Uchaguzi 2020 Nilichokiona hapa Korogwe kwenye mapokezi ya Magufuli, aaah huyu mtu anapendwa sana

Ukiwalinganisha wanaotaka urais, baadhi wanaopata kushabikiwa hadi unaona huruma. Hivi kweli akili ya Lissu inaweza kuongoza nchi na ukaamini nchi itaendelea! Tutajikuta kila siku rais akitunga sheria.
Wa Sasa kila siku anavunja Sheria.
 
Ukiwalinganisha wanaotaka urais, baadhi wanaopata kushabikiwa hadi unaona huruma. Hivi kweli akili ya Lissu inaweza kuongoza nchi na ukaamini nchi itaendelea! Tutajikuta kila siku rais akitunga sheria.
Kama no mzalendo halisi ,jibu ndio,Ila Kama maslahi,unaweza kosa jibu.
 
Asilimia kubwa sio wakazi wa hapo,wengi wameletwa kutoka magoma,kwashemshi,mombo na vijiji vya karibu kwa ufupi mikutano ya CCM ni ya kutengeneza sio halisi hili lipo wazi na nimelishudia
Sasa wapinzan I wanashindwaje kutengeneza Kama kweli wenzao wanatengeneza?
 
Ukiwalinganisha wanaotaka urais, baadhi wanaopata kushabikiwa hadi unaona huruma. Hivi kweli akili ya Lissu inaweza kuongoza nchi na ukaamini nchi itaendelea! Tutajikuta kila siku rais akitunga sheria.

Inasikitisha sana baadhi ya mijitu! Haitambui kuwa kuna sheria zinakanyagwa lakini inakataa inayemsema ni mtunga sheria. Unathibitisha kuwa sheria za sasa hazifai!

Mimi ninapenda Magufuli ashinde hii miaka mitano ili mijitu kama wewe ipate kuona rangi zote. Halafu urejee hapa 2025 useme CCM iendelee kushinda! Ubaki ulivokuwa 2015 ifikapo 2025. Ila umri na uzee tu viongezeke!!
 
Maombi yako yamepata kibali machoni pake
 
Ndiyo demokrasia ya kweli we kenge,sa hiyo ya wote wapende saccos ndo uite democrasia?
Hahaha demokrasia iwepo ccm?!

Mbona itakuwa muujiza.

Ukikuta kijana yuko huko ccm, jua libaba lake ni jambazi la ccm,hivyo kutetea na kulinda wizi wa baba au mama yake.
 
Wanashangaa Rais wa wanyonge anayetumia msafara wa magari 100 aliyoyanunua kwa pesa ya vitambulisho vya Machinga.
Mbowe pamoja na ruzuku, michango ya wabunge,pesa ya mifuko ya majimbo hata ofisi ya makao makuu hana. Mmekuwa misukule ya chama cha mfukoni cha mwenyekiti wenu, ngojeni mkamuliwe mkija stuka hata damu zimewaishia. Magufuli tano tena.
 
Inamaana wewe una akili sana kuliko MwanaFa, Dai, King Kiba, Harmonizer, Jokate, Katambi n.k?
Yani unavyodhani mimi ni mtoto mwenzio, hao uliowataja mimi na maliza chuo ndio labda wanazaliwa.

Usinilinganishe na hizo taka ngumu.
 
Wakuu,

Niko hapa Korogwe ambapo Kesho tutakuwa na kampeni ya mkoa kwa mgombea wa CCM ndugu Magufuli.

Wananchi wamejitokeza kwa wingi sana kumsalimia barabarani. Watu ni wengi mno. Nimeamini kuwa kiongozi anayeshughulika na matatizo ya watu, atapendwa na kuheshimiwa.

Hongera sana Magufuli na karibu Tanga

Amani
Huu mwaka CCM kupitia kile kijamaa kinaitwa Polepole sijui , mmeamua kuongea ukweli toka mioyoni kwa kukubali kuwa nyie hampo kwa ajili ya wananchi maskini. Kamwe hamjawahi kuwa. Zaidi ni kwamba mnastahili kuondoka madarani. Mmekula mmevimbiwa, hamna UTU. Hadharani mnawatweza walalahoi walipakodi mnazofuja!
 
Wakuu,

Niko hapa Korogwe ambapo Kesho tutakuwa na kampeni ya mkoa kwa mgombea wa CCM ndugu Magufuli...
Mwanzoni nilijua propaganda ccm kubeba watu kwenda mikutanoni lakini leo nimeshuhudia live coasta zikikusanya watu kuwapeleka bagamoyo saa 11 asbh nimeshangaa sana ,usafiri ulikua shida mailimoja sababu coaster nyingi zimepeleka watu bagamoyo
 
Back
Top Bottom