Nikiona mtu mzima anaendesha boda naingiwa na hofu sana

Imagine mtu Ana age ya 60, 50 alfu anaendesha boda unaweza kuingiwa na maswal mengi sna kwamba nin kimetokeaa Hadi Muda huu anakimbizana na vijana wa miaka 20 ,23 na unamkuta anajisifia kbsaa kuwa mimi nina miaka 8 kwenye kazi hii.

Unakuta kijana ana 40+ kbsa Hadi unaogopa kumtuma unajiuliza hivi hawana mashamba au wameuza

Alfu unakuta wengine wanauza mashamba Yao na kugawna pesa na wengi kwenda kununua boda bila kujuwa kuwa boda Ina risk kubwa.

Mungu wajalie bodaboda wote kazi hiyo ni hatari sana.

Leo nimeogopa walai mtu mzima mm nilimuagiza kwenda sehemu fln

Vijana tuweke sna akiba siyo poaa kbsaaa nilipanga nipige bia nne ila nimekunywa moja tu naondokaa zangu Walai
Mkuu,unachosema ni kweli ila kuna Jambo nimejifunza.Maisha yako VERY Crazy na wakati mwingine kuna mambo ukiyaona wakati ukiwa kijana mdogo unaweza kumlaumu muhusika na kufikiri kwamba wewe hautafikia level hiyo.Wkati ninaanza ajira kuna kazi fulani nilikuwa nimeajiriwa na kati ya wafanyakazi wenzangu walikuwepo wenye miaka 45+ kwa kweli nilikuwa nikiwaona watu waliopotea nikajisemea kwamba sitafanya kazi hii nikiwa na umri huo lakini kadiri nilivyoendelea kukua nilijifunza kwamba Kuhukumu watu ni KOSA kubwa sana.Unaweza kumuona mtu anaendesha bodaboda na ni mtu mzima ukamdharau lakini kumbe ni baba mwenye nyumba,ana familia ana watoto wanajiweza na anafanya kazi hiyo kwa sababu tu yeye ni mpambanaji na sio mwenye dhiki kama vile unavotaka kuamini.

All in All.Pambana upambanavyo,Jipange ujipangavo ila Life can deal you a card that can make you wonder what you did wrong...
 
Ni kupambana hadi siku unaingia futi sita kuliko kuwa omba omba. saa zingine unakuta mtu alikuwa na mipango yake mizuri tu wahuni wakamuingiza mjini akafilisika ndio anaibuka na hiyo plan B.
 
Imagine mtu ana age ya 60, 50 halafu anaendesha boda unaweza kuingiwa na maswali mengi sana kwamba nini kimetokeaa hadi Muda huu anakimbizana na vijana wa miaka 20 ,23 na unamkuta anajisifia kabisa kuwa mimi nina miaka 8 kwenye kazi hii.

Unakuta kijana ana 40+ kabisa hadi unaogopa kumtuma unajiuliza hivi hawana mashamba au wameuza

Halafu unakuta wengine wanauza mashamba yao na kugawna pesa na wengi kwenda kununua boda bila kujua kuwa boda Ina risk kubwa.

Mungu wajalie bodaboda wote kazi hiyo ni hatari sana.

Leo nimeogopa walai mtu mzima mimi nilimuagiza kwenda sehemu fulani

Vijana tuweke sana akiba siyo poa kabisa nilipanga nipige bia nne ila nimekunywa moja tu naondokaa zangu Walai
Boda boda ni kazi kama nyingine kila kazi kuna watu walika tofaoti heti hawana mashamba unasema kama alie katwa kichwa
 
Brazaa uko nnje ya mada mm nazungumziaa hbr za uzeee na boda boda sijasema kazi Ni mbaya Wala kuongelea vijana hap ninavhoongeleaa Ni wazeee. Kuendesh boda na kuona sifa kwa age ya 60

Hivi umefauluje kwanza mnk inabidi nikuhoji
Mimi sikufaulu kaka. Tuliomo humu sio wote wasomi mimi ni mmoja wapo
 
Imagine mtu ana age ya 60, 50 halafu anaendesha boda unaweza kuingiwa na maswali mengi sana kwamba nini kimetokeaa hadi Muda huu anakimbizana na vijana wa miaka 20 ,23 na unamkuta anajisifia kabisa kuwa mimi nina miaka 8 kwenye kazi hii.

Unakuta kijana ana 40+ kabisa hadi unaogopa kumtuma unajiuliza hivi hawana mashamba au wameuza

Halafu unakuta wengine wanauza mashamba yao na kugawna pesa na wengi kwenda kununua boda bila kujua kuwa boda Ina risk kubwa.

Mungu wajalie bodaboda wote kazi hiyo ni hatari sana.

Leo nimeogopa walai mtu mzima mimi nilimuagiza kwenda sehemu fulani

Vijana tuweke sana akiba siyo poa kabisa nilipanga nipige bia nne ila nimekunywa moja tu naondokaa zangu Walai
Siyo watu wote hao unaowaona kwenye vilinge vya Bodaboda ukadhani kweli ni 'Bodaboda', wengine hapo wameegesha tu, siyo kweli kwamba ni bodaboda. Wengi wao hapo ni 'Wachora Ramani,' siyo bodaboda wa kweli hao. Kumbuka: kipindi kile cha mwendazake, 'field officers' wengi pamoja na 'watu wa surveillance' walipewa mapikipiki mapya mengi sana ili kufanikisha kwa urahisi 'missions' zao za udhalimu, na walikuwa kiungo kimojawapo muhimu sana ktk kufanikisha mipango mingi ya utekaji watu wakisaidiana kwa karibu sana na watu wa 'Noah Nyesui.' Kwa hiyo, usione ukadhani.
 
nakukumbuka nlshawahi kuwa mlinzi pale stendi ya magufuri mbezi kipindi inajengwa... sitosahau pesa ilikuwa inaisha kwenye chakula tu na hata haitoshi ktk mlo.. fight till the end brother..
 
Huu uharo wako kawadanganye masjid
Siyo watu wote hao unaowaona kwenye vilinge vya Bodaboda ukadhani kweli ni 'Bodaboda', wengine hapo wameegesha tu, siyo kweli kwamba ni bodaboda. Wengi wao hapo ni 'Wachora Ramani,' siyo bodaboda wa kweli hao. Kumbuka: kipindi kile cha mwendazake, 'field officers' wengi pamoja na 'watu wa surveillance' walipewa mapikipiki mapya mengi sana ili kufanikisha kwa urahisi 'missions' zao za udhalimu, na walikuwa kiungo kimojawapo muhimu sana ktk kufanikisha mipango mingi ya utekaji watu wakisaidiana kwa karibu sana na watu wa 'Noah Nyesui.' Kwa hiyo, usione ukadhani.
 
Siyo watu wote hao unaowaona kwenye vilinge vya Bodaboda ukadhani kweli ni 'Bodaboda', wengine hapo wameegesha tu, siyo kweli kwamba ni bodaboda. Wengi wao hapo ni 'Wachora Ramani,' siyo bodaboda wa kweli hao. Kumbuka: kipindi kile cha mwendazake, 'field officers' wengi pamoja na 'watu wa surveillance' walipewa mapikipiki mapya mengi sana ili kufanikisha kwa urahisi 'missions' zao za udhalimu, na walikuwa kiungo kimojawapo muhimu sana ktk kufanikisha mipango mingi ya utekaji watu wakisaidiana kwa karibu sana na watu wa 'Noah Nyesui.' Kwa hiyo, usione ukadhani.
HV umeandiak uharo gani hapa
 
Imagine mtu ana age ya 60, 50 halafu anaendesha boda unaweza kuingiwa na maswali mengi sana kwamba nini kimetokeaa hadi Muda huu anakimbizana na vijana wa miaka 20 ,23 na unamkuta anajisifia kabisa kuwa mimi nina miaka 8 kwenye kazi hii.

Unakuta kijana ana 40+ kabisa hadi unaogopa kumtuma unajiuliza hivi hawana mashamba au wameuza

Halafu unakuta wengine wanauza mashamba yao na kugawna pesa na wengi kwenda kununua boda bila kujua kuwa boda Ina risk kubwa.

Mungu wajalie bodaboda wote kazi hiyo ni hatari sana.

Leo nimeogopa walai mtu mzima mimi nilimuagiza kwenda sehemu fulani

Vijana tuweke sana akiba siyo poa kabisa nilipanga nipige bia nne ila nimekunywa moja tu naondokaa zangu Walai
Pole walai...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom