimwili na kiroho kwa wahusika..sikiliza acha kuendelea kumpaka matope huyo dada kwa kusambaza habari zake "eti alipigwa mtungo" kwa nduguzo wengine au rafikizo tabia hii haifanani na ulivyo na zaidi ina madhara makubwa kwa mwathirika..

sio dharau yy ndo alianza kuleta dharau mkuu kwanii hakuwa najiheshimu paka aanze kwenda club pekeyake angali akijua mm simo na hakuwa mkweli mengi ukimuliza anaficha paka pawe na ushahidi wa kama hizi picha
 
hapana mkuu nimempeleka kwao iringa na hapa nimerudi jana tu na imekula kwake maana ndo kamaliza chuo na nilimtafutia sehemu hivi alikua ndo ktk maandilizi ya kufanya usahili sasa kwa ushenzi huu nitahakikisha atapata kazi mm nikifa
sidhan kanma uko sahihi kusema eti utahakikisha atapata kazi wewe ukifa.

Duniani hakuna kosa linaloondoa ama linalombadili mtu milele, kama kakosea kakosea kama binadamu mwingine yyte yule, na kosa lake haliwez kumbadili mtu badala ya kuwa mtu akawa kitu. wewe sio Mungu unayetoa riziki useme utamfungia riziki. so far uikuwa unamhudumia wewe jua riziki yake ndo ilipangwa ipite kwako na ikifika muda wake wa kukoma itakaoma na mlango mwingine utafunguka tuu.

kakushinda basi chukua ustaarabu mwingine manake hata kama alikuwa anakucheat, mlevi nk bado anauhuru namaisha yake na sio kuwa na maisha ya kupigwa mstari wa rula na wewe.

umesha mwacha basi imetosha carry on your own business and leave her alone tena chunga sana usije ukajikuta umesema neno ibilisi akaliskia akatumia nen hilo hilo kukutega hujayajua maisha bado ndio maana unasema haya ila ungaliyajua usingalisema eti nitahakikisha atapata kazi mimi nikifa
 
Kwani mwaka kitu gani NN? Watu wanapiga hata 5yrs na wako fit kabisa! Sema ndiyo hivyo tena huwezi kuamini na hatuwezi kutoa evidence hapa jamvini! Some behaviors have something to do with mind-set!

We mwaka mzima unadhani huyo demu wako hatatoombwa na wengine? Kuwa mhalisia bana....
 
Njoo uwekeze kwangu nakuhakikishia huta regret. Ila uwekeze mapenzi siyo pesa wala mali tehe.....

unajua ukweli ni kwamba haya mambo once u r storied unafikiri kama mchezo wa kuigiza but once unakutana nayo asikuambie mtu ndugu yangu.kwa hili sitathubutu ku invest ktk mapenz tena till i go dead,nafikiri ni wakati wa kuendelea kuwekeza kwa wazazi na ndugu tu hope ndio wanao deserve much
 
hafu tutachenjiana mda si mrefu.mm niliyeweza vumilia je na sio mwaka kwan mwezi wa tisa nilirudi smtimes tumia maneno mepesi sio lazima utaje maneno ya kushitua akili ur a great thinker bwana
Hahahaaaa.... naona imekuuma sana mkuu kuambiwa mda ulikuwa ni mwingi mno na hivyo ni lazima demu wako ange-toambwa tu! Pole lakini, wewe ulivumilia, yeye akatoambwa, hivyo mzani haukubalansi, next time jitahidi akitoambwa, na wewe toa wa kwako!
 
Kwani mwaka kitu gani NN? Watu wanapiga hata 5yrs na wako fit kabisa! Sema ndiyo hivyo tena huwezi kuamini na hatuwezi kutoa evidence hapa jamvini! Some behaviors have something to do with mind-set!

bado hajakuwa si hawa watoto waliozoea kujichua ratiba za kila wanapoenda kuoga kwaiyo ndo maana wanafananisha .thank you u then
 
sidhan kanma uko sahihi kusema eti utahakikisha atapata kazi wewe ukifa.

Duniani hakuna kosa linaloondoa ama linalombadili mtu milele, kama kakosea kakosea kama binadamu mwingine yyte yule, na kosa lake haliwez kumbadili mtu badala ya kuwa mtu akawa kitu. wewe sio Mungu unayetoa riziki useme utamfungia riziki. so far uikuwa unamhudumia wewe jua riziki yake ndo ilipangwa ipite kwako na ikifika muda wake wa kukoma itakaoma na mlango mwingine utafunguka tuu.

kakushinda basi chukua ustaarabu mwingine manake hata kama alikuwa anakucheat, mlevi nk bado anauhuru namaisha yake na sio kuwa na maisha ya kupigwa mstari wa rula na wewe.

umesha mwacha basi imetosha carry on your own business and leave her alone tena chunga sana usije ukajikuta umesema neno ibilisi akaliskia akatumia nen hilo hilo kukutega hujayajua maisha bado ndio maana unasema haya ila ungaliyajua usingalisema eti nitahakikisha atapata kazi mimi nikifa

nimekuelewa mkuu nafikiri nilikuwa na stress zaidi but repsect to u wadau
 
pole sana mkuu, Mungu amekuepusha na hilo balaa mapema maana lingekukuta ndani ya ndoa ingekua ni majuto,ubavu wako upo tu.. She you loved for the reason and the reason was.........
 
nashukuru mkuu daa sipati picha hapo ndo mpo mke na mume mmmh nahisi yangekuwa kama yakna mush na ufoo salo
 
Kuna wanawake tabia zao zina wenyewe wanaoziweza sasa utakuta dume unapenda tu mtu msiye endana baadae majuto!! kuna mabinti hata mkaa hawagusi wao ni chipsi tu kitaa na unashuhudia hayo kwenye uchumba alafu ukimuweka ndani unataka achochee jiko la mkaa nyoooo!
utaishia kukimbilia humu kufungua thread tayari hali tete!!
 
next time jaribu kusoma contents za thread sasa uki deal na manyunyu matokeo yake hata uchangiaji wako unakuwa haufanani na swala linalozungumziwa
 
Hahahaaaa.... naona imekuuma sana mkuu kuambiwa mda ulikuwa ni mwingi mno na hivyo ni lazima demu wako ange-toambwa tu! Pole lakini, wewe ulivumilia, yeye akatoambwa, hivyo mzani haukubalansi, next time jitahidi akitoambwa, na wewe toa wa kwako!

tatizo lako ni foolish age ukivuka utaacha tu
 
mkuu pole sana,one day tutafutana tu, nina mengi na kuna mengi yamenikuta mpaka nilianzisha thread humu mwaka juzi, na imeendelea drama mpaka nimempiga chini huyo binti

Back
Top Bottom