Nilitembea naye kweli, akapata mimba... Lakini natatizwa na hili

ukipata daktari au nesi mzuri ndio hata kupa majibu ila ya juu kwa juu ni kujidanganya.
 
Screenshot_2022-12-28-09-42-48-90_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

Kupata uhakika DNA ndio njia.. ikiwa kakuchanganya na mwingine au wengine siku hizo.

Umeoa tayari?
 
Kitanda hakizai haramu..ingawa umepigwa mjomba.
Amepigwa nini hapo dear???? Alee mtoto tu no way watoto ni baraka!!!

Kama walifanya usiku wakagundua asubuhi still walikua na uwezo wa kutumia dawa na isingeingia!!
pili Mambo ya ujauzito mwananke anaweza akawahi kujifungua miezi 7 ambae ni njiti au ndani ya miezi 9 akawahi tofauti na tarehe ya matarajio au kuchelewa tofauti na tarehe ya matarajio ! Na Wengine hupitiliza hadi miezi 10 ila kwa miezi tofauti hio haiwezekani kujifungua mimba itaharibika

Tatu hivi kwa wote wanaofanya ile siku ya 14 ni lazima atoke wa kiume???
Vipi kuhusu fitness ya hizo mbegu za kike na kiume???? mtoa mada wewe wasiwasi wako ninini Hapo??
 
Tukiwa tumebakiza siku au masaa kadhaa kuuaga mwaka 2022 nakuja mbele yenu na hiki kisa:

Kuna kabinti flani kalikuwa kanasoma chuo flani hapa Dom nilikuwaga na mahusiano nako miaka ya nyuma badae tukaja kuachana kama mnavyojua vidada vya chuo huwa vina mambo mengi.

Sasa mwanzoni mwa mwaka huu akaanza kurudisha mawasiliano na mimi tukawa tunachat mara moja moja akadai huwa ananimiss sana anatamani japo tupange siku tuonane tupeane utamu.

Nakumbuka ilikuwa tarehe 6 mwezi wa nne nilipata safari ya kwenda mkoa flani kucheck kama naweza kuwekeza biashara yangu ya majeneza huko, nikiwa huko nikawasiliana na huyu binti nikamjuza kwamba ntakuwepo hapo kwa siku kama tatu(kipindi hicho alikuwa anaishi mkoa huo baada ya kumaliza chuo)

Nilipomjuza kwamba niko maeneo hayo alifurahi sana akaomba kuja kuniona nikamkubalia hivyo akapanda basi kutoka eneo alipokuwa mpaka kufika mjini nilipofikia mimi ni umbali wa masaa matano hivi.

Ili kufupisha story alikuja tukapiga story kwa jinsi ambavyo tulikuwa na muda mrefu hatujaonana kila mmoja kammiss mwenzake tulijikuta room tunapiga show na tulilala mpaka kesho yake ambayo nakumbuka ilikuwa Karume day tarehe 7 April.

Kulipokucha ndo ananiambia eti tumesex siku mbaya ambapo anadai aliingia period tarehe 24 March hivyo kufikia hiyo tarehe tuliyofanya mapenzi tarehe 6 kuamkia tarehe 7 April ilikuwa siku ya 14 kwenye mzunguko wake hivyo anahofia kuwa kanasa mimba!

Nikamuuliza kwa nini hakusema kabla akasema eti kutokana na alivyokuwa kanimiss halafu alipofika tulikunywa kidogo hivyo anadai alijisahau amekuja kustuka asubuhi kwamba alikuwa tarehe mbaya!

Tuliagana nikaendelea na mishe zangu then nikarudi Dom tukawa tunawasiliana mara moja moja baada ya siku kadhaa akanambia amepima ana mimba na ana uhakika ni yangu!

Sasa mnamo jana tarehe 27 December huyu binti kanitaarifu kajifungua mtoto wa kike.

Nimekaa nikawaza kabla ya kuchukua maamuzi yoyote nifanye utafiti kwanza ili nisije kuwa napigwa na kitu kizito!
Najua humu kuna watu wenye uelewa tofauti hata wataalamu wa masuala ya uzazi pia wapo(japo wale wazee wa michambo pia wapo)

Naomba msaada wa kitaalamu kwa wenye uelewa wa haya mambo:

Inawezekana nisex na mwanamke siku ya 14 ya mzunguko wake ambao una siku 28 then aje kujifungua mtoto wa kike?

NB: Ikumbukwe kwamba alianza period tarehe 24 March na nikafanya naye mapenzi usiku wa tarehe 6 April na amejifungua tarehe 27 December mtoto wa kike!
Lea mtoto mkuu... Take responsibility... wakati wa kusex ungeikumbuka condom.

Haya mambo ya kuanza kuulizia kama mtoto wako au sio wako wakati ulisex sio kabisa.

Next time be responsible enough before you open your zip.
 
Amepigwa nini hapo dear???? Alee mtoto tu no way watoto ni baraka!!!

Kama walifanya usiku wakagundua asubuhi still walikua na uwezo wa kutumia dawa na isingeingia!!
pili Mambo ya ujauzito mwananke anaweza akawahi kujifungua miezi 7 ambae ni njiti au ndani ya miezi 9 akawahi tofauti na tarehe ya matarajio au kuchelewa tofauti na tarehe ya matarajio !

Tatu hivi kwa wote wanaofanya ile siku ya 14 ni lazima atoke wa kiume???
Vipi kuhusu fitness ya hizo mbegu za kike na kiume???? Mbwa dume wewe wasiwasi wako ninini Hapo??
Uzi ufungwe💯❣
 
Sasa kufuatilia kibali inahitaji fedha za kigeni!?? Hiyo sio shida sana kwako sababu hauna ndoa naye, ww unaenda unaeleza maelezo yako watakuelewa!

Wanazingua sanasana wanandoa ili kuepusha magomvi!
Aandae barua kupitia mwanasheria wake, yaan mwanasheria ndo anaomba kibali kwa Chemist wateja wake kuchukua vipimo vya DNA, then wewe na mwenza wako na mtoto pamoja na mwanasheria mnaenda wote sometimes ata mwanasheria anaweza kubaki nyuma akawapa barua tu mkaenda nayo. Maana barua inakuwa na address ya mwanasheria pamoja na muhuri
 
Amepigwa nini hapo dear???? Alee mtoto tu no way watoto ni baraka!!!

Kama walifanya usiku wakagundua asubuhi still walikua na uwezo wa kutumia dawa na isingeingia!!
pili Mambo ya ujauzito mwananke anaweza akawahi kujifungua miezi 7 ambae ni njiti au ndani ya miezi 9 akawahi tofauti na tarehe ya matarajio au kuchelewa tofauti na tarehe ya matarajio ! Na Wengine hupitiliza hadi miezi 10 ila kwa miezi tofauti hio haiwezekani kujifungua mimba itaharibika

Tatu hivi kwa wote wanaofanya ile siku ya 14 ni lazima atoke wa kiume???
Vipi kuhusu fitness ya hizo mbegu za kike na kiume???? mtoa mada wewe wasiwasi wako ninini Hapo??
Yaani hapo ni kulea. Asitafute sababu nyingine yoyote
 
Aandae barua kupitia mwanasheria wake, yaan mwanasheria ndo anaomba kibali kwa Chemist wateja wake kuchukua vipimo vya DNA, then wewe na mwenza wako na mtoto pamoja na mwanasheria mnaenda wote sometimes ata mwanasheria anaweza kubaki nyuma akawapa barua tu mkaenda nayo. Maana barua inakuwa na address ya mwanasheria pamoja na muhuri
Kwishaa....
 
Tukiwa tumebakiza siku au masaa kadhaa kuuaga mwaka 2022 nakuja mbele yenu na hiki kisa:

Kuna kabinti flani kalikuwa kanasoma chuo flani hapa Dom nilikuwaga na mahusiano nako miaka ya nyuma badae tukaja kuachana kama mnavyojua vidada vya chuo huwa vina mambo mengi.

Sasa mwanzoni mwa mwaka huu akaanza kurudisha mawasiliano na mimi tukawa tunachat mara moja moja akadai huwa ananimiss sana anatamani japo tupange siku tuonane tupeane utamu.

Nakumbuka ilikuwa tarehe 6 mwezi wa nne nilipata safari ya kwenda mkoa flani kucheck kama naweza kuwekeza biashara yangu ya majeneza huko, nikiwa huko nikawasiliana na huyu binti nikamjuza kwamba ntakuwepo hapo kwa siku kama tatu(kipindi hicho alikuwa anaishi mkoa huo baada ya kumaliza chuo)

Nilipomjuza kwamba niko maeneo hayo alifurahi sana akaomba kuja kuniona nikamkubalia hivyo akapanda basi kutoka eneo alipokuwa mpaka kufika mjini nilipofikia mimi ni umbali wa masaa matano hivi.

Ili kufupisha story alikuja tukapiga story kwa jinsi ambavyo tulikuwa na muda mrefu hatujaonana kila mmoja kammiss mwenzake tulijikuta room tunapiga show na tulilala mpaka kesho yake ambayo nakumbuka ilikuwa Karume day tarehe 7 April.

Kulipokucha ndo ananiambia eti tumesex siku mbaya ambapo anadai aliingia period tarehe 24 March hivyo kufikia hiyo tarehe tuliyofanya mapenzi tarehe 6 kuamkia tarehe 7 April ilikuwa siku ya 14 kwenye mzunguko wake hivyo anahofia kuwa kanasa mimba!

Nikamuuliza kwa nini hakusema kabla akasema eti kutokana na alivyokuwa kanimiss halafu alipofika tulikunywa kidogo hivyo anadai alijisahau amekuja kustuka asubuhi kwamba alikuwa tarehe mbaya!

Tuliagana nikaendelea na mishe zangu then nikarudi Dom tukawa tunawasiliana mara moja moja baada ya siku kadhaa akanambia amepima ana mimba na ana uhakika ni yangu!

Sasa mnamo jana tarehe 27 December huyu binti kanitaarifu kajifungua mtoto wa kike.

Nimekaa nikawaza kabla ya kuchukua maamuzi yoyote nifanye utafiti kwanza ili nisije kuwa napigwa na kitu kizito!
Najua humu kuna watu wenye uelewa tofauti hata wataalamu wa masuala ya uzazi pia wapo(japo wale wazee wa michambo pia wapo)

Naomba msaada wa kitaalamu kwa wenye uelewa wa haya mambo:

Inawezekana nisex na mwanamke siku ya 14 ya mzunguko wake ambao una siku 28 then aje kujifungua mtoto wa kike?

NB: Ikumbukwe kwamba alianza period tarehe 24 March na nikafanya naye mapenzi usiku wa tarehe 6 April na amejifungua tarehe 27 December mtoto wa kike!
Mmezid kuloweka kavu....mtu mmeachana miaka kazaa kila mtu karnda kudanga huko mnakuka kurudiana kijinga na mimba juuu.....mtt wako huyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom