Nilipomtajia Mjapani jina langu akacheka kisha akasema, ''it is nice name''

Kuna jamaa nilisoma naye huko japenga anaitwa Furukuma Yasui na mwingine Kundu Tsu
 
Leo nimejua sababu ya yule mjapani kucheka baada ya kumwambia jina langu. Hii ni baada ya juhudi nilizofanya za kutafuta sababu kupitia mtandaoni kwani nilidhani labda jina langu ni tusi kwao kama wao ambavyo majina yao hapa kwetu yanavyoletaga utata, kumbe.......

Pumbavu kabisa.

Japanese women go ape over 'handsome' gorilla named Shabani

View attachment 420913

View attachment 420914
Wajapani kibokoAwamu ya mzee mwinyi Kuna balozi aliletwa alikuwa anaitwa KAYANYA KAYASHIKA
 
Leo nimejua sababu ya yule mjapani kucheka baada ya kumwambia jina langu. Hii ni baada ya juhudi nilizofanya za kutafuta sababu kupitia mtandaoni kwani nilidhani labda jina langu ni tusi kwao kama wao ambavyo majina yao hapa kwetu yanavyoletaga utata, kumbe.......

Pumbavu kabisa.

Japanese women go ape over 'handsome' gorilla named Shabani

View attachment 420913

View attachment 420914
Na watanzania wenye majina tata kama m.k.ndu! Na mengineyo mengi tu, tusijififanye sisi hatuna.
 
Nasikia nyerere alimkataaga Baloz wao kwasabab jina lake lilikuwa na ukakas jamaa jina lake lilikuwa qumermoto tombambele. Nyerere naskia alimaindi kichizy akasema this is bulshit nakukataa hati yake ya utambulisho na kumtimua faster
nimeona comment kama hii tena kwenye uzi wa mafuriko wa mto **** huko jiji la Kumamoto,japan
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom