Niliacha kwenda kanisani miaka 5 baada ya Nabii kumpa mdogo wangu mimba

Hadith yako umekop sehem but inafundsha tambua Kuna siri nyingi tu za hao MANABII lakin raia wanaogopa kuzisema wasije pata laana kwa kua ni watumishi wa MUNGU.
aikopy ili iweje ? halafu mbona unamtisha ? yaani umwambie ukweli binadam mwenzako upate laana , ahaa wapi
 
Midude mingine bwana, ushukuru sijui umri wako au jinsia yako ningekutusi. Kwaniñi usipite kimya kimya kabla ya kukurupuka kukomenti. Jinga sana, lete hiyo hadithi hapa jukwaani kila mtu aisome na aifananishe na hii na sio kuropoka.
SAMAHAN BROTHER KAMA NIMEKUKERA
 
yaelekea ndugu, ulimwamini Mtumishi, kuliko Bwana Yesu.
Yakupasa ujue, kwamba Hakuna mwanadamu, mkamilifu ila Mkamilifu ni Mungu.Hivyo kumtegemea Mwanadamu, ni ubatili. Kitabu cha Yeremia 17:5
amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu.

Mwisho:
usidhani kuzira kwenda kanisani umemziria Nabii wako. Bali umemziria Mungu wako.
Hamka na badilika, mtafute Yesu na umtegemee yeye na sio watumishi.
Watumishi wasikilize na uwape heshima yao, ila usiwageuze Mungu wako.
Ukifanya hivyo mambo kama haya yakitokea huta changanyikiwa maana hamta ingia mbinguni pamoja na mchungaji wako.

Ila kila mmoja atavuna alichokipanda. Usishangae mchungaji akaingia motoni, na alikua akimtumikia Mungu.
Mbinguni hatuingii kwa kutumika madhabahuni bali tunaingia kwa kuwa watakatifu.
 
Nyie watu mnaowatetea hao manabii wenu kumbe kweli hamsomi biblia aseee, hivi ww katika zama hizi za mwisho mnawaamini hao wahuni wanaojitangaza kwamba ni manabiii yaaani aseee mnanisikitisha sana kwakweli.....hawana cha unabii hao Bali ni black magic na uchawi ukiwemo wanauficha kwa kutumia biblle
 
Beats me how a son could beat a MOTHER into detecting pregnancy alerts.

Inaweza kuwa story ama kweli, either way, hawa watu wanajivika unabii na mengine kama hayo wana uwezo wa kufanya haya na mengine ya aibu zaidi.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Wewe ni mnafiki huna lolote na wala sio mkristo maana ukristo ni kusema ukweli maada umeleta jf tuchangi harafu unataka uniambie kwa kificho maana wote tunataka tumuogope huyo nabii njaa
Mnafiki ni wewe, tena yawezekana wew ni miongoni mnaotapeli watu. Kwani wewe unataka jina la nini? . Wewe umesoma pita sio lazima ukomenti
 
Ungetutajia jina la huyo nabii na jina la mdogo wako aliyepewa mimba la sivyo unania ya kuchafua ukristo kumbe wala wewe sio mkristo
Simanyane, mtoa uzi ameshakwambia huyo nabii anatangaza Channel Ten. Hiyo wazungu wanasema ni 'clue' au 'hint' sasa kazi kwako kumtafuta huyo Nabii marufu sana hapa Dar Es Salaam anayetangaza kupitia hiyo Channel Ten.
 
Mnafiki ni wewe, tena yawezekana wew ni miongoni mnaotapeli watu. Kwani wewe unataka jina la nini? lijinga kweli, Sijui ni litoto hili au linabii tapeli, Sijui lichawi, Sijui lijambazi hata silielewi. Wewe umesoma pita sio lazima ukomenti kubwa jinga.

Kaka wanaume hatupo hivyo ata Kama kejeli ni nyingi kwenye Uzi wako hupaswi kutukana hivyo Kama wa kike, mwanaume ni moyo na ujasili,
Kwa kukurupuka huko ndo maana ata bi mkubwa wako alikua akupuhuza mawazo yako.
 
Kaka wanaume hatupo hivyo ata Kama kejeli ni nyingi kwenye Uzi wako hupaswi kutukana hivyo Kama wa kike, mwanaume ni moyo na ujasili,
Kwa kukurupuka huko ndo maana ata bi mkubwa wako alikua akupuhuza mawazo yako.
Mkuu kuna watu wajinga, nimetoa maelezo yakutosha, nimesema nabii anajitangaza kupitia chanel ten, kikubwa naye afanye uchunguzi wake amjue. Sio nitoa kila kitu hapa.
 
nenda kwenye nyumba ya ibada kusikiliza kitakachofundishwa na kusali na Mungu wako LAKINI ukifuatilia maisha ya hawa watu wanaotuongoza unaweza ukaishia kusalia nyumbani tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom