Nikipata majibu ya maswali haya narudi CHADEMA

Ni mjinga mmoja tu, ni aliyerogwa 1 tu, ni aliyelaaniwa 1 tu, ni asiye na akili 1 tu, ni hayawani 1 tu, ni mshenzi 1 tu, ni kahaba 1 tu...... anayeweza kujibu hoja za walio kuzimu, wanaosubiri hukumu ya Yuda Iskariote msaliti no 1 na wenziye wapo tz leo.

Huitajiki, hufai, hutakiwi, endelea kufanya kazi ya Alliance of CCM and Traitors Wazombi.

"utawajua kwa maneno yao tu"
 
Acha unafiki kwani ofisi za chadema huzijui,nenda kaulize,la sivyo nitakuona umeshatumiwa na wanaume wenzako!!
 
Mimi yakipatikana ya EPA na ESCROW kuhusu hela zetu zitarudi lini nakuwa Mhamasishaji wa CCM

mimi nilifikiri kuwa kama mafisadi wangechukuliwa hatua kali ndio ungerudi CCM,kumbe ni kujua tu hela zitarudi lini!Pole sana mtanzania mwenzangu
 
Acha unafki, unataka kutuaminisha hizo ndo dhambi/makosa makubwa sana!! Hata Jk c 2010 c alisema hataki kura za walimu, ccm c mlisema Chenge, Lowasa karamaji ni mafisadi mbona bado mnawakumbatia!!?
 
Nimefuatilia comments mbalimbali hapa,nimeamini kweli Chadema inaongozwa na matamko ya Viongozi wa chama lakini kwenye kujenga hoja,hakuna kitu.Kiufupi maswali haya ni mwiba na hayajibiki.
 
Acha unafki, unataka kutuaminisha hizo ndo dhambi/makosa makubwa sana!! Hata Jk c 2010 c alisema hataki kura za walimu, ccm c mlisema Chenge, Lowasa karamaji ni mafisadi mbona bado mnawakumbatia!!?

Nyinyi kila kitu kujifananisha na ccm tuwaelewe nini? Tunaomba majibu Kamanda
 
haha na apa ndipo utakapouona ulaghai wa cdm,,sasa makamanda wanahaha badala yakutoa majibu maswali yako ni very logical mkuu
 
mimi nilifikiri kuwa kama mafisadi wangechukuliwa hatua kali ndio ungerudi CCM,kumbe ni kujua tu hela zitarudi lini!Pole sana mtanzania mwenzangu

hata kufungwa kifungo cha maisha ni hatua kali suala ni fedha zetu zirudi hata wakiachiwa huru sawa tu what we need is our money back .sio kuona mwizi anasulubishwa
 
Na wasi wasi hata huo u-Dr ni wakichina kwa maana hiyo hujafuzu na hustahili kupata majibu.
Waone akina Juliana na Mfalme wa ACT-Wazalendo watakuwa na majibu. U-Dokta wa aina hiyo ni hata kwa afya ya akili ya Wana UKAWA na JF members.

na aya ndo majibu ya makamanda,,,uyu kawakilisha wenzake weengi
 
Nataka kurudi Chadema mara baada ya .....
Kurudi Chadema? Ukitokea wapi? Je ulifikaje huko ulikokuwa?
Nitayaamini maneno yanayotolewa na wanachadema siku siku haya maswali yakipatiwa majawabu
Mathalani, kwa sasa huyaamini maneno yanayotolewa na wanachadema, utaamini vipi majibu utakayopewa?
Natamani sana kuwa Kamanda lakini haya yananitatanisha,naombeni majibu ili nifanye maamuzi magumu.
Ahaa, unatamani kuwa kamanda, kwani kwa sasa wewe ni nani? Maamuzi magumu ni yapi? Kurudi Chadema au kujiunga na Chadema? Vyovyote vile kwa nini yawe magumu?
Sina nia ya kuibua Marumbano yasiyotujenga bali nataka mtu mwenye uelewa mkubwa kuliko mimi anaondoe Uvulivuli ili nami nijitambue.
Duh, yaani kwa sasa hujitambui, siyo? Hayo marumbano ndio nini na hofu ya kutojenga yanatoka wapi?
Naomba nijibiwe hayo ili nami niwe Kamanda nitakaeitetea Chadema popote.
Ulidai toka mwanzo unataka kurudi Chadema. Sasa kwa nini hukuweza kuitetea Chadema popote huko mwanzo na badala yake ukajiondoa?
Hayo Majawabu yakipatikana,ndio utakuwa mwisho wa Chama cha ACT-Wazalendo
Kwa hiyo ACT-Tanzania/Wazalendo ni chama cha mpito. Imeanzishwa kwa malengo maalum na hatma yake iko mikononi mwa Chadema! Duh, muombe radhi Supreme Leader ama siyo?
maana umma utaiamini Chadema na hivyo kuiunga mkono.
Ha ha haa! Umma gani unauongelea hapa...umma wa mtu moja Dkt Kilembwe? Acha utani kijana.
Karibuni kwa majibu Makamanda ili nasi tupate chakuwaambia wananchi ili waipuuze ACT-Wazalendo.
ACT-Wazalendo tena? Una tatizo gani Dkt Kilembwe, are you okay? Nimeona mahala unamwita assadsyria3 kamanda, jamani JF inazidi tu kuwa kokoro...yaani inazoa zoa tu! Unataka watu wampuuze Supreme Leader kwa kui"beep" Chadema! Pole kijana, mwaka huu ni wa hatari kweli kweli. kuchanganyikiwa si kuchanganyikiwa!
 
Last edited by a moderator:
In politics there is no permanent hostile.........u dance according to the tune.


Hapo pekundu - does it include cheating, lying, misinformation, disinformation? Kama CDM ikichukua madaraka tutajuaje ni lini tuamini sera, mipango na ahadi zinazotolewa na viongozi na lini tujue kuwa "they are just dancing according to the tunes"?

Ni muhimu mwandani wa CDM ajibu hizi hoja. Kukomaa kisiasa kunahitaji serious and respectable discourse on important issues like these. Kutukanana na kuwa-dismiss wachangiaji may make you feel good BUT itaua mvuto wa chama. We don't want that - do we?
 
Back
Top Bottom