Nilimuonya akakana katu, leo kajikamatisha mwenyewe

SIPIYU30

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
1,621
2,015
Mambo zenu wananzengo,

Eee bana nilikuwa kwenye mahusiano na mdada mmoja kwa muda wa miaka minne ambayo leo tarehe 13 November 2023 majira ya saa 4 usiku nimevunja rasmi baada ya kujiridhisha pasipo na shaka kuwa yuko na mwanaume mwingine usiku huu. Ila kuna mambo nafikiria the best way to handle the case.

Huyu mrembo nina story ndefu sana na yeye, muda hautotosha kuandika kila kitu hapa, ila nimehangaika naye kwa muda mrefu sana. Kama ni mapenzi basi aliuteka moyo wangu hadi tukazaa mtoto ambaye sasa ana miaka mitatu.

Hata hivyo, kuna matukio au mambo ambayo yalikuwa yananipa red alert au warning, kuwa kuna kitu hakiko sawa.

Kuna wakati nilimkalisha na kumuomba afunguke kwa usalama wetu kiafya, na pia kila mmoja awe huru kuliko kudanganyana. Yeye kagangamala hana mtu na hawezi kuwa na mtu zaidi yangu. Hadi nafikia kusema hivyo nilishaona kila dalili ila nilikuwa nakosa tu evidence.

Basi waswahili husema muda ni mwalimu mzuri. Ukweli nimehangaika sana kwa ajili yake ila siku zote nilijihakikishia nafsini mwangu in case anything happen between us, nitachukulia kama vile nimetoa msaada hospitali au kwa wahitaji ili roho isiniume.

Sasa leo hapakuwa na umeme na simu ilikuwa haina chaji. Jioni umeme ulivyorudi nikaichaji nikawasha majira ya saa 4 nikakuta sms inayoonyesha alinitafuta. Nilipompigia, kosa alilofanya akapokea kumbe yuko na kidume. Inaonekana hawakupangana vyema kabla hajapokea simu, so ile anapokea huku jamaa anaongea na yeye anamwambia jamaa ngoja kwanza. Ghafla ile sauti ya kiume ikapotea. Nikajifanya sijasikia akaanza kunipa story fulani nikasikilizaaaa, ni habari mbaya ya jambo lililompata dada mmoja ambaye alimfanyia connection hadi akapata kazi kwenye hiyo kampuni, na huyo dada ilibidi nifahamiane naye kipindi namhangaikia yeye apate hiyo kazi. Ile story niisikiliza hadi mwisho, nikaishia tu kutamka neno moja "poleni".

Baada ya hapo nikasema naomba kuongea na huyo mtu pembeni yako, mara sauti yake imebadilika ghafla, kama kapatwa na kigugumizi halafu hata maneno yakakosa mpangilio.

Then akakana , akasema hakuna mtu yeye yuko mwenyewe. Nikasema sawa, akakata simu ghafla, jambo ambalo siyo kawaida yake.

Sasa nimemtumia sms ya kumuaga na nimemuambia akitaka mimi na yeye tuendelee aje na majibu kamili, nje ya tukio la huyo aliye pembeni usiku huu, nina mafaili kama manne hivi ambayo ninayo ila niliyapotezea kwa vile nilivyokupenda.

Ila kwa hali ilipofika inabidi tuyafungue. Kwa sasa simu zimezimwa, najua kesho ataniamkia na abrakadabra zake ila kiendacho kwa mganga hakirudi
 
Mwanzoni umesema "leo tarehe 13 November 2023 majira ya saa 4 usiku nimevunja rasmi baada ya kujiridhisha pasipo na shaka kuwa yuko na mwanaume mwingine usiku huu."
Mwishoni umesema "Sasa nimemtumia sms ya kumuaga na nimemuambia akitaka mm na yeye tuendelee aje na majibu kamili,"

Wewe bado itakupa shida kuachana na huyo mtu.
 
Anataka huku hataki..🤣
 
Bro cjuii nianzie wapiii ila nikushaurii 2 kwa dunia ya sasa kupat girl ambaye wa peke yako ni vigumu sanaa kama una roho ngum bc mwambie kuanzia now naitaji tulee mtoto mahusiano na wew sihitajii ila kam huwezii bc vumilia 2 kak maan naelewa sis boys tunakuwa wajinga sana tukiamuwa kupenda tunapnda kwerii ila mwisho wa siku tunaambulia maumivu mimi ilishawah kunitokea ila skuzaa nae bro Acha kabisa ilinichukuwa muda kidogo ku give up lkn nilifanikiwa kutok kweny kifung hicho mpk now nikiingia kweny relationships najuwa huy girl muong huy yupo serious na mim... god bless you bro
 
Niamini mimi Mkuu, huna GUTS za kumuacha huyo mwanamke.

Imagine tu hapa una hasira za kutombewa, ila umempa nafasi ya kuja na majibu.

Ingelikuwa mimi, sms ya kumuaga ingekuwa 'KICHWA chako halali yangu. Nisikuone mwanaharamu wewe'.

Alafu baadae nikipoa, naachana naye kiroho safi.
 
Mambo zenu wananzengo,

Eee bana nilikuwa kwenye mahusiano na mdada mmoja kwa muda wa miaka minne ambayo leo tarehe 13 November 2023 majira ya saa 4 usiku nimevunja rasmi baada ya kujiridhisha pasipo na shaka kuwa yuko na mwanaume mwingine usiku huu. Ila kuna mambo nafikiria the best way to handle the case. Huyu mrembo nina story ndefu sana na yeye, muda hautotosha kuandika kila kitu hapa, ila nimehangaika naye kwa muda mrefu sana. Kama ni mapenzi basi aliuteka moyo wangu hadi tukazaa mtoto ambaye sasa ana miaka mitatu. Hata hivyo, kuna matukio au mambo ambayo yalikuwa yananipa red allert au warning, kuwa kuna kitu hakiko sawa. Kuna wakati nilimkalisha na kumuomba afunguke kwa usalama wetu kiafya, na pia kila mmoja awe huru kuliko kudanganyana. Yeye kagangamala hana mtu na hawezi kuwa na mtu zaidi yangu. Hadi nafikia kusema hivyo nilishaona kila dalili ila nilikuwa nakosa tu evidence. Basi waswahili husema muda ni mwalimu mzuri. Ukweli nimehangaika sana kwa ajili yake ila siku zote nilijihakikishia nafsini mwangu in case anything happen between us, nitachukulia kama vile nimetoa msaada hospitali au kwa wahitaji ili roho isiniume.

Sasa leo hapakuwa na umeme na simu ilikua haina chaji. Jioni umeme ulivyorudi nikaichaji nikawasha majira ya saa 4 nikakuta sms inayoonyesha alinitafuta. Nilipompigia, Kosa alilofanya akapokea kumbe yuko na kidume. inaonekana hawakupangana vyema kabla hajapokea simu, so ile anapokea huku jamaa anaongea na yeye anamwambia jamaa ngoja kwanza. Ghafla ile sauti ya kiume ikapotea. Nikajifanya sijasikia akaanza kunipa story flani nikasikilizaaaa, ni habari mbaya ya jambo lililompata dada mmoja ambaye alimfanyia connection hadi akapata kazi kwenye hiyo kampuni, na huyo dada ilibidi nifahamiane naye kipindi namhangaikia yeye apate hiyo kazi. Ile story niisikiliza hadi mwisho, nikaishia tu kutamka neno moja "poleni". Baada ya hapo nikasema naomba kuongea na huyo mtu pembeni yako, mara sauti yake imebadilika ghafla, kama kapatwa na kigugumizi alafu hata maneno yakakosa mpangilio. Then akakana , akasema hakuna mtu yeye yuko mwenyewe. Nikasema sawa, akakata simu ghafla, jambo ambalo siyo kawaida yake.

Sasa nimemtumia sms ya kumuaga na nimemuambia akitaka mimi na yeye tuendelee aje na majibu kamili, nje ya tukio la huyo aliye pembeni usiku huu, nina mafaili kama manne hivi ambayo ninayo ila niliyapotezea kwa vile nilivyokupenda. Ila kwa hali ilipofika inabidi tuyafungue. Kwa sasa simu zimezimwa, najua kesho ataniamkia na abrakadabra zake ila kiendacho kwa mganga hakirudi
pot unadate na malaya piga chini atakuletea magonjwa.Malaya hana mkole.
 
Miaka 4 yote bado mchumba? Ulishindwa nini kumuoa?
 
Najaribu kufuatilia huu uzi kwa umakini, lakini sina chochote cha kuchangia

20231021_151712.jpg
 
Back
Top Bottom