Nilipokuwa mdogo nilikuwa naamini mwanamke mwenye makalio makubwa ndio mzuri

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,050
10,495
Nilipokuwa mdogo mwinjuma mimi nilikuwa sielewi nini maana ya mapenzi...

Kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo nazidi kuyaona maisha katika angle tofauti baadhi ya misimamo na mitazamo niliyokuwa nayo hapo awali inabadilika.

Kuna hii kasumba ambayo wengi wanaiamini kuwa Mwanamke mzuri ni yule mwenye makalio makubwa na mimi kabla ya kufikisha miaka 30 nilikuwa naamini hivyo nilikuwa nikipishana na mwanamke mwenye shepu lazima nigeuke ukija kwenye browsing history kwenye simu unakutana na Bigbooty, BBW, Black Big booty na SSBBW wide spread ulikuwa unielezi kitu kwenye makalio hata nikienda kwenye Madanguro nisipokutana na Kahaba mwenye zigo Basi ntageuza zangu geto.

Hatimaye nimekuwa naelewa uzuri wa mwanamke ni nini na i'm very sad kuchelewa kuyajua haya, maana along the way nimepishana na wanawake wazuri kwa kigezo cha makalio but note haimaanishi wanawake wenye makalio sio wazuri bali kigezo cha makalio kisiwe nambari moja kugrade uzuri wa mwanamke.

Wakuu tusijifungie kwenye kitu kimoja pekee jaribu kutest vitu vipya maana kupitia hapo ndio utajua kitu kizuri na kibaya.
 
Maamuzi ni yako.
images (3).jpeg
20230829_155009.jpg
 
Umejua uzuri wa mwanamke nn? Tuambie sasa.

Kwa kweli mimi mnisamehe ndugu zangu hata wakati nachagua mke tako na rangi nyeusi vilikuwa moja ya vigezo vyangu.

Mwanamke hana tako hata lift simpi apite kuleee. Maisha haya usipojiwekea kanuni yanakuwa hovyo. Waarabu na wahindi wamefika level ya juu kabisa ya kuishi kwa kanuni ndio maana tunawaita wabaguzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom