- Thread starter
- #41
Mkuu hata mie nilikuwa namlipia hadi ada ya hapo chuo percent fulani coz nilijua ni mke mtarajiwa. Huyu nimemmwaga mwaaaa!!Mkuu, achana nae mabinti ni wajinga na hawana shukrani kabisa, same to me kuna demu namgharamia yupo Chuo nimemnunulia kitu ikiwemo laptop kali, simu na huwa namfanyia Shopping pamoja na Pocket Money huwa nampa lakini within two months amechange ile mbaya simu kaweka password kiburi kisicho na ugomvi usio na reason nilichofanya ni kunyamaza kimya kila analofanya namuangalia tu mpaka atachoka mwenyewe na kusepa na nimeshaanza kuterminate baadhi ya huduma......tupa kule chukua ngoma nyingine kama tayari ameshatembea na jamaa mwingine yeye ni wa nini?