Nikitumia wireless internet kwa muda mrefu computer inastuck

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,629
1,282
Wakuu nisaidieni nikiwa natumia wireless internet kwa muda mrefu laptop yangu inagoma na ukiizima ina shut down for so long in short haizimi kabisa so inabidi kila ikistuck nitumie kile kibutton cha kuwashia kuforce izime then nikiwasha tena natumia kwa muda fulani tena kama 1 hour then inastuck tena
cha kushangaza nikitumia modem haina shida yeyote hata nikitumia for the whole day au nikiwa situmii internet haina tatizo lolote.
wakuu nisaidieni maana naona nikiendelea kuizima kwa kuiforce hivi inaweza kuleta tatizo lingine mbeleni.
 
teh teh teh Simbamwene,
fanya kwa kununua bando af tuone kama linaendelea tunakusaidiaje,
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom