Wewe unaesoma thread hii sura yako siyo ngeni machoni mwangu, ni wazi nilikuona mirembe
kweli kabisa, mimi ni daktari wa vichaa pale milembe, nakumbuka ulishaletwa pale 2kakuadmitt, vp lakini hali yako? Unaendeleaje?

Nilikuwa nafanya sensa ya vichaa pale milembe, na kwakweli wewe ulitusumbua sana.

mirembe hatujahesabiwa maana hapa wote ni akina Ponda
Mimi nilikuja kufanya utafifi pale,nakukumbuka vizuri wewe ndiye ulikuwa ujifanya G.P.O
sasa waendeleaje kiafya?
Aah kumbe ni kweli ulikuwa ni wewe eeh, kumbe sijakosea
Wewe unaesoma thread hii sura yako siyo ngeni machoni mwangu, ni wazi nilikuona mirembe
Upo Dom mkuu!Me huwa naenda kutizama vituko tu...sio kila unaemuona mirembe ni mwehu @
Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
Kwani ni lazima na wewe upost? Sasa kinachekesha nini hap?