Nikiwa RAISI

Mi nikiwa raisi mshahara idara zote anakuwa kimo akishindana speed na gharama za maisha.MIA
 
Nashusha bei ya bia iwe inauzwa jero na soda ziwe zinauzwa 2500.


Jamani, jamani, unakaaga wapi ili niwe nakupitia kila siku tukanywe bia kwa gharama zangu, tuanze kampeni za wewe kuwa rais, kwa sera hii, hii. Naimeifuraiaje hii, utadhani kweli wakati ni utani.
 
Nikiwa rais Mlima Kilimanjaro nauhamishia Dom ili majirani zetu wasiweze kupata kisingizio cha kuusema ni wao, kila raiya atakae panda milmani atapewa milioni kama motisha.
 
Ntahakikisha kila mtanzania anakopeshwa AK 47.
Ntapiga marufuku magari na kutoa mikopo ya baiskeli ili kupunguza foleni dsm na pia kuwafanya watu wapunguze ndambi.
Nitahakikisha madafu yanakuwa official drink au kinywaji cha taifa.
Ntahakikisha bendera ya taifa haishushwi usiku.
Mwisho nafuta mbio za mwenge ili kupunguza maambukizi ya ukimwi
 
Nitabadilisha wanaoishi mjini wanaenda vijijini na wa wavijijini wanakuja mjini baaas!!!!
 
Nitahakikisha wanajf wote wanatumia majina yao halisi,alafu kwenye avata wataweka paspotisaizi.
 
Mademu wote wazuri wa vyuo ntawajengea hosteli ikulu. Af najisevia mmoja mmoja, na nawapangia zamu za kuwa first lady
 
Back
Top Bottom