Nilitaka kumuua mke na mtoto wa 'my best friend' kwa risasi!

Jamani king'ati utanishtua huyu mjeshi akirudi..ngoja nende zangu jukwaa la stress mie.
Tunasubiria utafikiri count-down ya mwaka mpya...lolz!

yaani leo hata morning glory nimemrusha Paw wangu. Lakini haijatosha. Mweeeh! Ngoja nikaoge kwanza manake mtoto wa kike ntaaza kunukia mchele sasa!
Ciello shika siti nakuja. Nibebe na kiporo cha lunch kabisaa.
 
Last edited by a moderator:
Ongezea pop corn mifuko sita mingine na sippy soda...kama vipi njoo na novels manake tunasinzia tu hapa Ciello nikamatiemo siti ...ngoja niangalie maisha pande zengine!!

Huyu CHAI CHUNGU angekuwa anatuambia muda wa kurud,stori tamu anakuja anapotea so mbaya mpaka kieleweke Inafundisha na kuelimisha
 
ongezea pop corn mifuko sita mingine na sippy soda...kama vipi njoo na novels manake tunasinzia tu hapa ciello nikamatiemo siti ...ngoja niangalie maisha pande zengine!!
huyu chai chungu angetuambia atarudi baada ya muda gan duu stori tamuuuu kinoma,hatutoki hapa mpaka kieleweke maana inafundisha na kuelimisha!
 
Last edited by a moderator:
Style ya hapa ni kuchungulia kiaina kisha unasepa...ukijifanya kuuweka unaozea hapa...mtu ziko hapa tangu jana...mjeshi naye sijui anasimuliwa kwanza ndo na yeye anakuja kumwagika???

huyu chai chungu angetuambia atarudi baada ya muda gan duu stori tamuuuu kinoma,hatutoki hapa mpaka kieleweke maana inafundisha na kuelimisha!
 
Ongezea pop corn mifuko sita mingine na sippy soda...kama vipi njoo na novels manake tunasinzia tu hapa Ciello nikamatiemo siti ...ngoja niangalie maisha pande zengine!!
ama nije na kisefuria na jiko la mchina tutengeneze popcorn hapo tulangue kifuko buku 5. Hii ni opportunity ya biashara. Nakuja na sippy na azam cola kwenye ndoo yenye barafu basi.
 
Last edited by a moderator:
We CHAI CHUNGU tutakugomea kusoma hii story yako..
Haiwezekani utupe adhabu watu tusome comments zote tokea nlipoacha jana page ya 6 mpaka ya 15 leo nasoma comments tu na wewe umeondoka sasa.
Mbaya zaidi umewatesa watu na kimvua cha dar hiki nawaonea huruma ...
Loo bora mie nliyejilalia mapema saa 4 mliokesha poleni sana looo
 
Last edited by a moderator:
There are currently 249 users browsing this thread. (70 members and 179 guests)

Mjeda kuna umati wa watu wanakusubiri........
 
stori nzuri lakini unakatisha utamu jmn. ntakamatwa na boss mwenzio malizia kabisa ili niwe na amani basi.
 
Wakuu ntarudi punde kuna job naenda kuifanya kwanza then nikirudi tunamaliza gem.I'm under my boss's order!

Nimegundua kitu, moja wapo ya resolutions za CHAI CHUNGU ilikua ni kutupia post nyingi iwezekanavyo mwaka huu 2013 na kweli anatimiza hilo!
Hongera sana:A S 41:
 
hehehehehehe...umetisha mtu wangu...ila kwa hili nyomi kama vipi wewe njoo navyo tupigie mpunga hapa..angalia mwenyewe ...There are currently 250 users browsing this thread. (69 members and 181 guests)..ila hawa guest ndo nawahurumia bora sie wenyeji...

ama nije na kisefuria na jiko la mchina tutengeneze popcorn hapo tulangue kifuko buku 5. Hii ni opportunity ya biashara. Nakuja na sippy na azam cola kwenye ndoo yenye barafu basi.
 
poleni kwa kunisubiri!

unatupa pole ya nini bana? We post hizo hivyo vipande vilivyobaki! Unakuja kuchungulia chungulia nini sasa kama story haiendelei? Yaani story imefikia sehemu ya kurusha roho we ndio unaikatiza! Aaaghaaaaa!
 
Dah jamani malizia nina uchu wa kujua kilichoendelea.stor tamu sana japo inaskitisha.
 
Igunga hadi Sherui ni km 86,huwezi tembea

We uashawahi kusikia exercise chomoka? Monduli pale huwa tunaandaliwa kukimbia 40 kms sembuse kutembea kilomita 86?? Mi nishatembea nyingi zaidi ya hizo, Makete mpaka Njombe mjini.... Piga hesabu
 
Back
Top Bottom