Nilikuona Mirembe

Mie ni mpishi hapa Mirembe, nadhani hujapona...

Aaaaawapi mimi ni BABA YAKE MZAZI ivi hapa tupo Ubungo Temnory tume mfunga KAMBA tunangoja BUS LA SHABIBIY tunamtia kwenye BOOT Mumpokee huko tuna mludisha MILIMBE sasa ivi ndio KIMEPANDA HASWA HAFAI kuishi na BINADAM YEYOTE hapa mjini
 
kweli kabisa, mimi ni daktari wa vichaa pale milembe, nakumbuka ulishaletwa pale 2kakuadmitt, vp lakini hali yako? Unaendeleaje?

unaulizia hali yake wakati unaona hata uzi wake unaonesha bado ni kichaa kabisa...!!
 
Aaaaawapi mimi ni BABA YAKE
MZAZI ivi hapa tupo Ubungo Temnory tume mfunga KAMBA tunangoja BUS LA
SHABIBIY tunamtia kwenye BOOT Mumpokee huko tuna mludisha MILIMBE sasa
ivi ndio KIMEPANDA HASWA HAFAI kuishi na BINADAM YEYOTE hapa
mjini

Milimbe au Milembe, aiseee bado haujapona ndugu yangu 2takurudisha tena.
 
Yani vichaa wameongezeka sana ona sasa vichaa mmekuja ku support kichaa mwenzenu haya we kichaa mkubwa embu rudisha hyo laptop ya doctor
 
Wewe unaesoma thread hii sura yako siyo ngeni machoni mwangu, ni wazi nilikuona mirembe

HUjakosea!!! nilikuja pale kufanya research ya waathirika wa ukimwi, na waliofanyiwa ngono kinyume na maumbile tangu wadogo ... vp hali yako? maana walikulalamikia kuwa wewe bado unataka kufanyiwa kale ka mchezo na vichaa wenzio......
 
Back
Top Bottom