Niliingiza pesa December na January almost 1M na shilingi kazaa

Point of No Return 19

Senior Member
Jul 2, 2023
194
454
Nafanya business online, huu mwaka wa 2

Toka nimeanza kufanya haya mtokeo makubwa na mazuri niliyapata kwa Mara ya kwanza,

Ndani ya miezi 2 yaani December na January niliweza kupata 1M na shilingi Kazaa

TOA matumizi, bills, chakula n.k ndani ya hiyo miezi 2 nililipa na rent pia 120k ya miezi 3

Mwisho wa siku baada ya matumizi hayo yote, nikajikuta nina pesa cash 1M na shilingi Kazaa

Ilipoingia February aloo Mambo yalikuwa magumu, sikupata mteja mwezi mzima.

Vivyo hivyo mwezi March hakuna mteja nimepata

Napost KILASIKU Hadi Sasa naona natumia bando la bureeee

HONGERENI MLIO AJIRIWAAAA BIASHARA INA TU MAMBO MAMBO SANA. 😁😁😁😁
 
Kwangu pia mwezi wa pili na wa Kwanza dah ni shida. Namuomba Mungu hii March iwe nzuri.
 
Nafanya business online,huu mwaka wa 2

Toka nimeanza kufanya haya mtokeo makubwa na mazuri niliyapata kwa Mara ya kwanza,

Ndani ya miezi 2 yaani December na January niliweza kupata 1M na shilingi Kazaa

TOA matumizi,bills,chakula n.k ndani ya hiyo miezi 2 nililipa na rent pia 120k ya miezi 3

Mwisho wa siku baada ya matumizi hayo yote, nikajikuta nina pesa cash 1M na shilingi Kazaa

Ilipoingia February aloo Mambo yalikua magumu, sikupata mteja mwezi mzima,

Vivyo hivyo mwezi March hakuna mteja nimepata

Napost KILASIKU Hadi Sasa naona natumia bando la bureeee

HONGERENI MLIO AJIRIWAAAA BIASHARA INA TU MAMBO MAMBO SANA.
Ilipoingia February aloo Mambo yalikua magumu, sikupata mteja mwezi mzima,

Vivyo hivyo mwezi March hakuna mteja nimepata

Kwenye biashara kuna kupata na kukosa
 
Back
Top Bottom