Nilichomshauri DK WILBROAD SLAA nilipokutana nae

mkuu, tayari bw kiravu kasema kwamba daftari litaboreshwa kabla ya kuanza mchakato wa kura za maoni ya katiba mpya (au ukipenda sema katiba ya serikali 3). so usiwe na wasiwasi mwaka 2015 magamba watapigwa mweleka.
 
Hawaamiki hao,maana wamekuwa wakilalamika kutokuwa na fedha za kufanya hivyo. Na pesa mpaka itolewe na serikali ya CCM. CDM kama chama kikuu cha upinzani walitakiwa washinikize hili lifanyike haraka iwezekanavyo ikiwa ni pamoja na kutoshiriki chaguzi zozote kuanzia huu wa Kalenga. Jambo hili lina athari moja kwa moja.
 
Mkuu endelea kumshauri babu madudu na utegemee pengine atakukubalia.
Akikubali imekula kwake anyway.

Swali la kujiuliza kwako, kama una akili ya kuchambua maswala, ni kwamba, kama CHADEMA wamekuwa popular na chopa kutengeneza inroads kwa uanachama watu waliokuwa CCM, Walioandikisha hiyo 2009 wako wapi?

Msijipe sababu ambazo na nyie wenyewe mnajua hazina mashiko.
Chances are hata daftari likiboreshwa kesho, wananchi wengi zaidi watachagua CCM, maana zaidi ya kulalama na polisi na maandamano, CDM haina mchango wowote kimawazo jinsi ya kuliendeleza ztaifa hili.

Msifikiri wTanzania ni wajinga, they know where their hearts lie.

Na kama ni wewe ulimshauri juu ya kukodi chopa tatu, matokeo yake mmeshayaona.
ni kweli lakini ! ua unaongea tu wabunge wa CCM ni mizigo kwelikweli sijapata ona!tunawashukuru wachache wa upinzani hasa CDM wanatuwakilisha nina hakika kesi nyingi za kusimamisha chaguzi zitaanza kufunguliwa kama daftari halita boreshwa nina hakika
 
Tume huru ya uchaguzi, isiyo wajibika kwa upande mmoja wa chama miongoni mwa vyama vilivyo kwenye kinyang'anyiro ktk uchaguzi ni muhimu. Hata daftari likiboreshwa, tume inaweza kutangaza kinyume cha wapiga kura walivyo amua.
 
Kama wewe ni mwanampira wa miguu, enzi za ManU ya Mzee Fagason dakika zote za nyongeza hasa baada ya dakika 90 za kawaida zilikuwa za ManU kutafuta ushindi au kusawazisha kama wamefungwa !

CHADEMA nao wakijitokeza wapiga kura wachache au kama daftari la wapigakura lisipoboreshwa wale waliojitokeza kupiga kura wote wanaipa ushindi CCM! What a lame excuse! Wakishinda, kama kule AruMeru na madiwani wa Arusha hili hatulisikii.Tutayasikia haya hadi lini?
Hizi excuse za timu zinaingia uwanjani kucheza mpira moja ikishindwa inasingizia uwanja ulikuwa na matope ooh sijui ulikuwa ma mabonde kwani wapinzani wao waliwatoa wakaenda kuwafungia kwenye uwanja mwingine? Tufike mhali ukishindwa ukubali mwenzako kakuzidi ujanja tuache visingizio. Kwani hilo daftari la wapiga kura ni la CCM au Chadema peke yao?
 
CHADEMA imeshindwa vibaya KALENGA,tunamsubiri Dr Slaa atupe sababu za kushindwa kwetu. Mimi nilishayatabiri haya yaliyotokea. Na nitaendelea kusema, ni NDOTO kwa CHADEMA kushinda katika mazingira haya ya sasa.
 
slaa ni rais wangu wewe ni nkondo.
 
Tume huru ya uchaguzi, isiyo wajibika kwa upande mmoja wa chama miongoni mwa vyama vilivyo kwenye kinyang'anyiro ktk uchaguzi ni muhimu. Hata daftari likiboreshwa, tume inaweza kutangaza kinyume cha wapiga kura walivyo amua.

Anayeibeza Chadema ana matatizo ya akili. Kimsingi kila kata ilitakiwa iwe na ofisi ya NEC (Kuandikisha wapigakura wapya )
Lakini kwa woga wa ccm hawakufanya hivyo daima. Chadema inacheza na team ambayo referee ndiye Manager wa team pinzani.
 
Chadema hawakulearn mistake waloifanya CCM kwenye uchaguzi wa Ubunge jimbo la iringa mjin walimtoa mwakalebela wakamweka Mama Mbega wakashindwa. Now Chadema wamemtoa mzawa wa hapa kalenga aitwa Sinkala wakamweka Grace hatimaye jimbo kajichukulia mgimwa jr
 
Nyie acheni unafiki hamkubaliki .wananchi bado wanaikubali CCM kwa nguvu zote; kampeni za Kalenga zimeonyesha wazi; Chadema imepoteza mvuto; tafuteni kiini cha matatizo yenu acheni visingizio vya kitoto daftari hata likitoka mbinguni mtalalama tu. CCM hoyeeeeeeee!!
 
R. I. P. Chadema mtei Kamanda mawazo yuko wapi. Cdm in as Honda sehemu ambazo wanywa viroba wako wengi
 
Anayeibeza Chadema ana matatizo ya akili. Kimsingi kila kata ilitakiwa iwe na ofisi ya NEC (Kuandikisha wapigakura wapya )
Lakini kwa woga wa ccm hawakufanya hivyo daima. Chadema inacheza na team ambayo referee ndiye Manager wa team pinzani.
Mallya ni jina la kutoka Kilimanjaro eeeeh????
 
Mama mama mamaaa ... "mfalme hajafaa nguo", quote from Kipindi cha Mama na Mwana RTD Saa Nane Mchana!
 
Back
Top Bottom