Nilimuamini Prof. Kabudi jana na nitamuamini kesho kwa uzalendo wake

Tafakari yetu

JF-Expert Member
Apr 19, 2021
1,502
4,408
Prof. Kabudi mtaalamu wa majadiliano kuwahi kutokea nchini akiongoza timu ya majadiliano kati ya Tanzania na kampuni ya Barrick juu ya mikataba ya madini na upigwaji Tanzania uliofanyiwa.

Ikafanywa tathmini kubwa na ya kina na kubaini kuwa kuna ukwepaji wa Kodi wa takribuni trilion 400 za kitanzania na kwa kiwango hicho kama angepewa kila mtanzania basi kila mtu angepata Noah mpya.

Kwa hakika ni kiwango kikubwa sana lakini Prof.Kabudi alikuja kukiri kwamba kutaja kiwango hicho ilikuwa ni mbinu ya majadiliano.

Yawezekana bila mbinu hiyo pasingekuwa na mabadiliko kwenye sheria ya madini kwa sababu hao mabepari wasingeona udanganyifu waliokuwa wanafanya.

Yawezekana bila mbinu hiyo tungeshtakiwa MIGA lakini hao mabepari wameshindwa kutushtaki kwa kuhofia tungedai fidia ya trilion 400.

Kupitia mbinu hiyo makubaliano na mkataba yakafanyika upya na Taifa kunufaika vya kutosha.

Twendeni mbele turudi nyuma Prof. kabudi ni akili kubwa mno, ni moja ya watu wenye mapenzi na uzalendo wa kweli kwa Taifa. Ni rasilimali adimu sana.

Ni wakati sasa Taifa tuzalishe wataalamu wengi wa majadiliano kama Prof.Kabudi ili waweke sawa masuala ya mikataba inayohusu unyonyaji huko mbeleni.
 
Uzalendo wake haujawahi kuwa na shaka. Kusema ukweli JPM alikuwa haogopi kufanya kazi na great minds kwakua alikuwa mmoja wao. Na ukimletea bla bla anaku challenge vizuri tu.

It's a shame kama taifa tunathamini zaidi wanasiasa wanaojua kuongea na kufanya siasa hata kama hawana tija.
 
One of the great people ninaowaheshimu mpaka leo katika serikali yetu ni prof paramagamba kabudi,prime minister na jafo but sijui kwanini mpaka leo wamekubali kunyamazishwa na ...............
 
Prof. Kabudi mtaalamu wa majadiliano kuwahi kutokea nchini akiongoza timu ya majadiliano kati ya Tanzania na kampuni ya Barrick juu ya mikataba ya madini na upigwaji Tanzania uliofanyiwa.

Ikafanywa tathmini kubwa na ya kina na kubaini kuwa kuna ukwepaji wa Kodi wa takribuni trilion 400 za kitanzania na kwa kiwango hicho kama angepewa kila mtanzania basi kila mtu angepata Noah mpya.

Kwa hakika ni kiwango kikubwa sana lakini Prof.Kabudi alikuja kukiri kwamba kutaja kiwango hicho ilikuwa ni mbinu ya majadiliano.

Yawezekana bila mbinu hiyo pasingekuwa na mabadiliko kwenye sheria ya madini kwa sababu hao mabepari wasingeona udanganyifu waliokuwa wanafanya.

Yawezekana bila mbinu hiyo tungeshtakiwa MIGA lakini hao mabepari wameshindwa kutushtaki kwa kuhofia tungedai fidia ya trilion 400.

Kupitia mbinu hiyo makubaliano na mkataba yakafanyika upya na Taifa kunufaika vya kutosha.

Twendeni mbele turudi nyuma Prof. kabudi ni akili kubwa mno, ni moja ya watu wenye mapenzi na uzalendo wa kweli kwa Taifa. Ni rasilimali adimu sana.

Ni wakati sasa Taifa tuzalishe wataalamu wengi wa majadiliano kama Prof.Kabudi ili waweke sawa masuala ya mikataba inayohusu unyonyaji huko mbeleni.
Yule Kabudi huenda ni miongoni mwa maprofesa wajinga na wapumbavu zaidi kuwahi kutokea katika taifa hili. Aliamua kumpotosha Magu na kuwapotosha watanzania ili kulinda tumbo lake. Ni mtu mwenye njaa tupu.
 
Prof. Kabudi mtaalamu wa majadiliano kuwahi kutokea nchini akiongoza timu ya majadiliano kati ya Tanzania na kampuni ya Barrick juu ya mikataba ya madini na upigwaji Tanzania uliofanyiwa.

Ikafanywa tathmini kubwa na ya kina na kubaini kuwa kuna ukwepaji wa Kodi wa takribuni trilion 400 za kitanzania na kwa kiwango hicho kama angepewa kila mtanzania basi kila mtu angepata Noah mpya.

Kwa hakika ni kiwango kikubwa sana lakini Prof.Kabudi alikuja kukiri kwamba kutaja kiwango hicho ilikuwa ni mbinu ya majadiliano.

Yawezekana bila mbinu hiyo pasingekuwa na mabadiliko kwenye sheria ya madini kwa sababu hao mabepari wasingeona udanganyifu waliokuwa wanafanya.

Yawezekana bila mbinu hiyo tungeshtakiwa MIGA lakini hao mabepari wameshindwa kutushtaki kwa kuhofia tungedai fidia ya trilion 400.

Kupitia mbinu hiyo makubaliano na mkataba yakafanyika upya na Taifa kunufaika vya kutosha.

Twendeni mbele turudi nyuma Prof. kabudi ni akili kubwa mno, ni moja ya watu wenye mapenzi na uzalendo wa kweli kwa Taifa. Ni rasilimali adimu sana.

Ni wakati sasa Taifa tuzalishe wataalamu wengi wa majadiliano kama Prof.Kabudi ili waweke sawa masuala ya mikataba inayohusu unyonyaji huko mbeleni.
Mleta mada wewe ndio kabudi
 
Orodha ya Maprofesa ambao wanaongoza kwa kuendekeza ujinga na kupalilia upumbavu ni hawa.

1. Profesa Paramagamba Kabudi
2. Profesa Lipumba
3. Profesa Uforo
 
Hii nchi shida kubwa ni wananchi na wala sio viongozi wapiga deal. Na mawazo yao utayaona hapa hapa wanapigwa halafu wanawasifia wanaowapiga kuwa akili kubwa
 
Prof. Kabudi mtaalamu wa majadiliano kuwahi kutokea nchini akiongoza timu ya majadiliano kati ya Tanzania na kampuni ya Barrick juu ya mikataba ya madini na upigwaji Tanzania uliofanyiwa.

Ikafanywa tathmini kubwa na ya kina na kubaini kuwa kuna ukwepaji wa Kodi wa takribuni trilion 400 za kitanzania na kwa kiwango hicho kama angepewa kila mtanzania basi kila mtu angepata Noah mpya.

Kwa hakika ni kiwango kikubwa sana lakini Prof.Kabudi alikuja kukiri kwamba kutaja kiwango hicho ilikuwa ni mbinu ya majadiliano.

Yawezekana bila mbinu hiyo pasingekuwa na mabadiliko kwenye sheria ya madini kwa sababu hao mabepari wasingeona udanganyifu waliokuwa wanafanya.

Yawezekana bila mbinu hiyo tungeshtakiwa MIGA lakini hao mabepari wameshindwa kutushtaki kwa kuhofia tungedai fidia ya trilion 400.

Kupitia mbinu hiyo makubaliano na mkataba yakafanyika upya na Taifa kunufaika vya kutosha.

Twendeni mbele turudi nyuma Prof. kabudi ni akili kubwa mno, ni moja ya watu wenye mapenzi na uzalendo wa kweli kwa Taifa. Ni rasilimali adimu sana.

Ni wakati sasa Taifa tuzalishe wataalamu wengi wa majadiliano kama Prof.Kabudi ili waweke sawa masuala ya mikataba inayohusu unyonyaji huko mbeleni.
Kabudi yupi! Niyule wa majalalani au ni yule aliyemfananisha mwendazake na Mungu!
 
images.jpeg
 
Back
Top Bottom