Niko huku Mabwepande

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
kwa mlioko dar na miko jilani niko huku mabwepande na watafuta walisafirishaji wa twiga zetu na wanyama wengine, ni pamoja na walihifadhi mabilion huko uswiss nina imani kwa jinsi jeshi letu lilivyo makini lazima nitaambulia mifupatu..njooni tusaidiane kutafuta..
 
juzi nilikuwa porini......wanyama wamenuna kweli.....wako kama wanauliza....mbona hatuendi tena.....?

Kama ni Ngorongoro sawa kununa, hata Serengeti? Hakuna wageni kutoka Mara?
 
Mkuu tunasubiri waliosafirisha twiga wakienda kujiungamisha kwa Gwajima,au Lusekelo afu tupate taarifa za kiintelijinsia tukawakamate! Lazima watakuwa ni raia wa kenya,nchi jirani
 
kwa mlioko dar na miko jilani niko huku mabwepande na watafuta walisafirishaji wa twiga zetu na wanyama wengine, ni pamoja na walihifadhi mabilion huko uswiss nina imani kwa jinsi jeshi letu lilivyo makini lazima nitaambulia mifupatu..njooni tusaidiane kutafuta..

Tuko hapa Leaders tunakuja, ila tutapita Victoria one tym...
 
Back
Top Bottom