KEFA PATSON
Member
- Sep 9, 2014
- 30
- 0
1)Nimesikia kwamba ukipata asilimia 0% maana yake eti tuition fee hupati hata senti tano ila boom unapata.
2)Pia nimesikia ukikosa mkopo mwaka wa kwanza unaweza ukaomba mwaka unaofuata na ukapata bila ya kujali sababu zilizokufanya ukose mwaka uliopita.
3)Nimesikia pia ili kupata mkopo moja ya vigezo nikwamba usiwe umekaa mtaani muda uliozidi miaka mitatu.
4)Mwisho kabisa nimesikia kuna watu walipata mkopo pamoja na kukaa muda wa zaidi ya miaka tisa mtaani,
Naombeni ufafanuzi juu ya haya wana JF natanguliza shukran.