Niko kwenye Jeshi la akiba la wanajeshi wa Tanzania, Utaninyimaje haki ya uraia EX-POLICE wako?

Sahau Uraia wa nchi uliyo isaliti na kuikana. Eti sasa ndo unajiita mzalendo. Mnafiki na Mzandiki kabisa wewe. Tuna mambo mengi ya kufanya sio kuwafikiria wasaliti kama wewe.
Pumbavu sana!!! Acha kuropoka km umelogwa na ujinga wa CCM. Angalia kiwango Cha 'remittances' ambazo TZ Diaspora inaleta nyumbani kila mwaka, idadi ya ndugu na jamaa wanaosaidiwa na diaspora, assets zinazowekezwa nyumbani nk...
 
Tuwaamini vipi nyie mlioikana nchi yenu kisa mishahara midogo? je wakulima pia wakiukana utanzania kisa bei duni ya mazao yao kutakua na nchi? njooni tu kama watalii kutusalimia
Mazao ya wakulima yanauzwa kwa magendo na viongozi uchwara!! Wezi wakubwa wenye akaunti nje ya nchi!!!
 
Pole sana muyagu.

Hivi wewe unajiona unasifa za kupigana katika jeshi la Tanzania leo!. Nani atakuamini hadi akuite kwenda front? Sifa hizo ulishapoteza mda mrefu lukosi. Na sas jeshi letu liko ki vingine hata halikuhitji.

Unaweze kweli kuhoji kwamba wanaokubeza wamelifanyia nini taifa? Ni kweli unahitaji kufahamu kwa sababu huna unalolifahamu kuhusu Tanzania. Wewe unadhani kuishi ughaibuni ni kuongeza thamani yako kwa taifa . You are wrong. Kwa hapa uko sawa na mzururaji barabarani ambaye vijana wa Mangu wanakusanya kwenye karandinga na kupeleka segerea.

Ni usishangae watu wengi wanakujibu negatively kwa sababu hata michango yako inaonekana huna unachokifahamu. Na leo niemfahamu ni kwa nini. Kumbe ulikuwa polisi na ukaona huna pa kufit uka amua kulianzisha! Na hata sasa huna pa kufit na ndiyo sababu klaw wakati unaleta pumba tu mtandaoni.

Na ukirudi hapa, huna sifa ya kuwa dc, afisa tawala, pilot wala afisa maendeleo ya jamii kwa sababu hakuna unachojua. Laini pia unaweza kuwa mlinzi kwenye makampuni ya ulinzi.

Ndugu zanguni,

Leo nimeamka asubuhi na kuangalia kwa makini cheti changu cha kuhitimu ma funzo ya upolisi nilichokipata mwaka 1991 kule CCP moshi.

Katka mafunzo yote, mimi pia nilipitia field craft (mafunzo ya kivita) ambapo nilipewa ujuzi wa kuweza kupambana nikiwa mstari wa mbele hata pale risasi zikiniishia nilifundishwa namna ya kupambana nikiwa na singe tu. Pia nilijifunza kutumia silaha zote zilizokuwepo wakati huo kwenye majeshi ya Tanzania, kuanzia SAR, UZI, SMG(AK47), LMG, RPG, mpaka mizinga mikubwa kama recoiless na ile ivutwayo na magari.

Baada ya kumaliza mafunzo tulikula kiapo cha utii na uaminifu kwa wanajeshi wa Tanzania. Ambapo katika hicho kiapo tunaapa kuwa watiifu kwa amiri jeshi mkuu na kuilinda nchi yetu wakati wote na mahala popote wakati wote wa uhai wetu. Kwa kula kiapo hicho ina maana hata kama nimeacha kazi au nimestaafu, ikitokea dharura nitaitwa mara moja kazini...

Hii ni kuwajulisha tu kuwa kama Malawi au Rwanda wakileta za kuleta basi mimi nitakuwa mmoja kati ya wanajeshi wengi tu ambao wako reserve tutakaokwenda kuripoti mara moja kwenye kambi yoyote ya jeshi la wananchi iliyokaribu nami na kukabidhiwa Bunduki yangu, kombati, kibuyu cha maji na begi lililojaa basic needs za mwanajeshi akiwa front line.

Sasa leo unasikia watu wanatukejeli sisi Diaspora kuwa hatuna sababu ya kupewa haki ya uraia wakati wao hata hawajawahi kulifanyia lolote tafa lao zaidi ya kulihujumu kila kukicha.

Ningependa kuwauliza wale wote wanaotubeza na kutulaumu kwa nini tulichukua uraia mwingine, Mimi wakati niko bongo baada ya kuacha kazi jeshi la polisi ambalo lilikuwa linalipa mshahara duni miaka hiyo mlitaka nifanye kazi gani? Nilijaribu kutafuta kazi kila sehemu nikawa sipati kwa sababu sikuwa na ujuzi mwingine zaidi ya ujuzi wa kutumia silaha kali. Na kazi ambayo ningeweza kupata ilikuwa ni ulinzi tu kazi ambayo hata siku moja nisingeweza kuifanya, huwezi kutoka polisi ukaenda kuwa korokoroni hiyo ni kujidhalilisha.

KWA HIYO MLITAKA UJUZI WA KUBEBA BUNDUKI NIUTUMIE KWENYE UJAMBAZI AU?

Ni wakati sasa mtusikilize..

https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=-KQ4zoyitWo#t=0

_44511344_d27792fe-178d-4b7b-98c4-b1c9d34c88f0.jpg
 
Hicho kiapo kilikufa the minute you forsaked your citizenship. Uliukataa uraia wa tanzania sasa wewe si raia. Hatuna system ya dual citizenship so you are not a citizen of TZ period. Huwezi kutumikia mabwana wawili.
Ndugu zanguni,

Leo nimeamka asubuhi na kuangalia kwa makini cheti changu cha kuhitimu mafunzo ya upolisi nilichokipata mwaka 1991 kule CCP moshi.

Katka mafunzo yote, mimi pia nilipitia field craft (mafunzo ya kivita) ambapo nilipewa ujuzi wa kuweza kupambana nikiwa mstari wa mbele hata pale risasi zikiniishia nilifundishwa namna ya kupambana nikiwa na singe tu. Pia nilijifunza kutumia silaha zote zilizokuwepo wakati huo kwenye majeshi ya Tanzania, kuanzia SAR, UZI, SMG(AK47), LMG, RPG, mpaka mizinga mikubwa kama recoiless na ile ivutwayo na magari.

Baada ya kumaliza mafunzo tulikula kiapo cha utii na uaminifu kwa wanajeshi wa Tanzania. Ambapo katika hicho kiapo tunaapa kuwa watiifu kwa amiri jeshi mkuu na kuilinda nchi yetu wakati wote na mahala popote wakati wote wa uhai wetu. Kwa kula kiapo hicho ina maana hata kama nimeacha kazi au nimestaafu, ikitokea dharura nitaitwa mara moja kazini...

Hii ni kuwajulisha tu kuwa kama Malawi au Rwanda wakileta za kuleta basi mimi nitakuwa mmoja kati ya wanajeshi wengi tu ambao wako reserve tutakaokwenda kuripoti mara moja kwenye kambi yoyote ya jeshi la wananchi iliyokaribu nami na kukabidhiwa Bunduki yangu, kombati, kibuyu cha maji na begi lililojaa basic needs za mwanajeshi akiwa front line.

Sasa leo unasikia watu wanatukejeli sisi Diaspora kuwa hatuna sababu ya kupewa haki ya uraia wakati wao hata hawajawahi kulifanyia lolote tafa lao zaidi ya kulihujumu kila kukicha.

Ningependa kuwauliza wale wote wanaotubeza na kutulaumu kwa nini tulichukua uraia mwingine, Mimi wakati niko bongo baada ya kuacha kazi jeshi la polisi ambalo lilikuwa linalipa mshahara duni miaka hiyo mlitaka nifanye kazi gani? Nilijaribu kutafuta kazi kila sehemu nikawa sipati kwa sababu sikuwa na ujuzi mwingine zaidi ya ujuzi wa kutumia silaha kali. Na kazi ambayo ningeweza kupata ilikuwa ni ulinzi tu kazi ambayo hata siku moja nisingeweza kuifanya, huwezi kutoka polisi ukaenda kuwa korokoroni hiyo ni kujidhalilisha.

KWA HIYO MLITAKA UJUZI WA KUBEBA BUNDUKI NIUTUMIE KWENYE UJAMBAZI AU?

Ni wakati sasa mtusikilize..

https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=-KQ4zoyitWo#t=0

_44511344_d27792fe-178d-4b7b-98c4-b1c9d34c88f0.jpg
 
Hakuna uraia pacha nchi hii,mfano wako hata hauendani kabisa,kwanza kuukana uraia wako na kuchukua uraia mwingine usha dhiirisha kuwa wewe sio mzalendo,na pili bola hata usinge sema ulikuwa askari maana askari anafundishwa uzalendo sasa wewe ni mzalendo wa aina gani ambaye umekana uraia wako?hatutaki raia wa dizaini hii nchi hii,na hii ni kwa kuzuia uraia pacha,kama uliukana uraia wako leo mnautaka wa nini,kuukana uraia ni sawa na kuwakana wazazi wako.
 
Lukosi bora umeniongezea hoja ya kuukataa uraia pacha,sisi walimu kila siku tunalia na serikali mishahara duni hatusikilizwi,wewe ni mwanaCCM na ndiyo wenye dola,je ni lini umetutetea hata walimu kwa chama chako?Ninaidai serikali deni la tangu 2011 hadi leo sijui hatma ya kulipwa haki yangu.Licha ya changamoto zote hzo sijaikimbia nchi bali napambana nayo kuhakikisha nabadilisha kwakuuondoa utawala mbovu wa CCM.Sasa wewe uliikimbia nchi halafu unajiita mzalendo!Mzalendo gani uliyesomeshwa na kulishwa na serikali CCP MOSHI halafu ukaishia kukimbia badala ya kuitumikia nchi yako?Endeleeni kufia ughaibuni.
 
Ndugu zanguni,

Leo nimeamka asubuhi na kuangalia kwa makini cheti changu cha kuhitimu mafunzo ya upolisi nilichokipata mwaka 1991 kule CCP moshi.

Katka mafunzo yote, mimi pia nilipitia field craft (mafunzo ya kivita) ambapo nilipewa ujuzi wa kuweza kupambana nikiwa mstari wa mbele hata pale risasi zikiniishia nilifundishwa namna ya kupambana nikiwa na singe tu. Pia nilijifunza kutumia silaha zote zilizokuwepo wakati huo kwenye majeshi ya Tanzania, kuanzia SAR, UZI, SMG(AK47), LMG, RPG, mpaka mizinga mikubwa kama recoiless na ile ivutwayo na magari.

Baada ya kumaliza mafunzo tulikula kiapo cha utii na uaminifu kwa wanajeshi wa Tanzania. Ambapo katika hicho kiapo tunaapa kuwa watiifu kwa amiri jeshi mkuu na kuilinda nchi yetu wakati wote na mahala popote wakati wote wa uhai wetu. Kwa kula kiapo hicho ina maana hata kama nimeacha kazi au nimestaafu, ikitokea dharura nitaitwa mara moja kazini...

Hii ni kuwajulisha tu kuwa kama Malawi au Rwanda wakileta za kuleta basi mimi nitakuwa mmoja kati ya wanajeshi wengi tu ambao wako reserve tutakaokwenda kuripoti mara moja kwenye kambi yoyote ya jeshi la wananchi iliyokaribu nami na kukabidhiwa Bunduki yangu, kombati, kibuyu cha maji na begi lililojaa basic needs za mwanajeshi akiwa front line.

Sasa leo unasikia watu wanatukejeli sisi Diaspora kuwa hatuna sababu ya kupewa haki ya uraia wakati wao hata hawajawahi kulifanyia lolote tafa lao zaidi ya kulihujumu kila kukicha.

Ningependa kuwauliza wale wote wanaotubeza na kutulaumu kwa nini tulichukua uraia mwingine, Mimi wakati niko bongo baada ya kuacha kazi jeshi la polisi ambalo lilikuwa linalipa mshahara duni miaka hiyo mlitaka nifanye kazi gani? Nilijaribu kutafuta kazi kila sehemu nikawa sipati kwa sababu sikuwa na ujuzi mwingine zaidi ya ujuzi wa kutumia silaha kali. Na kazi ambayo ningeweza kupata ilikuwa ni ulinzi tu kazi ambayo hata siku moja nisingeweza kuifanya, huwezi kutoka polisi ukaenda kuwa korokoroni hiyo ni kujidhalilisha.

KWA HIYO MLITAKA UJUZI WA KUBEBA BUNDUKI NIUTUMIE KWENYE UJAMBAZI AU?

Ni wakati sasa mtusikilize..

https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=-KQ4zoyitWo#t=0

_44511344_d27792fe-178d-4b7b-98c4-b1c9d34c88f0.jpg

Hahaaa! Askari wa akiba, wewe jamaa unamatatizo ya akili nani alikwambia wazee wanapigana vita? Angalia kote duniani vijana ndo wapiganaji wewe uko 50 years ulishasaliti Tanzania hafu bado unawaza kupigana vita, upelekwa vitani utakimbia kwani hakuna mzee anayetaka au kuona kifo akawa jasiri kukifuata.
 
Pumbaffff

Taratibu mzee ,huko nikukosa nidhamu ,mara hii hata hatujaanza kukutathimini unaanza kuporomosha matusi kwa hoja ya kwaida kama hii hapo chini tukuelewe vipi?

Au uzee umekunyemelea?

quote_icon.png
By duet
Mzalendo gani anakimbia nchi kisa mshahara mdogo jeshini? Ataweza kuoigana front line kama si mvumilivu kiasi hicho?
 
Taratibu mzee ,huko nikukosa nidhamu ,mara hii hata hatujaanza kukutathimini unaanza kuporomosha matusi kwa hoja ya kwaida kama hii hapo chini tukuelewe vipi?

Au uzee umekunyemelea?

Chizi huyo alitaka udiaspora ili awe tapeli mzuri
 
Mazao ya wakulima yanauzwa kwa magendo na viongozi uchwara!! Wezi wakubwa wenye akaunti nje ya nchi!!!

Hata mimi najiuliza hawa wanaosema watu wa diaspora siyo wazalendo, walikuwa wapi wakati nchi inauzwa kwa manufaa ya wachache? Kama kweli nchi hii ingekuwa na wazalendo tusingeburuzwa kiasi hiki. Ni kelele tuu za mitandaoni naona au inawezekana ni wale wale mafisadi wanaogopa competition. Teh teh teh.
 
Haujui ulisemalo,

Hata wanamgambo tu wanapewa mafunzo ya kivita, sembuse polisi?

Ulitaka nibaki polisi niwe fukara?

Nilikuwa nalipwa shs 7,250 wakati matumizi yangu yalikuwa shs 35,000, sasa hapo sijui mkate na siagi ungepatikana vipi?

polisi siyo askari,ni raia mkakamavu.ukitaka kujua tofauti ya polisi na askari aliyejifunza vita njoo huku,acha porojo
 
He he we jamaa upo? Ulikua magereza?hebu tuambie magereza za UK zinafananaje? Long time mzee hujasomeka!
 
poa mwanadispora kwa kutuzarau sisi kolokoloni ila nakuomba ujibu haya maswali yangu ya msingi.Tanzania ikiwa vitani na hiyo nchi unayoishi ambayo umepewa uraia wewe utakuwa upande gani kumpiga adui?.Ukianza kufanya filamu za ngoni utapeperusha bendera ya nchi gani?kama utavunja sheria za Tanzania ukiwa huko ughaibuni tutakudhibiti vipi maana kuna hilo taifa lako la huko litakuwa linakulinda kama raia wake?.Lakini wewe si umetukana watanzania ndio maana wakakupa uraia wao iweje ujifanye mzalendo?.jibu hayo tu kesho nitakuuliza mengine.
 
AkA Chilisosi vipi serengeti clearing&forwarding bado inapumua? Maana fisadi hana muamana,anaweza fisidi hata shati lake mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mbona wengi mnapenda kunitukana kwa tusi hili kuwa dada yangu kaniletab UK?

Kama ni dada yangu kanileta huku huyo ni dada yangu baba mmoja na mma mmoja sasa NYIE KINAWAUMA NINI?

Mlitaka awalete nyie?

Huyo mnaemsema ni dada yangu mama mmoja baba mmoja na ndie alieniuleta UK

Ok turudi kwenye mada.

Mimi na nyie kenge nani zaidi?

Njaa zenu zisiwafanye mcukie watu ambao hata sio chanzo cha njaa yenu

Kama kinawauma nitawanunulia wote kamba mjinyonge kenge nyie..

Kkma mnataka niwalete leteni data zenu ofisini niwafikirie kenge nyie...

we pimbi mbona unatukana sana, nchi umekimbia mwenyewe na ukaukana uraia wako sasa nin kinakuliza, isitoshe nyie wabeba mabox hamna mchango wowote kwa taifa, ila siwalaum kwan maisha mnayoishi ni magum sana ndo mana wengi wenu hata mkifa mnashindwa kusafirishana na hata gharama za mazishi zinawashinda mnaishiwa kuchomwa moto wapumbav nyie, halaf unasema unaisaidia nchi wakati umeshindwa kujisaidia mwenyewe mbaya zaidi wengi wenu ni mashogo na kiunadada biashara yao kuu ni kujiuza. kwa vile mliukana uraia wenu na sis hatuwahitaji endeleeni na ushoga wenu
 
Back
Top Bottom