Niko huru baada ya kupigwa ban ndefu!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Wakuu nimerudi baada ya kupigwa ban ya miezi kibao!
Ngoja niperuzi mi-news then ntarudi lol!
 
Wakuu nimerudi baada ya kupigwa ban ya miezi kibao!
Ngoja niperuzi mi-news then ntarudi lol!
Nakushauri kabla hujapita huko kwenye ms-news, nenda kwanza kasome kanuni ili yasije yakakukuta tena yaliyokuweka nje kwa muda mrefu
 
ban za humu, we acha tu, nilidhani mpaka iwe vipi, kumbe kaji-miss kadogo tu ban! sometimes they are not fair.
 
Back
Top Bottom