DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 40,556
- 99,413
Wakuu,
Tangu wiki ilopita nmetofautiana na MKE Wangu mamaG, chanzo Ni mm mwnyw na upuuzi upuuzi wangu, kujitia ujuaji mwingi, kutokufuata ushaur wa MKE wangu mpk nmeyaharibu mambo.
(Sio cheating, ni mambo tu kimaendeleo ya familia)
Binafsi najua mm ndo nilimkosea, Ila Sasa ule Ubabe ubabe na kutokubali kushindwa Wala kukiri mi Ndo nmemkosea,Basi nikamchokonoa kusudi mpk akapanic na kuongea Sana.
Sasa ktk kuongea kwake ktk hasira akatamka neno flani hivi limekaa vibaya sn. Nikalidaka hilo neno na nikalishikia bango kwelikweli. Mama G akachukia na kwenda kunisemea kwa wazazi wangu nmemkosea.
Kule kwa wazazi nilipoitwa Kwny kesi, nikalishikia bango lile neno alilotamka ktk hasira zake na kibao kikamgeukia yeye. ikaonekana ana makosa na Ikalazimika yeye mwnyw ndo aombe radhi ili yaishe. Kweli wife kafanya hivyo mbele ya wazazi.
Sasa tangu ameomba radhi, Tumerud nyumbani ni kama amenichukia Aina flani Kama Kanuna ila anatekeleza wajibu wake Kama kawaida ila uchangamfu wake sio Kama yule wa zamani.
Kwenye hili Mi mwnyw nafs inanisuta, Maana najua moyon mm ndo nmemkosea, Ila kukiri nmekosea hapo ndio changamoto. Najaribu kuonesha sn upendo ila kauchuna.
Kuna MDA nataman sn kuongea na wife kwny Simu, ila akishapokea TU, ananitaka niende straight kwny point.
Nikishaongea point, Hana Kunisikiliza Tena, anakata Simu haraka. Nikimtext pia anajibu shortly. Story story Kama zamani Hana na hataki kuskia.
Kiukweli Hali hii inaenda wiki ya pili Sasa na inaniumiza sana, nmejaribu kuitafuta furaha kwa Mchepuko ila nmejikuta chemistry inagoma kabisa, nakua mkali mkali afu nafoka Sana.
Nikienda kwa mchepuko naishia kulala Usngz na sitaki kelele za miziki Wala kelele za mtu kuongea na Simu (nafukuza akongelee uko nje), najikuta sitaki kuguswa Wala kuchezewa popote.
Namuona mchepuko Kama lisanamu flani na Hata anaponitaka tufanye mapenz mihemko ya ngono sina kabisa.
Imefika mahali nmeona kwenda kwa Mchepuko nayo Ni kero Sasa, nmeanza kukwepa. Kila siku naahidi nitaenda kwa mchepuko ila mda ukifika siendi, mzuka hamna kabisa.
Hata ile Hali ya kuchat au kuongea na mchepuko kwny Simu Ni kama imekufa kabisa. Mchepuko akipiga Najibu TU
"subir Kwanza, nko bize,ntakuchek baadae"
Akikata TU,ndo imetoka iyo.
Nikitoka kazin Ni straight bar,
Nako baa nikihisi Kuna makelele sn,
Au Kuna Watu wamekuja mezan kwangu wanaongea Sana, nabeba kinywaji changu najifungia nakunywa peke yangu ndani ya Gari.
Nikiona hapo Ni Moja kwa moja nyumbani, Tena chumban kabisa kitandani kulala.
Imefikia mahali Michepuko yote nmeona ishagundua siko sawa, lawama kila Kona, nmejitetea kwa kujificha kwny kichaka Cha changamoto zangu kibishara. Hawajanikosea chochote
Ila ukweli wenyewe Ni kwamba mahusiano yangu na wife hayako sawa kabisa. Na hii imekua hivi sio mara Moja Wala mara mbili, nikitofautiana na wife, hamu na michepuko inakata kabisa.
Nmejaribu kuulizia kwa rafki zangu wa karibu wenye muchepuko Hali hii vipi kwenu. Nao wanasema hivo hivo.
Mahusiano yakiwa mabaya nyumba kubwa (kwa wife) Hata hamu Wala morali ya kuchepuka inakata kabisa.
Imekaaje hii wakuu